Sababu ya kuchepuka au kuoa mwingine

Sababu ya kuchepuka au kuoa mwingine

Swadaqta Khaswa..!! hiyo umeiweka faswaha na kuvunja ukimya mwanaume "SEMA UKITAKACHO na uigharamie walau 50%" utapata zaidi ya nje !! (unazopeleka kwa michepuko siulete nyumbani kwako?)

Mwanaume kaa ujue una watoto wa damu na nyama yako, wanahitaji MALEZI,MATUNZO,HOME-WORK na majukumu hayo yapo mgongoni mwa MKEO (mama watoto wako) !!
mengine malizieni.........
FarePlay Geniustin

Umeona sasa, yani kuna familia zinaishi kwa tabu kuliko maelezo kwa sababu tu baba kakolezwa na michepuko so hajali tena familia yake. Watoto wanaishi kama hawana baba, wanakosa Upendo wa baba na matunzo pia.

Ukiacha tu hilo, kuchepuka kuna gharama zake. Mnawaletea wake zenu magonjwa ndani. Msipowaletea basi mtaanza kuumwa wee, na michepuko mingi hainaga muda wa kumuuguza mtu. Nepi kavalishwe kwa mkeooo

Michepuko mingine ni washirikina kupitiliza, wataroga hadi watake kumuua mkeo maskini afu watoto ndo wataoteseka zaidi

Mnahonga huko Nje hadi mnabaki na suruali tu, michepuko itawafukuza afu mnarudi kwa wake zenu bila cent na aibu juuu

Yani Hamna ndoa isiyo na matatizo. Na kuna Vitu vichache kwenye ndoa vinabadilika kadri mnavyozidi kuishi. Cha muhimu ni kuwa tu muwazi kwa mwenzako. "VUNJA UKIMYA". Utachepuka hadi lini?
 
Last edited by a moderator:

Nawasikia watu husema ati SIKO la KUFA halisikiagi...!!?
One day tutasikia tu...
 
Inshallah na msikie mapema before haijawa too late. Kuona mnaona na kusikia mnasikia ili sijui tu kwa nini mnakuwa na mioyo migumu
Mie naamini kuwa siyo nyoyo kuwa ngumu, kwani kimaumbili moyo huwa kama sponji "inanepa" na huwa inaita na kukataa hivi :- Yule ndiyo, Huyu hapana !!

Lakini madamu umesema In-Shaaa-Allah... Asaa tusikie na wasikie maana sauti zenu ni finyu sana hazi sikiki!!!
 
Umeona sasa, yani kuna familia zinaishi kwa tabu kuliko maelezo kwa sababu tu baba kakolezwa na michepuko so hajali tena familia yake. Watoto wanaishi kama hawana baba, wanakosa Upendo wa baba na matunzo pia.

Ukiacha tu hilo, kuchepuka kuna gharama zake. Mnawaletea wake zenu magonjwa ndani. Msipowaletea basi mtaanza kuumwa wee, na michepuko mingi hainaga muda wa kumuuguza mtu. Nepi kavalishwe kwa mkeooo

Michepuko mingine ni washirikina kupitiliza, wataroga hadi watake kumuua mkeo maskini afu watoto ndo wataoteseka zaidi

Mnahonga huko Nje hadi mnabaki na suruali tu, michepuko itawafukuza afu mnarudi kwa wake zenu bila cent na aibu juuu

Yani Hamna ndoa isiyo na matatizo. Na kuna Vitu vichache kwenye ndoa vinabadilika kadri mnavyozidi kuishi. Cha muhimu ni kuwa tu muwazi kwa mwenzako. "VUNJA UKIMYA". Utachepuka hadi lini?

Ni kweli bidada!
Michepuko sio dili kabisa.
TUYAZUNGUMZE!
 
Kwani wanaochepuka wana label usoni! Unless wewe ni kigalula

Mazuri ya mume kwa mkewe huficha udhaifu wake kwa mkewe..
Na mazuri ya mke kwa mumewe huficha udhaifu wake pia.
 
Mapenzi yanatakiwa kila uchao yawe mapya.
Yapaswa kila siku uwe mgeni kwenye ndoa yako.usiizoee..
Ubunifu,utundu na.. Na...na... N.k
Tatizo kujisahau,dharau na mazoea...
Lol
 
@ForePlay huyo wa kwako na yeye ni mchepuko wa mwingine na huko yeye ana manjonjo ile mbaya. Kwa mchepuko yeye anachotaka ni pesa so lazima abembeleze ila.mkeo.anataka.mapenzi umkanue hasa so jitathmini vizuri

Nashangaa...unless atuambie hao wa nje ni alien...lakini kama ni wale wale tofauti kiwanja ajichunguze...asijekuta bila bila
 
Mmh huyo mkeo huo uzembe on bed ameuanza sasa hivi? Hukujua kama ni gogo before? Huo mchepuko wako unajichetua kwa sababu tu unajua wewe sio wake, anataka akuteke tu ili umsahau mkeo. Trust me ukishauoa huo mchepuko na wenyewe utaanza tu uvivu. Ongea na mkeo, mwambie unavyokerwa na hiyo hali. Kuchepuka sio solution na hakuna excuse ya kuchepuka

Tena wengine wakiolewa tu basi kila kitu housegirl...
Kufua nguo, kunyoosha housegirl..
Kupika chakula kupakua,kuandaa meza house girl...
Kusafisha nyumba hadi kutandika kitanda chao house girl...
Kufungua geti/mlango mzee anaporudi kutoka kazini house girl...
Kupokea vifurushi house girl..
Kuandaa maji ya kuoga mzee house girl..
Yan ye kazi yake kuangalia muvi tu,kuchat fb,kujipiga picha za kutupia in* au basi tu jeuri..

