Katika pitapita wadau apa mjini nimeona kitu fulani cha tofauti kidogo kwa wakazi wa Dar. Yani ukikaa foleni kila baada ya gari moja au mbili inafata toyota IST.
Hivi hili ongezeko la hizi gari ni ugumu wa maisha watu hawana hela ya mafuta ya kuendesha gari nyingine?
Kwani nasikia inakunywa kama boxer..
Maoni yenu wadau
Hivi hili ongezeko la hizi gari ni ugumu wa maisha watu hawana hela ya mafuta ya kuendesha gari nyingine?
Kwani nasikia inakunywa kama boxer..
Maoni yenu wadau