Sababu ya Lady Jay Dee kuachana na mumewe

Sakata lilianza gadner alipopata dili la utangazaji kenya, jide akagoma enzi hizo. Kwasababu ya michongo yake ya machozi band, nyumba mpya kimara, na biashara zingine. Na gadner ndio alikua managing director wa hayo mambo, baadae gadner akakubali kuachana na dili, ila sasa balaa likaja kuanza. Visa na mzigo gadner uliongezekaga, akaanza visa na dharau. Akanunuaga murano enzi hizo kimara. Likawa linachukuliwa na vimada. Mara zile gari zingine za lady jaydee.
Mbaya zaidi jide alikula sana kipigo. Maafande wa kituo cha polisi temboni wamesuruhisha sana kesi pale.
Balaa lilizid gadner akawa chapombe mara dufu kama enzi za kabla ya ndoa.
Jide akaendaga marekani, alipoteaga bongo.
Pale gadner ndio moto wa vimada ukazidi, Famous, humble and Fataki kwa muda huo.
Nikula vigozi manyoya tu, kumbe kashaachwa, na annazidi kumpandisha hasira jide.
Jide kurudi tu kutoka marekani, taarifa yaa kwanza kusikia vijana wa enzi zile ilikua jide kaonekana mahakamani na gadner, na wameshapeana taraka na kila mtu yuko free na shughuli zake. That was a dead end, lady jaydee alichachuka haswa, mitanndaoni huko mablogspot magazeti yote anajaa yeye, kwamba kamuacha mwamba, kimara akakata mguu, gadner nae akapita vile. Binti anabwatuka gadner humble guy, black man don't cheat anakaa kimya, anajibu kupitia yale maneno ya jide, kwamba alichoongea jide kinatosha, hana maneno zaidi.
Hapa hata rapa wakazi meneja wa jide aliufyata enzi hizo.
Haya story hiyo boss. Ila it was more interesting zaidi ya hivi nilivyoeleza .mm si muandishi.
 
Yule sijui ndugu yake, mtoto wake aliwahikulipiwa ada milioni tatu,useme huyo Gardner alikua analelewa....?
Moja ya watu walionimalizia MB ni pamoja na Gardner,amenihuzunisha sana.
Na bibi yako huko kijijini kwenu alivyofariki ulihuzunika kiasi hiki au ni unafiki tu wa sisi watanzania?
 
Sakata lilianza gadner alipopata dili la utangazaji kenya, jide akagoma enzi hizo. Kwasababu ya michongo yake ya machozi band, nyumba mpya kimara, na biashara zingine. Na gadner ndio alikua managing director wa hayo mambo, baadae gadner akakubali kuachana na dili, ila sasa balaa likaja kuanza. Visa na mzigo gadner uliongezekaga, akaanza visa na dharau. Akanunuaga murano enzi hizo kimara. Likawa linachukuliwa na vimada. Mara zile gari zingine za lady jaydee.
Mbaya zaidi jide alikula sana kipigo. Maafande wa kituo cha polisi temboni wamesuruhisha sana kesi pale.
Balaa lilizid gadner akawa chapombe mara dufu kama enzi za kabla ya ndoa.
Jide akaendaga marekani, alipoteaga bongo.
Pale gadner ndio moto wa vimada ukazidi, Famous, humble and Fataki kwa muda huo.
Nikula vigozi manyoya tu, kumbe kashaachwa, na annazidi kumpandisha hasira jide.
Jide kurudi tu kutoka marekani, taarifa yaa kwanza kusikia vijana wa enzi zile ilikua jide kaonekana mahakamani na gadner, na wameshapeana taraka na kila mtu yuko free na shughuli zake. That was a dead end, lady jaydee alichachuka haswa, mitanndaoni huko mablogspot magazeti yote anajaa yeye, kwamba kamuacha mwamba, kimara akakata mguu, gadner nae akapita vile. Binti anabwatuka gadner humble guy, black man don't cheat anakaa kimya, anajibu kupitia yale maneno ya jide, kwamba alichoongea jide kinatosha, hana maneno zaidi.
Hapa hata rapa wakazi meneja wa jide aliufyata enzi hizo.
Haya story hiyo boss. Ila it was more interesting zaidi ya hivi nilivyoeleza .mm si muandishi.
Kwa hiyo story kwamba mwamba ameondoka kwa kuwa alikua kaunganishwa na gridi ya taifa inaweza ikawa na ukweli?
 
Kuna intavyuu za kutisha tu,Gardner kaeleza alikua anapata mshahara tena mkubwa,angekuaje mwanaume kama mabinti?
Gardner alikua mtu poa sana,watu wanasema tu.... ilimradi kusema.
Kuna life staili hata ungekuwa unalipwa mamilioni bado hayaonekani,kila mwanamke anahitaji kutunzwa
 
Sasa nawewe unaamini mtu poa kabisa, Gardner awe anapata deals nyingi,anasaidia watu,ashindwe kujitunza na kumtunza mwanamke?
Aisee... jamaa hata hivyo alikua anaonekana ni mpole in nature,sidhani baadhi ya mambo ya kwenye nyimbo kama yalikua yanamhusu na kuonyesha yuko poa,alikua anapiga nyimbo za Jide kumsapoti kwenye redio ambayo Jide nyimbo zake zilikua hazipigwi.
Was a good man.
 
Na bibi yako huko kijijini kwenu alivyofariki ulihuzunika kiasi hiki au ni unafiki tu wa sisi watanzania?
Siwezi kufurahia kifo,kwanini bibi yangu,damu yangu,MKE WANGU kwasababu alikua ananiita mume,kipenzi changu,afariki lakini nisisikitike?
Acha kunikumbusha mambo ya bibi yangu,kwanza sijui umwmletaje hapa bibi yangu?
Unazingua.
 
Nini sababu ya Mwanamuziki Nguli duniani lady jay Dee kuachana na mume wake wa ndoa? Mwenye kujua tafadhali ili tuweke rekodi sawa kwenye maandishi.
Cc: kataa ndoa
We km siyo shoga sijui, unahangaikia sababu za mwanamke kuachana na mme wake? Hata haya huna? Tafuta kazi ya kufanya
 
Siwezi kufurahia kifo,kwanini bibi yangu,damu yangu,MKE WANGU kwasababu alikua ananiita mume,kipenzi changu,afariki lakini nisisikitike?
Acha kunikumbusha mambo ya bibi yangu,kwanza sijui umwmletaje hapa bibi yangu?
Unazingua.
Samahani mkuu,ila kuna hoja nilitaka kuiibua...ila tuyaache hayo.
 
Sasa nawewe unaamini mtu poa kabisa, Gardner awe anapata deals nyingi,anasaidia watu,ashindwe kujitunza na kumtunza mwanamke?
Aisee... jamaa hata hivyo alikua anaonekana ni mpole in nature,sidhani baadhi ya mambo ya kwenye nyimbo kama yalikua yanamhusu na kuonyesha yuko poa,alikua anapiga nyimbo za Jide kumsapoti kwenye redio ambayo Jide nyimbo zake zilikua hazipigwi.
Was a good man.
Kumbe huwajui watu wa hivyo eee,yaani wao wakishaona mwanamke ana uwezo wanageuka marioo,wapo wengi mbona.
Ok sawa kaangalie uzi wake mwingine aliagwa shule ya msingi
 
Inasikitisha Sana aisee. Bora mwamba angevumilia kipogoncha binti Machozi angalau kina caren wangeambulia mafao toka kwa jide
 
Back
Top Bottom