BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,006
Mkuu BAK; mimi simo . . . ngoja wenyewe warudi . . . LOL
Ha ha ha ha Allien mbona unaikimbia thread yako? ha ha ha ha Wewe ndiyo mwenyewe Allien usiikimbie thread yako. Wanaume mchezo wa kutembea nje ya ndoa za umekuwepo miaka nenda miaka rudi. Miaka ya karibuni wanawake nao wameanza kufuata nyayo za wanaume sasa wanaume tunaanza kugwaya ha ha ha ha thanks to DNA vinginevyo njemba nyingi zingekuwa zinalea watoto ambao si wao.