Sababu ya Bishop Gwajima kuvaa kizibao

Padri Mcharo

JF-Expert Member
Feb 28, 2015
1,899
3,686
Ndio ndio wakuu,

Najiuliza tu kwanini mshikaji siku hizi anapenda sana kuvaa style moja.

Alikua mtu wa suti na mashati ya kawaida.
Siku hizi ni mwendo wa Shati + Kizibao (tofauti rangi tuu)
Mimi ni shabiki wake sana, najiuliza hivi sababu itakua:
1. Kaamua kuwa na identity yake kama baba wa jeshi la ufufuo na uzima
2. Marketing zaidi, kuwa na label katika digital broadcasting (Rudisha TV, Facebook)
3. Bullet proof (hii naona inaingia akilini kwangu)

Ama nyie wakuu mnasemaje.Mwendo wa vizibao tuu. Go Bishop Gwajey Go!


upload_2017-3-22_19-8-10.png



upload_2017-3-22_19-8-58.png


upload_2017-3-22_19-10-5.png


upload_2017-3-22_19-10-51.png


upload_2017-3-22_19-12-4.png
 
Back
Top Bottom