Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,777
- 126,725
- Thread starter
- #21
Mapema hiyo ni umri gani mkuu!!!
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]Nasubiri jibu pia
Wapo waliooa/kuolewa katika umri wa pindi alipoingia utu uzima na wengine wakiwa na miaka mingi mfano 30+, lakini hawajapata vikwazo kama wengine wanavyopata hadi inapelekea kukata tamaa