Mwanamke kutongozwa, ni moja ya ishara ya kuthibitisha uzuri alionao, mvuto, pamoja na hali ya kupendeka kwa wanaume.
Ndio maana wanawake wengi hujipamba na wengine kujiongezea maumbo mbalimbali, ili aweze kuvuta hisia za mwanaume, na kutongozeka.
Asipotongozwa, huwa wanajisikia vibaya na wengine huwa wanakuwa wakali wakali, kwa kuhisi labda ni wabaya.
Kwa hiyo, wanaume tuendelee kutumia nafasi yetu ya kuwatongozwa, ili hawa ndugu zetu waweze kuona dunia ni sehemu sahihi ya kuishi.
Kwa wewe mrembo unayetaka kutongozwa, nyoosha mkono juu 😀 😀