Sababu ipi ya kisayansi inayosababisha nyumba nyingi zibaki na wajane kuliko wagane

MakinikiA

JF-Expert Member
Jun 7, 2017
5,011
6,542
Salama wandugu,

Kwanini asilimia kubwa kwenye familia wajane ndio wengi Sana katika familia ukikuta amebaki mmoja basi utasikia ni mwanamke, wanaume mbona wanawahi Sana kutoweka hapa duniani???
 
Kurogwa wanaume wanaliwa nyama sana na wanawake wachawi,

Maadui na wapinga maendeleo , mwanaume ukiwa na ela macho ya Hawa watu hayata kuacha salama,

Mtindo wa maisha , ukiwa kitombi sana jiandae , mwanaume anapoteza nguvu nyingi sana kitandani, kuwa makini na kusimamia ukucha unajimaliza .
 
Hizo za kuliwa nyama na wachawi ni sababu za kisayansi?
 
Wanaume wanafanya kazi nyingi za hatari kuliko wanawake, wana mtindo wa maisha mbaya kuliko wanawake(wanaumu wengi ndio walevi, mateja, wadhulumaji n.k) haya yote yanasababisha maisha kuwa mafupi kwako kuliko wanawake kwa ujumla.
 
Kurogwa wanaume wanaliwa nyama sana na wanawake wachawi,

Maadui na wapinga maendeleo , mwanaume ukiwa na ela macho ya Hawa watu hayata kuacha salama,

Mtindo wa maisha , ukiwa kitombi sana jiandae , mwanaume anapoteza nguvu nyingi sana kitandani, kuwa makini na kusimamia ukucha unajimaliza .
Mkuu, acha uvivu.

Kula vizuri fanya mazoezi simamia kucha acha visingizio.
 
... masuala ya kijamii pia yanachangia. Tanzania polygamy inakubalika na inakuwa practiced na baadhi ya wanajamii. Ni kawaida kwa jamii nyingi mwanaume kuwa na wake wengi - usukumani, Mara huko, na maeneo mengine ya nchi. Ni kawaida sana kukutana na ratio ya mwanaume kwa mwanamke 1:2, ..., 1:6.

Kwa ratio hizo, akifa mwanaume unadhani wanabaki wajane wangapi hapo? Ni utitiri wa wanawake anaacha nyuma yake! So, tamaduni na desturi zinachangia sana wajane kuwa wengi. Nenda mataifa yenye strict ratio ya 1:1 kama China wajane na wagane almost wana-balance.
 
Kuna wimbo wa msondo nadhani unaimba " wanaume tumeumbwa mateso kuhangaika" biblia inasema utakula kwa jasho...wanaume wanapambana Sana ,ktk hizo hatakati wengi wanakufa kwa ajali, magonjwa ya mtindo wa maisha etc...maisha ya mwanaume Ni mafupi Sana...wajane Ni wengi Sana...angalia hata wake viongozi...mama Maria nyerere, mama karume, mama mkapa n mama magufuli, etc..

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
wanaume tunarogwa sana
Kazini narogwa

Mke aniroge nisinyandue nje
Mchepuko aniroge nimsahau mama kimbo nimhonge gari..

Nyumbani ndugu waniroge ili nisiwazidi mafanikio.

majirani nao wanipige juju.

Nikifika mbinguni bila kuchoka itakuwa maajabu sana..

Nawaonea huruma wajane mbususu zao hakuna wa kuzifanyia kazi hasa dar
 
Salama wandugu,
kwa Nini asilimia kubwa kwenye familia wajane ndio wengi Sana katika familia ukikuta amebaki mmoja basi utasikia ni mwanamke, wanaume mbona wanawahi Sana kutoweka hapa duniani???
Ni kwa sababu wanawahi kufa, hii ni kwa sababu wanatumika sana kimajukumu......
 
Tuliambiwa wanawake waweza kukaa wiki bila kula ila wanaume siku tatu
Wanawake ni receipints wa proteins while wanaume ni donnors
Wanaume wanatumia carories nyingi kwenye utafutaji pamoja na kurudisha heshima nyumbani
Wanaume wanapata stress zaidi kuliko wanawake
 
Back
Top Bottom