Sababu za kufeli kwa TTCL na nini ifanyike kulinusuru

Hapa hatuzungumzii ttcl kama msimamizi wa huduma za kimawasiliano bali tunamzingumzia ttcl kama mtoa huduma ya mawasiliano kama livyo voda , yas, halotel, na airtel kwahy jitahidi kutofautisha kati ya ttcl na Tcra
ttcl inafanya kazi kama tbc, hata ivo ttcl ndo shirika lenye miundo mbinu bora na ya kiwango cha juu ukanda huu wote, ulishawahi kuskia MKONGO WA TAIFA? its so good kiasi kwamba inarun mpaka nchi nyingi za jiran kama congo, malawi, rwanda na burundi nzima
 
Uvccm mnashida gani? Mbona unakwepa hoja ya muhimu?
 
hakuna hoja zaidi ya mtu kuongea kitu hakijui, ttcl sio mfanya biashara ni state owned yupo pale kwa shuhuli maalum, mbna hamuulizi kwann tbc haichukui matangazo ya biashara
 
Kama wasingekuwa wanafanya biashara, wasingekuwa wanashindana na makampuni mengine. Au serikali hairuhusiwi kufanya biashara?
 
serikali na biashara wap wap mkuu, ttcl ni state owned 100%
 
kuna watu huu mwaka lazima wakalie kawangware
 
Sawa, ni mali ya serikali kwa 100%. Je, hawaruhusiwi kufanya biashara? Kwa sababu kile kinachofanywa na TTCL ni biashara, lakini inaleta hasara. Mtanzania mzalendo ameibua hoja, na sisi kama Watanzania wenye mapenzi na taifa letu, tunawezaje kusaidia kuinusuru TTCL?
 
TTCL inakufa, nini kifanyike kuinusuru?
 
Sawa, ni mali ya serikali kwa 100%. Je, hawaruhusiwi kufanya biashara? Kwa sababu kile kinachofanywa na TTCL ni biashara, lakini inaleta hasara. Mtanzania mzalendo ameibua hoja, na sisi kama Watanzania wenye mapenzi na taifa letu, tunawezaje kusaidia kuinusuru TTCL?
TTCL haiwezi kuingia 100% kwenye biashara kwa sababu sio lengo lake la kuanzishwa, sio kila kitu lazima kiwena monetary profit, tukichukua mfano wa ttcl ipo pale kama state backup, tuseme leo hii makampuni yote ya simu yafunge biashara ndo nchi itarudi kutuma barua ama? so iko pale kwa ajili ya nchi na sio kutengeneza faida ndo nkakupa mfano wa tbc inavofanya kazi ila mashirika yapo mengi mfano reli ya kati kwenda kigoma, hata ile ya zambia ndo china wameichukua juzi nadhani unapata picha nachomaanisha

Lakini pia gharama za internet duniani ni kubwa sana kwa miaka 10 iliopita, so serikali kupitia ttcl wanalipia kidogo an ingine wananchi wanalipia ndo na wewe unaweza kuingia online,

pia ambalo unatakiwa kulijua toka mwanzo, serikali shida yake kubwa ni power na sio pesa, hizo pesa ni wewe unaziona za thamani sana ila wanaweza kuamua mda wowote wakasema tuchapishe mpya(Japo ni nje ya mada lakini lengo ni uelewe priorities zinavokuaga)
 
TTCL ni moja ya taasisi muhimu sana katika historia ya mawasiliano Tanzania. Ilikuwa uti wa mgongo wa mawasiliano ya taifa kwa miaka mingi. Hata hivyo, leo hii TTCL inaonekana kufeli au kuendelea kufanya underperform licha ya kuwa na rasilimali, miundombinu na nafasi ya kipekee kama shirika la umma.

Swali ni: Tatizo ni nini hasa?

1. Uongozi na Uamuzi Usio wa Kibiashara
Moja ya sababu kubwa ni kukosekana kwa uamuzi wa kibiashara (commercial mindset). Maamuzi mengi yanaonekana kufanywa kwa mtazamo wa kisiasa au kiutawala badala ya ushindani wa soko. Sekta ya mawasiliano ni ya kasi sana, lakini TTCL imekuwa nzito katika maamuzi na utekelezaji.

2. Tetesi za Kufanya Underperform kwa Makusudi
Kuna tetesi nzito miongoni mwa watumiaji na wafanyakazi wa sekta kuwa TTCL haachiwi ifanye vizuri kwa makusudi, ili:
Kulinda maslahi ya mitandao mingine binafsi
Kuepusha ushindani wa kweli sokoni
Kuweka soko mikononi mwa makampuni machache makubwa
Ingawa tetesi hizi hazijathibitishwa rasmi, ukweli ni kwamba matokeo yanafanana na tetesi zenyewe: TTCL inasuasua wakati soko linakua kwa kasi.

