Donpela
JF-Expert Member
- Jun 30, 2011
- 2,040
- 592
hahahahahaNaskia anaitwa Gwajjizzo
mkuu u made my evening
hahahahahaNaskia anaitwa Gwajjizzo
Mvipeleke wapiYanakuhusu nini? Mwambie bashite tunataka vyeti tu
Kitu kikiwa tz tu lazima kiwe cha ajabu?BASHITE anavaa bullet proof wkt yyy anajiita mungiiwa Dar....
Ajabu and only in tz
Anaitwa siku hizi Gwaj boy!Naskia anaitwa Gwajjizzo
Ndio ndio wakuu...
Najiuliza tu kwanini mshikaji siku hizi anapenda sana kuvaa style moja...
Alikua mtu wa suti na mashati ya kawaida...
Siku hizi ni mwendo wa Shati + Kizibao (tofauti rangi tuu)
Mimi ni shabiki wake sana, najiuliza hivi sababu itakua:
1. Kaamua kuwa na identity yake kama baba wa jeshi la ufufuo na uzima
2. Marketing zaidi, kuwa na label katika digital broadcasting (Rudisha TV, Facebook)
3. Bullet proof (hii naona inaingia akilini kwangu)
Ama nyie wakuu mnasemaje..... Mwendo wa Vizibao tuuu... Go Bishop Gwajey Goo!!
View attachment 485034
View attachment 485038
View attachment 485043
View attachment 485045
View attachment 485046
hahahahaha
mkuu u made my evening
ntarejea mkuuKaribu bro! Afu fb mbona huonekani
yap mkuu...Kumbe haya ndio majina yenu halisi... sawa sawa..
Jerry Msigwa na Vaiko Joel Said