Smotor
JF-Expert Member
- Jan 3, 2021
- 2,464
- 2,075
Hao viumbe ni complex sanaBaadaye atakurudia, huwa wanajiweka 'expensive' wakati mwingine
😂😂😂
Hao viumbe ni complex sanaBaadaye atakurudia, huwa wanajiweka 'expensive' wakati mwingine
Mjini wote ni bby, uzee ni kijijini 😀 😀Bibi shkamoo, 😄😄👋👋
Na kweli bila hela, utarushiwa matusi ya kila ainaSoon utasikia
Tafuta hela kutongoza ni kujichosha.
Ni kwenda nao taratibuHao viumbe ni complex sana
😂😂😂
ukishatongoza kwani lazima uoe??Sio mkataa ndoa kweli 😀 😀
Wanaume wengi wanashindwa kwenye kubalance shobo kwa hawa viumbeNi kwenda nao taratibu
Hasa hawa watu wazima, watahitaji mkataba wa mudaukishatongoza kwani lazima uoe??
kuna hit and run....Hasa hawa watu wazima, watahitaji mkataba wa muda
Kuna sehemu nyingine ukiingia, huchomokikuna hit and run....
hapo ndo wanaume tunapotofautiana....Kuna sehemu nyingine ukiingia, huchomoki
Kwahiyo sisi tusio warembo 😀😀😀tufanyejeMwanamke kutongozwa, ni moja ya ishara ya kuthibitisha uzuri alionao, mvuto, pamoja na hali ya kupendeka kwa wanaume.
Ndio maana wanawake wengi hujipamba na wengine kujiongezea maumbo mbalimbali, ili aweze kuvuta hisia za mwanaume, na kutongozeka.
Asipotongozwa, huwa wanajisikia vibaya na wengine huwa wanakuwa wakali wakali, kwa kuhisi labda ni wabaya.
Kwa hiyo, wanaume tuendelee kutumia nafasi yetu ya kuwatongoza, ili hawa ndugu zetu waweze kuona dunia ni sehemu sahihi ya kuishi.
Kwa wewe mrembo unayetaka kutongozwa, nyoosha mkono juu 😀 😀
Unaweza kujikuta umekuwa kijakazihapo ndo wanaume tunapotofautiana....
Unajuaje kama wewe sio mrembo?Kwahiyo sisi tusio warembo 😀😀😀tufanyeje
dronedrake tongoza madem acha ujinga 😂
hautamani kabisa nyapu?? 😂
Hiyo grisi ni ya nini?
hakuna mwanamke gusa-unate.... ni wewe na msimamo wako tuUnaweza kujikuta umekuwa kijakazi
kitendea kazi ichi mkuuHiyo grisi ni ya nini?