3. Ubinafsi na Maslahi Binafsi Ndani ya Shirika
Kuna changamoto ya watu kujali maslahi yao binafsi kuliko maslahi ya shirika:
Miradi kukwamishwa kimakusudi
Mawazo mapya kuzimwa
Wafanyakazi wachapakazi kukatishwa tamaa
Ubinafsi huu umeua ubunifu na kasi ya maendeleo.

4. Ujuaji Uliopitiliza (Know-it-all Syndrome)
Baadhi ya viongozi na wafanyakazi wana mtazamo wa “najua kila kitu”, hawapokei mawazo mapya, hawasikilizi vijana wala wataalamu wa nje. Hii ni hatari sana katika sekta inayobadilika kila mwaka.

5. Kutojituma na Kukosa Uwajibikaji
Kuna ukweli mchungu kwamba:
Baadhi ya wafanyakazi hawajitumi
Hakuna kipimo madhubuti cha utendaji (KPIs)
Mtu hafanyi kazi lakini analindwa na mfumo
Hali hii inaua morali ya wafanyakazi wanaojituma.

6. Huduma Duni kwa Wateja
Mteja wa leo hana subira. TTCL imeendelea:
Kuchelewa kutatua malalamiko
Kutoa huduma zisizo thabiti
Kushindwa kujenga imani kwa wateja
Katika biashara ya mawasiliano, mteja akiondoka harudi kirahisi.

NINI IFANYIKE?

1. Mageuzi ya kweli ya uongozi – si kubadilisha majina bali fikra.
Kuendeshwa kibiashara, sio kiutawala.

2. Uwajibikaji na KPI kali kwa kila mfanyakazi.

3. Kuondoa siasa na maslahi binafsi ndani ya shirika.

4. Kufungua milango ya ubunifu na kusikiliza vijana na wataalamu.

5. Uwekezaji wa dhati kwenye mtandao na huduma kwa wateja.

6. Serikali iamue wazi: inataka TTCL ishindane au iwe ya mapambo?

HITIMISHO

TTCL haijashindwa kwa sababu haina uwezo, bali kwa sababu mfumo umeifanya ishindwe. Kama hakuna mabadiliko ya dhati, itaendelea kuwa kumbukumbu ya historia badala ya mshindani wa sasa.

👉 Maoni yenu wanajamii: TTCL iendelee kuwa ya umma, ibinafsishwe, au ifanyiwe mageuzi makubwa?
Sababu zote ulizotoa Zina ukweli wa 100%
 
TTCL kisheria ni kampuni ya kibiashara, siyo shirika lisiloruhusiwa kufanya biashara.
Changamoto ni kwamba kivitendo imekuwa ikiendeshwa kama taasisi ya serikali: maamuzi yanachelewa kwa sababu ya taratibu nzito, uingiliaji wa kisiasa, na kukosekana kwa uhuru wa menejimenti kufanya maamuzi ya ushindani sokoni. Badala ya kuendeshwa kwa misingi ya biashara (faida, ubunifu, ushindani), TTCL imefungwa na mfumo unaoifanya ishindwe kuchukua hatari za kibiashara. Tatizo si sheria wala umiliki wa serikali, tatizo ni uendeshaji na mfumo wa maamuzi.
 
usipende kuongea kitu hukijui, bei ya data kutoka seacom hua ni kama $2- $8 kwa gb moja, ukichukua hii taarifa

For only US$0.75, one gets a gigabyte of data in Tanzania making it the cheapest offer among countries in the regional bloc.

Rwanda which has been leading is now pushed below to second position with US$1.25 for a gigabyte of data.

In comparison to other countries in the regional bloc, Uganda (US$1.56) and Burundi (US$2.10) while Kenya, which was second in East Africa last year charging US$1.04, now charges US$2.25 per gigabyte (GB).

utaona mtanzania analipa tuseme 40% tu ya bei nzima, wengine wote wanalipa kuanzia 60% mpaka 100 ya bei nzima ya data! ingekua kila kampuni imeruhusiwa kujichukulia data baharini nan angekuuzia data kwa bei chini ya soko?
 
Hiyo sio sababu ndugu IT wa ttcl. Boresheni huduma muweze kusavaivu

Hujiuliz why hata TBC haifanyi vzr licha ya kuwa na kila ktu, vp khs mwendokasi, vp khs shirika la ndege licha ya kuwa na madege ya ksasa kbs, vp khs TRAIN, vp khs bandari? nk tatzo ni CCM CCM CCM hili shetan likiondoka na watu wake tunatoboa kbs..
 
