Sababu za Kumtosa Samir Nasri Sauzi!

Hata ingekuwa mimi ningemtema Benzema. Benzema aliwahi kukiri/kusema mwenyewe kwamba akivaa jezi za bluu huwa hajitumi 100%
 
Nimeshangaa pia watu bado wanalalamika ati Viera naye hakuitwa. Viera limebaki jina tu. Hana lolote.

Kusajiriwa na Man City si chochote - yule kocha wa Man City naye hajui anachokifanya
 
Wekeni ushabiki pembeni. Ni heri kumuacha Diaby kuliko Nasri. Wachambuzi wa soka wenyewe wanakiri ni uwendawazimu kumtosa Nasri!
 
Benzema kaachwa kwa vile alikuwa hapangwi kwenye club yake.kama nasri hafai style yake kwanini mwanzo alimwita sasa? Ukweli nikwamba domenech hajui anachofanya sasa hivi ndio maana ali struggle hata kuiqualify na france itaendelea ku-struggle mpaka atakapoondoka.

UR right AW. Nasri alistahiki kuchaguliwa, ila kocha Domenech ni kimeo.
Sijui ana kizizi kama Benitez? Wanaharibu lakini wamo tu, kama wanasiasa wa Bongo.
Benzema hapangwi Real Madrid, hivyo kuachwa si issue. Ila kwa kumuacha Nasri, Domenech amechemsha vibaya.
 
Nimeshangaa pia watu bado wanalalamika ati Viera naye hakuitwa. Viera limebaki jina tu. Hana lolote.

Kusajiriwa na Man City si chochote - yule kocha wa Man City naye hajui anachokifanya

viera hapo man city tu anachemsha na anatia huruma,sidhani kama mtu aliyeangalia kiwango cha Vieara sasa hivi anaweza kulalamika kuachwa unless kama anapelekwa kuwapa moyo vijana wapya.kama vipi aende tu kukaa kwenye bench lao sio mbaya kama beckham atakavyo fanya.

huyo beckham mwenyewe media tu ndio inamsaidia lakini hakustahili kuitwa ukitoa injury kumnyima nafasi.
 
UR right AW. Nasri alistahiki kuchaguliwa, ila kocha Domenech ni kimeo.
Sijui ana kizizi kama Benitez? Wanaharibu lakini wamo tu, kama wanasiasa wa Bongo.
Benzema hapangwi Real Madrid, hivyo kuachwa si issue. Ila kwa kumuacha Nasri, Domenech amechemsha vibaya.

Of course Nasri anacheza kwa sababu Arsenal is group of mediocres, their zero achievements speaks for themselves. Kaa mie ningekuwa kocha wa France nikaambiwa nichague wachezaji 50, huyu mmanga asingeona kitu bado.
 
viera hapo man city tu anachemsha na anatia huruma,sidhani kama mtu aliyeangalia kiwango cha Vieara sasa hivi anaweza kulalamika kuachwa unless kama anapelekwa kuwapa moyo vijana wapya.kama vipi aende tu kukaa kwenye bench lao sio mbaya kama beckham atakavyo fanya.

huyo beckham mwenyewe media tu ndio inamsaidia lakini hakustahili kuitwa ukitoa injury kumnyima nafasi.

I beg to differ. Hivi kati ya Diaby na Vieira nani anastahili, nijibu bila ushabiki.
 
Arsenal ina wachezaji 3 tu wanaofaa kucheza world cup! Cesc, RVP na Vermelen wengine ni magarasha akiwemo Nasri!
 
Hivi wabongo niwataalam sana wa soka kuliko hao makocha? kaombeni kazi basi!
 
aaaaah! utamuweza naye yule dome....... Domenech ..yule anabahatisha zaidi kuliko uwezo mi nshamcheki game kibao ,yaani hana uhakika na yupi aingie au amtoe yupi..... aaaah Domench atatukosesha cup wana ufaransa
 
I beg to differ. Hivi kati ya Diaby na Vieira nani anastahili, nijibu bila ushabiki.

Offcourse Diaby kwa vile Viera anachoka haraka sana sasa hivi hana pumzi ya kumudu speed ya game kabisa kama umemuangalia vizuri man city na ilikuwa inamsababishia kutoa pasi mbovu kibao mpaka Mancini akamwambia anahitaji ku-improve.Viera mwenyewe alikili yuko chini ya kiwango its time for him to hang the boots. Mind u sijajibu kishabiki bali nimejibu swali kutokana na jinsi umewaweka pamoja kwamba viera na diaby nani an stahili jibu ndio hilo kutokana na swali lako bila swali lako wote wawili they don't deserve a call.
 
unaposema nasri amekua na msimu mzuri arsenal na amecheza vizuri wakati fabregas alipoumia so anaitaji kwenda sauz unamaanisha nini? labda ungeanza kwa kutueleza apo arsenal kwa kucheza kwake vizuri wameshinda kitu gani? timu gani kubwa walioifunga msimu huu? ni mechi ipi uyo nasri alicheza vizuri? usipende kuongea upuuzi eti kwa sababu ni muarabu, kwani kina zidane mbona walikua wanapendwa? acha ujinga yu prick! arsenal wote msimu huu walikua bunch of loosers akiwemo nasri! hamna hata mechi moja aliyocheza vizuri, ktk arsenal anayestahili kwenda world cup ukilinganisha na viwango vya timu za taifa zao ni vermaleen, song, clicy, sagna, van persie na lile ndondo bendtner kwa sababu denmark hawana striker! sasa nasri kwenye midfield ya france atacheza namba ya nani?
 
Arsenal ina wachezaji 3 tu wanaofaa kucheza world cup! Cesc, RVP na Vermelen wengine ni magarasha akiwemo Nasri!

Sishangai kusikia haya toka kwako...........................na Chelsea je?????????,ni wachezaji wangapi?
 
Of course Nasri anacheza kwa sababu Arsenal is group of mediocres, their zero achievements speaks for themselves. Kaa mie ningekuwa kocha wa France nikaambiwa nichague wachezaji 50, huyu mmanga asingeona kitu bado.

Mpemba bana.................Kila siku nakuuliza swali hunijibu(ukiweka Rossoneri pembeni) ni timu gani waishabikia England weye????
 
Naomba maelezo ya yanayojitosheleza kuhusu hiki kitendo cha kikatili dhidi ya nyota huyu - au kwa sababu ni Muarabu?

samir-nasri-v-birmingham-240.jpg
The omission of Arsenal midfielder Samir Nasri is another decision I cannot get my head round. In fact Domenech must be appearing in ‘one flew over the cuckoo's nest 2′ with the decisions he is making. Nasri has been one of the Gunners better players this season and to be fair to him, he stepped up to the plate when Cesc Fabregas was injured as the team's playmaker. For him to be ignored with players like Yoann Gourcuff, Mathieu Valbuena and Sidney Govou in the squad beggars belief.

http://community.footballpools.com/...nch-coach-is-nuts-to-leave-out-benzema-nasri/

Hao Ufaransa mwaka huu ni wasindikizaji tu.....wameioshiwa,hawaendi kokote......labda 16 bora
 
Sishangai kusikia haya toka kwako...........................na Chelsea je?????????,ni wachezaji wangapi?

Mkuu pole sana mwakani tena trophy-less! I wish leo Arse-Anal wangekuwa final leo na Pompey....umesoma mahali kuwa Cesc anaishia zake Barca hajali kukaa benchi kuliko kuwa kwenye meli inayozama..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom