Sababu za kufichwa kwa kitabu cha Enoch

Sababu za kufichwa kwa kitabu cha Enoch

Kwa hiyo kila kitu unachofanya Mungu amekuamulia!?
Wafia dini sijui mna akili gani, akama haija katazwa manake sio dhambi
Siku nyingine usijiingize kichwa kichwa kwenye mada usizokuwa na ufahamu nazo, unaona umebaki kutapatapa tu?
 
Yes...inafikiri ilifika muda watangulizi wetu waliamua kutuchagulia njia ya kufuata, hii ni baada ya kuona kuna mkanganyiko mwingi sana. Na pia vitabu vilivyobaki vinajitosheleza kabisa kumtambulisha Mungu na ukuu wake...

Hii haimanishi kuwa hamna ukweli zaidi ya huo uliokiubalika..kama ambavyo wakatoliki tunaongeza vitabu sita kwenye biblia na kuwa 72 badala ya 66..ndivyo hivyo pia...kuna baadhi ya vitabu vikiwekwa pembeni ingawa haimaanishi kwamba havipo..mfano injili...na hivyo vitabu mfano Enock....

Ukisoma Enock ni kama unasoma kitabu cha Mwanzo katika version ambayo iko ndami zaidi na inatoa maelezo mengi zaidi na iko wazi....Vitabu kama hivi vinahitaji mind ambayo iko strong....average akili na chini ya hapo..mtu anaweza changanyikiwa au kukufuru....Mfano tunaambiwa kuwa kabla ya Eva kulikuwa na Lilith...ambaye alikuwa equal na Adam na aliumbwa separately....baada ya kuasi na akashindwana na Adamu sababu wote wanajiona ni Kambale...Mungu akamletea Adamu msaidizi..na ili kuenesha kuwa kiumbe kinachoumbwa ni kwa ajili ya Adamu, ni submissive...Mungu akatoa Mbavu za Adamu akatengeneza (Eva), hiyo ya kutoa ubavu na kutengeneza mwanamke mwingie ina maana pana sana, na ishara pana...Mwanamke ni msaidizi au submissive kwa mwanaume, atazaa kwa uchungu tu..vingine vyote kazi ya mwanaume..etc....

Kuna elimu nyingi imefichwa....
By do you think watangulizi walipatia au walikosea kutuchagulia. What if walitoa makusudi. Maana kwenye Bible sehemu nyingine wanamrefer enock... Au jubilee nadhani....mi nadhani walitoa kwa mipango Yao. Ethiopia wao Bible Yao hajawahi tolewa hata kitabu kimoja. I dnt see wao wakilalamika kuwa hivyo vitabu havina muunganiko WA kwenda sawa na vitabu vingine kwenye bibble
 
Hapana baada ya Kristo hatukuruhusiwa kuwa na wake wawili ila enzi zile waliruhusiwa kuoa wawili au kuoa ndugu sababu Bado wanadamu walikua wachache na Mungu aliwapa agizo wazaliane wakaijaze nchi.

So tokea kanisa la kwanza bible ipo clear kuwa uwe MME wa Mke mmoja!!
Kwahiyo mkuu unataka kusema saizi hakuna tena agizo la tuzaliane na kuijaza Nchi?

Je unataka kusema baada ya Kristo Nchi/Dunia ilikuwa imeshajaa na kupelekea Kristo kuja na agizo la mke mmoj?
 
Genesis 2:24 soma hio... ni mwanaume na mwanamke. Sio mwanaume na wanawake au wanaume na wanawake.
.
Halafu sababu ya kwamba zaman watu walikua na wake wengi ni kwamba wanaume hawakua wengi. Walikua wanakufa mara kwa mara na katika umri mdogo. Shughuli zote za upambanaji, uwindaji. Zilifanywa na wanaume kwahio walikua katika risk kubwa zaid ya kufa mapema, na walikufa mapema. Kitu kingine ni vita, ikitokea vita wanaenda wanaume kupigana, wanafia huko. Kwahio ili kila mwanamke apate mwanaume ilibid washare.
.
Kwahio unaona hapo kwa maisha ya zaman ilikua inamake sense kua na wake wengi, ila kwa sasa? Sio sana... sasa unakuta m'bongo choka-mbaya nae anaoa wake wanne, kila mke watoto 5-5... [emoji2365]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku nyingine usijiingize kichwa kichwa kwenye mada usizokuwa na ufahamu nazo, unaona umebaki kutapatapa tu?
Genesis 2:24 soma hio... ni mwanaume na mwanamke. Sio mwanaume na wanawake au wanaume na wanawake.
.
Halafu sababu ya kwamba zaman watu walikua na wake wengi ni kwamba wanaume hawakua wengi. Walikua wanakufa mara kwa mara na katika umri mdogo. Shughuli zote za upambanaji, uwindaji. Zilifanywa na wanaume kwahio walikua katika risk kubwa zaid ya kufa mapema, na walikufa mapema. Kitu kingine ni vita, ikitokea vita wanaenda wanaume kupigana, wanafia huko. Kwahio ili kila mwanamke apate mwanaume ilibid washare.
.
Kwahio unaona hapo kwa maisha ya zaman ilikua inamake sense kua na wake wengi, ila kwa sasa? Sio sana... sasa unakuta m'bongo choka-mbaya nae anaoa wake wanne, kila mke watoto 5-5... [emoji2365]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo sababu ni kuwa it doesn't make sense at the moment 😂😂😂😂 hapana aisee
 
Genesis 2:24 soma hio... ni mwanaume na mwanamke. Sio mwanaume na wanawake au wanaume na wanawake.
.
Halafu sababu ya kwamba zaman watu walikua na wake wengi ni kwamba wanaume hawakua wengi. Walikua wanakufa mara kwa mara na katika umri mdogo. Shughuli zote za upambanaji, uwindaji. Zilifanywa na wanaume kwahio walikua katika risk kubwa zaid ya kufa mapema, na walikufa mapema. Kitu kingine ni vita, ikitokea vita wanaenda wanaume kupigana, wanafia huko. Kwahio ili kila mwanamke apate mwanaume ilibid washare.
.
Kwahio unaona hapo kwa maisha ya zaman ilikua inamake sense kua na wake wengi, ila kwa sasa? Sio sana... sasa unakuta m'bongo choka-mbaya nae anaoa wake wanne, kila mke watoto 5-5... [emoji2365]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Sasa hivi ratio ya Mwanaume na mwanamke jeshini ikoje?? Nadhani inawsza kuwa 50:1
Plus bado mpk ss vitani wanaume ndio wanakufa maana hata Ukraine walikaza vijana WA kiume wasitoke nje ya nchi ili wapigane vita Ile wanawake waliiruhsiwa kuondoka. Hata wakionyesha jeshi LA Russia almost wote ni wanaume.
Plus until now kazi zenye risk ya vifo asilimia 99 wanafanya wanaume..... Ukijumlisha na NDOA (MAANA INAUA WANAUME KULIKO WANAWAKE) [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kihistoria, walikufa wengi kuliko sasa. Alafu vita za zaman nafkir unaiua zikikuaje; mnakutana kwenye uwanja wa mapambano na mikuki, mishale, visu etc... mnaanza kuuana. Ivo walikufa watu wengi zaidi. Skuiz ni nchi inarusha makombora na kwenye nchi nyingine (ivo inaua wote, wanaume, wanawake na watoto). Na pia skuiz vita havipanwi sana. Zaman hata makabila tu yalikua na vita vya mara kwa mara...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Sasa hivi ratio ya Mwanaume na mwanamke jeshini ikoje?? Nadhani inawsza kuwa 50:1
Plus bado mpk ss vitani wanaume ndio wanakufa maana hata Ukraine walikaza vijana WA kiume wasitoke nje ya nchi ili wapigane vita Ile wanawake waliiruhsiwa kuondoka. Hata wakionyesha jeshi LA Russia almost wote ni wanaume.
Plus until now kazi zenye risk ya vifo asilimia 99 wanafanya wanaume..... Ukijumlisha na NDOA (MAANA INAUA WANAUME KULIKO WANAWAKE) [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Me amenijibu ila nikaamua kunyaamaza tu maana ni wazi kuwa amejibu Kwa utashi wake tu ila hakuna majibu relevant na swali kabisaaa

Tatizo kubwa halipo kwenye kwenye Bible bali lipo Kwa wasomaji, kuna ambao wao wanaamini wanajua kuitafsiri na kuna wengine wanaambiwa hawawezi kuitafsiri

Sasa unabaki unashangaa iweje tukisoma gazeti/Novels au vitu vingine wote tunakuwa na uelewa sawasawa ila tukisoma Bible ndio ije kuwa na matabaka? Kwanini huyu alewe na mwingine aambiwe haelewi?

Kwanini kitabu cha Mungu kiwe na masharti ya nani aelewe na nani asielewe? Nini maana ya uwepo wake sasa kama ndo hivo? Kwahiyo me ninunue Bible ila pia niwe na mwalimu wa kunifundisha kuisoma na kuielewa kutokana na utashi wake huyo mwalimu wangu

Kwa maana hiyo itakuwa Bible imekaa kama mitihani ya History kana kwamba waga haina majibu maalumu au constant, kila mtu anaweza akawa na jibu lake tofauti na wote mkapata jibu

Mtihani wa History unaweza kumpa mwalimu A akaufanya na akajipa marks 98 alafu mtihani huo huo na majibu yake ukampelekea mwalimu mwingine ukasema hayo majibu umeyajibu wewe na kumuomba akusahihishe utashangaa unapata marks 40 ila huo ujinga haupo kwenye masomo ya Science

Sasa hawa ambao waga wanajifanya wanajua kuitafsiri Bible waga wanatafuta vi Angle vya kubadirisha maana ili tu akuaminishe kile ambacho anataka wewe ukiamini ila kwa Akili ya kawaida tu unaona kabisa hapa napigwa

Sasa mtu anakwambia kuwa eti zamani watu walikuwa wachache ndomana waliruhusiwa kuoa wake wengi, kwahiyo alipokuja kristo ndio akaja na agizo la kuoa mke mmoja na kumbuka wakati huo ndo kwanza ilikuwa ni Karne ya 1 kwahiyo Kwa madai ya jamaa eti Dunia tangu Karne ya 1 ilikuwa imejaa

Sasa mtu anakujibu as if anamjibu mtoto mdogo vile au kama vile anajibu mlevi na bado anataka uamini kile anachotaka kukuaminisha wewe, Hapo niliuliza pia kwahiyo saiz lile Agizo la tuje kuzaliana na kuijaza Dunia halipo tena? Lakini hajajibu

Bible ndio kitabu pekee ambacho ukikuta swali linauliza 1+1=? Usije kujibu ni 2 maana unaweza kuishia kukosa na ukiskia jibu lake ndo utachoka kabisa, kuna mtu atakuja kukwambia jibu lake ni 7 na ukikataa anakwambia inabidi uombe sana Mungu ili akushushie Roho mtakatifu ili uielewe Bible
 
Mm sijaongelea kuhusu biblia. Unapofanya utafiti haubase kwenye source moja ya taarifa. Mm nimeongelea historically, wanaume walikufa sana kwenye vita na watu walipigana sana kuliko sasa. Ni fact hio. Na pia katika jamii nyingi vita walikua wanapigana wanaume pekee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ni utabiri jinsi itakavyokuwa siku za mwisho watu kuasi AMRI ya Mungu.

Nabii alitabiri mambo yatakayotukia siku za mwisho,

Katazo na AMRI ya Mungu IPO pale pale, MUME mmoja, make mmoja.
 
Hata Sasa Dunia Ina watu WAchache. Unaweza WAchukua watz wote ukaweka Morogoro na Manyara wakazama wote huko na wakapumua vizuri tu na mikoa yote iliyobaki I kabaki mapori tu
 
"Basi Baadhi ya Malaika Watiifu walienda Kumuelezea Mungu juu ya Uchafu uliofanywa na malaika duniani" kwahiyo unataka kusema bila malaika kumwambia Mungu asingejua matendo ya hao malaika?

"Lakini Mungu anajua Zaidi (AN OMNISCIENT) Ni zaidi ya Malaika (ISAYA 46:9-10) anajua Mwanzo na Mwisho, Hivyo ndio maana Alifuta Kizazi cha Enzi zakina Nuhu kwa Gharika na Kubakiza Wanadamu 8 tu"

Kupitia hizo paragraph 2 inaonekana kama kuna ukomo wa kuona au kujua mambo Kwa Mungu, kama anajua zaidi hadi akafuta kizazi cha Nuhu nazani lengo lilikuwa ni kuondoa kizazi kiovu cha Nuhu na kuleta kizazi kizuri Ila cha ajabu hiki kizazi ndio kibaya kuliko ata cha Nuhu hivo sidhani kama alijua na hiki kizazi kitakuwa hivi

Kuendelea kumuacha shetani uraiani ili binadamu apambane nae mwenyewe ni Sawa na kujitekenya mwenyewe na kucheka mwenyewe, kama Baba huwezi kuwatakia mema watoto wako Kwa kuwaweka chumba kimoja na Nyoka, kuendelea kutuweka zizi moja na shetani na kutegemea tutakuwa tofauti na kina Nuhu inabidi uwe na akili za Wanyonge kuamini hili, Kamata shetani funga huko dunia iwe sehemu salama easy tu
Hichi kitabu ni kama kinaingizwa kwenye "mtaala" kijanja.... Wanajaribu kujibu contradictions zilizopo katika biblia kwa ktumuia huyu henoko... Sijawah kukisoma ila kupitia maandishi ya watu kama huyu aloleta naona kinapewa sifa kwamba kina ukweli... Lkn ss ukwel wenyewe bado unajichanganya.
 
Genesis 2:24 soma hio... ni mwanaume na mwanamke. Sio mwanaume na wanawake au wanaume na wanawake.
.
Halafu sababu ya kwamba zaman watu walikua na wake wengi ni kwamba wanaume hawakua wengi. Walikua wanakufa mara kwa mara na katika umri mdogo. Shughuli zote za upambanaji, uwindaji. Zilifanywa na wanaume kwahio walikua katika risk kubwa zaid ya kufa mapema, na walikufa mapema. Kitu kingine ni vita, ikitokea vita wanaenda wanaume kupigana, wanafia huko. Kwahio ili kila mwanamke apate mwanaume ilibid washare.
.
Kwahio unaona hapo kwa maisha ya zaman ilikua inamake sense kua na wake wengi, ila kwa sasa? Sio sana... sasa unakuta m'bongo choka-mbaya nae anaoa wake wanne, kila mke watoto 5-5... [emoji2365]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama sheria hii iliwekwa,basi hakuna shaka mme mmoja kwa wake wawili Mungu aliruhusu:

Kumbukumbu la Tarati 21:15

15 Akiwa mtu yuna wake wawili, mmoja ampenda, mmoja hampendi, nao wamemzalia watoto, ampendaye na asiyempenda wote wawili; na yule mzaliwa wa kwanza akiwa ni wa mke asiyependwa;

Pia kama Mungu alikibariki kizazi za Israel kinachotokana na wake wa nne,basi ni Mungu mwenyewe ndiye aliruhusu wake wengi.
 
Ni kweli...ila rasilimali zilizopo hapo Moro haziwezi kututosheleza na kutuhudumia wote.
Na pia asisahau viumbe wote wa duniani tunategemeana ili kuishi... kwahio tutahitaji nafasi kwaajili yetu binadamu, nafasi kwaajili ya wanyama wa kufugwa, nafasi kwaajili ya wanyama wa mwitu na nafasi kwaajili ya miti/mimea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom