Sababu ya kuchepuka au kuoa mwingine

Sababu ya kuchepuka au kuoa mwingine

kuna wanaume wameumbwa na damu ya kuchepuka hata umfanyie nn atatoka tu, japo nakubali wengine uzembe wa wake zao husababisha wachepuke lakini tuangalie pande zote mbili, wengine hata umfanyie nn atataka tu kuonja na pengine pakoje.
 
You made my day bro!!!!
Wanawake wengine wana lawama wakisikia mume wake amecheat watapiga kelele atamsuta! "umekosa nini mwanaume huridhiki" "mabucha yote nyama ile ile" Kwani mi sikupi? Si nakuuliza wewe hasidi fisadi namba 1 wa mapenzi usiyetosheka .Kwani haikutoshi hii? Atatokwa povu hapo wakati in real hakuna annachofanya anachojua ni kubetua ile loki ya sidiria na kujilaza chanuu kusubiria mikwaju. Baada ya hapo anachojua ni makelele tu kama gari ya takataka, kazi yote ufanye wewe.

Sasa kuna wanawake huko nje wakikudaka lazima upagawe. Maana ukifika mlangoni unadakwa hata kabla hujavua viatu unafinywa si kufinywa, unameng'enywa na mchanganyiko wa meno na kucha unabaki unaweweseka kama kondoo aliyesahau mlango wa banda. Khanga ikianguka mtoto anashanga kama 76 za rangi tofautitofauti.

Anakubindulia mguu mmoja dirishani mwingine kwenye feni ukija kutua unasindikizwa na busu moja la sikio unaambiwa "Pole! Halafu unapewa juisi ya ukwaju baridi huku unakunwakunwa na kupepewapepewa ulale. Sasa wewe unayebetua sidiria na kutulia kama ndama mwenye mdondo akimaliza unamwambia "sogea huko tulale unanibana. Asipochepuka au kuoa mwingine labda ni mhashamu askofu mwanamizi wa kigango cha mavurunza!

������ Mi siimo!
 
Mchepuko noma ile unafunga mlango tu tayari keshafungua zip ya suruari
 
Kwa maisha ya sasa hivi, ukiwa free jitahidi basi kumsaidia mkeo vijikazi vidogo vidogo. Wote mnatoka kazini jioni na mnachoka, usimuache afanye Kila kitu on her own. Saidiane kuepusha malalamiko ya hapa na pale. Zama zimebadilika brod

Ofcoz yes! Maisha KUSAIDIANA.
Tupo hapa KUYAJENGA.not otherwise.
Tunatupa mawe gizani,litakayemkuta AJIREKEBISHE...
 
FarePlay

Daah mkuu yani umegusa mule mule kuna demu nilikuwa nae yani ukiwa nae kitandani haangaiki kbsaa bora hata huyo anatoa miguno huyu alikiwa hatoi ushirikiano kbsaa afu nilitafuta mwingine ananiuliza umekosa nn kwangu?

Hahahahaaaaaa hatariiii
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom