Upo wakati ambapo mtu huelezea hofu yake juu ya mtu mwengine pasi yeye mwenyewe kujua kuwa anamhofia ,umemuuliza swali zuri sana 😀😀😀Kwa kumtaja tu Lissu, basi inaonekana anawapa shinikizo la damu.
Mbona huwataji akina Lipumba na Membe
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app