goodlif1600
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 806
- 890
Mkuu hata wewe ungekua Ivo nafikiri Sasa ivi ungekua mo dewji
Kama ni hvyo basi tuzo amekosa tayariWajinga utawajua tu njaa na umaskini unakusumbua
Aliyekwambia BET wanapigiwa kura nan? Acha ushamba au unadhan BET ni MTV ?
Uliza vigezo vya mshindi kupatikama ndo ujue sio kukurupuka
Nakupa taarifa tu hakuna kupigiwa kura BET bali jopo la watu 500 wataalam wa muziki wa BET ndo huchagua washindi
Elimu, elimu, elimu, elimu, elimu, elimuHabar watanzania polen na majukum Leo nimeona niwawekee sababu 10 za kwanini sito mpigia kura Diamond kwenye Tuzo za Bet
1)kwanza Diamond mimi sio mashabiki wake na wala sijawahi kumpenda
2) diamond sio Mzalendo kwenye mambo ya kizalendo nashangaa yeye Leo kwenye kuitaka Tuzo ya Bet yeye na genge lake wanatumia uzalendo kuomba kura wakat yeye ndio wa kwanza kudidimiza wasanii wenzake wasiweze kujipatia mkate wao wa kila siku
3),diamond kuonyesha Dharau kwenye msiba wa ruge na kumchafua kua Ruge alikua ananyonya wasanii wakat yeye alivyo toka kwenye management ya Ruge alitoka Bura na Ruge hakummaind ila yeye Harmonize katoka na kamlipa Lakin kila siku vita
3)kutomsapot dainanyange pia ni kukosa uzalendo kwani Dainanyange ni mtanzania na aliitaji uzalendo wetu ila kina Diamond waliombwa saport wakamtolea nje ila Davido kajitoa kwa Dada yetu kwaio wanaijeria wanaitaj sapot kutoka kwetu
4)kujifanya kua kila mafanikio yake ni judud zake sababu najua hata akichukua io tuzo atakuja Kuanza kujidai kua wote walio kua wanampinga kawashinda wala hato kumbuka kua tumempigia kura
5)mama yake kujiona yeye ndio Kazaa peke yake na kumtumia mwanae kuzalilisha watoto wa wengine bila kujali mama zao watajiskiaje
6)kumsaliti mzee Abdul alie mlea kwa Miaka yote
7)NI SADALA
8)Kwasababu sitaki ashinde
Izo ni Baadhi ya sababu zangu ivyo mimi Binafs kura yangu nampigia Burnaboy
Habar watanzania polen na majukum Leo nimeona niwawekee sababu 10 za kwanini sito mpigia kura Diamond kwenye Tuzo za Bet
1) kwanza Diamond mimi sio mashabiki wake na wala sijawahi kumpenda
2) Diamond sio Mzalendo kwenye mambo ya kizalendo nashangaa yeye Leo kwenye kuitaka Tuzo ya Bet yeye na genge lake wanatumia uzalendo kuomba kura wakat yeye ndio wa kwanza kudidimiza wasanii wenzake wasiweze kujipatia mkate wao wa kila siku
3) Diamond kuonyesha Dharau kwenye msiba wa ruge na kumchafua kua Ruge alikua ananyonya wasanii wakat yeye alivyo toka kwenye management ya Ruge alitoka Bura na Ruge hakummaind ila yeye Harmonize katoka na kamlipa Lakin kila siku vita
3) Kutomsapot dainanyange pia ni kukosa uzalendo kwani Dainanyange ni mtanzania na aliitaji uzalendo wetu ila kina Diamond waliombwa saport wakamtolea nje ila Davido kajitoa kwa Dada yetu kwaio wanaijeria wanaitaj sapot kutoka kwetu
4) Kujifanya kua kila mafanikio yake ni judud zake sababu najua hata akichukua io tuzo atakuja Kuanza kujidai kua wote walio kua wanampinga kawashinda wala hato kumbuka kua tumempigia kura
5) Mama yake kujiona yeye ndio Kazaa peke yake na kumtumia mwanae kuzalilisha watoto wa wengine bila kujali mama zao watajiskiaje
6) Kumsaliti mzee Abdul alie mlea kwa Miaka yote
7) NI SADALA
8) Kwasababu sitaki ashinde
Izo ni Baadhi ya sababu zangu hivyo mimi Binafa kura yangu nampigia Burna Boy

If you have any drop of sense left in your brain use it my Brother.Nadhani tunatakiwa tujue umoja wetu ndio nguvu zetu kufanikiwa kwake kuna vijana wanapata ajira kupitia yeye nipo nje ya nchi yan huku wanamjua kuliko ata wasanii wengine maarufu ni kama icon honestly kwa uyasemayo mimi nakuunga mkono simpendi kwa tabia zake lakni ntasimam nae kwa sababu ni mtz na naona taratibj anabadlika sio kama zamani ni jukumu letu kujifunza kuwa wazalendo maana neno uzalendo ni kubwa kuliko tunavofikiri tukiendelea kutafuta makosa ya watu hatutaijenga nchi tunaibomoa
Mtu akikosea anarekebishwa na mtoto anapokosea haina maana ataacha kuwa mwanao
Tuwe wazalendo
Kama mtu ako na impacts positive kwenye jamii yako muunge mkono maana mtu kama Naseeb anaajiri vijanaIf you have any drop of sense left in your brain use it my Brother.
I know education standards have fallen......
Hivi kuna watu huwa wanaendaga kweli kupiga kura? Seriously?
Hujaona nyimbo ya Davido na nyange vip Ni Mara ngap nyange kalalamika kunyimwa colabo na Diamond??Utawatambua kwa matunda yao. Mtanzania kama wewe unaandika ujinga Hivi. Embu Jiulize, pamoja na vita, ukabila, udini na mambo mengine ya kishenzi ambayo wanaijeria wanapitia, why hutaona wanafikiria sio tu kumpa kura Bali hata kumtaja Mtanzania katika kumpa promo.
Put up your Standards. Kama kweli unataka kuwa Bora usijipeleke kufanana na sokwe, fundisha na lenga kwa faida ya Mtanzania. Kama unahisi amekuchukulia mke, boresha huduma, haya mambo Sijui kaimba Nini kwa chama gani, Ni maisha tu. Kazi na pesa. Unayoamini wewe, sio lazima yawe kwa wote. Onyesha kuwa uko tofauti. That’s how we regard mature people. They rise above the average Mark, and make the World better.
Wewe unapaswa kuwa mshabiki wa Mama Tansania. That’s what matters.