Kama kawaida makampuni na mashirika mengi yanauliwa na masiasa ya majitaka ya mafiisieemu imagine wao ndio wanamiliki mkongo wa taifa wa interet na wanawauzia hao kampuni nyingine za simu lakini cha ajabu wao ndio wanatoa huduma mbovu ya internet kuliko wanaowauzia data, wakati mwingine unajiuliza hvi hiyo nchi aliyoiroga ni nani? kimsingi wakiweka watu wenye akili siasa zuinaingia yaani sijui tutatokaje kwenye hiyo balaa ya mawazo mgando.
 
TTCL ni moja ya taasisi muhimu sana katika historia ya mawasiliano Tanzania. Ilikuwa uti wa mgongo wa mawasiliano ya taifa kwa miaka mingi. Hata hivyo, leo hii TTCL inaonekana kufeli au kuendelea kufanya underperform licha ya kuwa na rasilimali, miundombinu na nafasi ya kipekee kama shirika la umma.

Swali ni: Tatizo ni nini hasa?

1. Uongozi na Uamuzi Usio wa Kibiashara
Moja ya sababu kubwa ni kukosekana kwa uamuzi wa kibiashara (commercial mindset). Maamuzi mengi yanaonekana kufanywa kwa mtazamo wa kisiasa au kiutawala badala ya ushindani wa soko. Sekta ya mawasiliano ni ya kasi sana, lakini TTCL imekuwa nzito katika maamuzi na utekelezaji.

2. Tetesi za Kufanya Underperform kwa Makusudi
Kuna tetesi nzito miongoni mwa watumiaji na wafanyakazi wa sekta kuwa TTCL haachiwi ifanye vizuri kwa makusudi, ili:
Kulinda maslahi ya mitandao mingine binafsi
Kuepusha ushindani wa kweli sokoni
Kuweka soko mikononi mwa makampuni machache makubwa
Ingawa tetesi hizi hazijathibitishwa rasmi, ukweli ni kwamba matokeo yanafanana na tetesi zenyewe: TTCL inasuasua wakati soko linakua kwa kasi.

3. Ubinafsi na Maslahi Binafsi Ndani ya Shirika
Kuna changamoto ya watu kujali maslahi yao binafsi kuliko maslahi ya shirika:
Miradi kukwamishwa kimakusudi
Mawazo mapya kuzimwa
Wafanyakazi wachapakazi kukatishwa tamaa
Ubinafsi huu umeua ubunifu na kasi ya maendeleo.

4. Ujuaji Uliopitiliza (Know-it-all Syndrome)
Baadhi ya viongozi na wafanyakazi wana mtazamo wa “najua kila kitu”, hawapokei mawazo mapya, hawasikilizi vijana wala wataalamu wa nje. Hii ni hatari sana katika sekta inayobadilika kila mwaka.

5. Kutojituma na Kukosa Uwajibikaji
Kuna ukweli mchungu kwamba:
Baadhi ya wafanyakazi hawajitumi
Hakuna kipimo madhubuti cha utendaji (KPIs)
Mtu hafanyi kazi lakini analindwa na mfumo
Hali hii inaua morali ya wafanyakazi wanaojituma.

6. Huduma Duni kwa Wateja
Mteja wa leo hana subira. TTCL imeendelea:
Kuchelewa kutatua malalamiko
Kutoa huduma zisizo thabiti
Kushindwa kujenga imani kwa wateja
Katika biashara ya mawasiliano, mteja akiondoka harudi kirahisi.

NINI IFANYIKE?

1. Mageuzi ya kweli ya uongozi – si kubadilisha majina bali fikra.
Kuendeshwa kibiashara, sio kiutawala.

2. Uwajibikaji na KPI kali kwa kila mfanyakazi.

3. Kuondoa siasa na maslahi binafsi ndani ya shirika.

4. Kufungua milango ya ubunifu na kusikiliza vijana na wataalamu.

5. Uwekezaji wa dhati kwenye mtandao na huduma kwa wateja.

6. Serikali iamue wazi: inataka TTCL ishindane au iwe ya mapambo?

HITIMISHO

TTCL haijashindwa kwa sababu haina uwezo, bali kwa sababu mfumo umeifanya ishindwe. Kama hakuna mabadiliko ya dhati, itaendelea kuwa kumbukumbu ya historia badala ya mshindani wa sasa.

👉 Maoni yenu wanajamii: TTCL iendelee kuwa ya umma, ibinafsishwe, au ifanyiwe mageuzi makubwa?
Acheni watu na makampuni binafsi wamiliki pesa serikali ikusanye tu kodi, kama serikali inataka kumiliki pesa ikachukue za BOT
 
Back
Top Bottom