Kwani mi sijachoka!
Kwani bafuni hukujui!
Kwani we huna mikono!
Kwani mi mfanyakazi wako..

Yaani ni shida..
Ukipata raha!
Ukipatiwa.....
 
Kwa maisha ya sasa hivi, ukiwa free jitahidi basi kumsaidia mkeo vijikazi vidogo vidogo. Wote mnatoka kazini jioni na mnachoka, usimuache afanye Kila kitu on her own. Saidiane kuepusha malalamiko ya hapa na pale. Zama zimebadilika brod
 
Wanawake wengine wana lawama...wakisikia mume wake AMECHEAT watapiga kelele... Atamsuta! "Umekosa nini mwanaume huridhiki" "mabucha yote nyama ile ile"
Kwani mi sikupiiii? Si nakuuliza wewe hasidi fisadi namba 1 wa mapenzi usiyetosheka.
Kwani haikutoshi hii?

Atatokwa povu hapo wakati in real hakuna ANACHOFANYAGA... Anachojua ni kubetua ile LOKI ya sidiria na kujilaza chanuu... Kusubiria mikwaju. Baada ya hapo anachojua ni MAKELELE tu kama gari ya takataka.kazi yote ufanye wewe...
.....SASA kuna wanawake huko nje wakikudaka lazima upagawe..maana ukifika mlangoni unadakwa hata kabla hujavua viatu...unafinywa SI kufinywa, unameng'enywa na mchanganyiko wa meno na kucha unabaki unaweweseka kama kondoo aliyesahau mlango wa banda...Khanga ikianguka mtoto anashanga kama 76 za rangi tofautitofauti... Anakubindulia mguu mmoja dirishani mwingine kwenye feni..ukija kutua unasindikizwa na busu moja la SIKIO.....unaambiwa "Poleeeee!!!!...
Halafu unapewa juisi ya ukwaju bariiidi huku unakunwakunwa na kupepewapepewa ulale..

Sasa wewe unayebetua sidiria na kutulia kama ndama mwenye mdondo..... Akimaliza unamwambia "SOGEA HUKO TULALE UNANIBANA"

Asipochepuka au kuoa mwingine labda ni mhashamu askofu mwanamizi wa kigango cha mavurunza!!
í-½í¸í-½í¸í-½í¸
Mi siimo!!!!

Hahahaaa sogea huko tulalee, chupi yangu ikowapi?, mmh unanuka kwapa/mdomo nk. hahahaaaa mhashamu baba askofu...
 
Mapenzi yanatakiwa kila uchao yawe mapya.
Yapaswa kila siku uwe mgeni kwenye ndoa yako.usiizoee..
Ubunifu,utundu na.. Na...na... N.k
Tatizo kujisahau,dharau na mazoea...
Lol

Wanawake wakiolewa na wakasaini cheti cha ndoa uvivuu unawaanza acha sasa azae kamwana ka1 ndiio baasi tena atajibwetekaa hata ajui muda wa kuoga,usafi wa nyumba"vyombo,nguo,kitanda,mashukwa unafanyka muda gani? mume ndio atajua akitaka nguo kama chafu safi haina vishkzo nk mke halijui nk. Though hata wanaume na ni wabaya ila chanzo ni nani? kila m1 akivaa uhusika wake na kusimamia idara yake vyema unadhani mchepuko utakusumbua? Jmn michepuko ingne haitumii tunguli ya babu wala bibi ni target tu goli linafungwa.
 
My dear wanaume wote wanaochepuka ni kwa sababu wake zao wanajibweteka? Kuchepuka ni tabia ya mtu, so wengi wanatafuta justifications tu za kuchepuka. Hata uwe perfect kama malaika, wapo watakaokwambia " kuchepuka ni asili yetu"
 
Kusema kweli kwa mimi mke wangu anaujua wajibu wake, sema sasa hanikadiliagi, nafika wakati naogopa kupanda kitanda mapema ili asinzie na mm nipate muda wa kupumzika
 
FarePlay

Daah mkuu yani umegusa mule mule kuna demu nilikuwa nae yani ukiwa nae kitandani haangaiki kbsaa bora hata huyo anatoa miguno huyu alikiwa hatoi ushirikiano kbsaa afu nilitafuta mwingine ananiuliza umekosa nn kwangu?
 
Last edited by a moderator:
Na mie simoo

Usisahau

*****************

Kupiga kura
Diamond Platnumz kategori 3 (tatu) - Best MALE, Best COLLABORATION na Best LIVE and Vanessa 1(moja) -- Best FEMALE

ingia kwa link hii chini

http://mama.mtv.com/voting/

Bonyeza bonyeza VOTE usichoke

******************
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom