Saada Mkuya Salum ana elimu yenye utata

Saada Mkuya Salum ana elimu yenye utata

Waziri wetu wa Fedha, Muheshimiwa Saada Mkuya Salumu, Mbunge wa kuteuliwa na Rais alimaliza Elimu ya sekondari mwaka 1993 katika Sekondari ya Hamamni' na akamalizia elimu ya kidato cha sita mwaka 1995. Wale mnaofahamu mfumo wa elimu hasa mfumo wa elimu wakati ule utagundua kuwa muheshimiwa mwaka 1995 alitakiwa ndio awe anatoka kidato cha tano kwenda cha sita kwani mtihani wa kidato cha nne ulikuw uifanyika Novemba, majibu machi au aprili kujiunga kidato cha tano July 1994, kuingia kidato cha sita July 1995, kumaliza kidato cha sita May 1996. Sasa huyu wazir wetu alisoma kidato cha tano na sita kwa mwaka mmoja pale Lumumba? Taarifa zake zapatikana website ya Bunge. Anayemfahamu uzuri atujuze

umeshawahi kuviona vyeti vya mbowe.sugu.lema? hivi hujui dr slaa ana phd lakini degree hana? vyeo vya kisiasa havihitaji vyeti
 
we mbumbumbu,utaongozaje bla elimu?!!!!haa!!!unsound mind wewee thats y hujielew

dj mbowe alipata division zero form six lakini anaongoza chadema yenye maprofesa akina baregu na safari
 
Huo wivu kwani ajabu ni ipi hapo??mi mwenyewe nilifanya mtihani wa kidato cha sita wakati nikiwa kidato cha tano,sa cha kushangaza kipi??km hamumjui nyamazeni msizue kwa chuki zenu tu,mlitaka apewe mnyika au tundu??mnamfanya Mh Rais mtu wa kukurupuka tu asiejua wajibu wake??mbona alipokuwa naibu hamkusema??rais hateui tu km hajamchunguza mtu kiundani,tunaomjua tumenyamaza nyinyi msiomjua midomo juu km ngao za boti,chuki,ubinafsi na migogoro tu ndio mnaoijua nyinyi.aliepewa kapewa nawewe tafuta kwa upande wako upewe ht ukatibu kata,

Jamani watanzania wenzangu tumuache saada afanye kazi ya uwaziri kukaa tunachokonoa elimu yake haisaidii hata kidogo, kuna watu wanaelimu kubwa tu lakini hata chama kimewashinda kukiongoza! Sasa dada wa watu kakosea nini? Kwani kajiteua au kateuliwa? Leave her work,
 
Deni la taifa si umelisikia lakini? Tumuache aliongeze
 
Uwaziri unasomewa? Lakini huwenda kosa lake ni kuvaa hijabu?
 
Kwa vyeti hivyohivyo sasa anachukua PHD. Muda si mrefu tutamwita Dr. Saada Mkuya.
 
Jamani hizi CV za waheshimiwa kwenye tovuti ya bunge hazina makosa kweli? Isikute hapa watu wanajibishana kwa document isiyo sahihi. Hakuna wa kuconfirm kuwa hizo taarifa zilizopo kny mtandao ni sahihi?
 
CV ingekuwa na mgogoro asingekubalika kuchukua PHD.

Huo wivu kwani ajabu ni ipi hapo??mi mwenyewe nilifanya mtihani wa kidato cha sita wakati nikiwa kidato cha tano,sa cha kushangaza kipi??km hamumjui nyamazeni msizue kwa chuki zenu tu,mlitaka apewe mnyika au tundu??mnamfanya Mh Rais mtu wa kukurupuka tu asiejua wajibu wake??mbona alipokuwa naibu hamkusema??rais hateui tu km hajamchunguza mtu kiundani,tunaomjua tumenyamaza nyinyi msiomjua midomo juu km ngao za boti,chuki,ubinafsi na migogoro tu ndio mnaoijua nyinyi.aliepewa kapewa nawewe tafuta kwa upande wako upewe ht ukatibu kata,

Ndugu maneno mengi ya nini?

Kama unamfahamu, tusaidie kutupa taarifa zake za kielimu kwa sababu ni muhimu tujue elimu ya captain wetu wa uchumi. By the way hii ndio CV yake huko Bungeni, kuna maeneo kadhaa inabidi uyajaze.

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 5, align: left"]EDUCATION[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="width: 35%"]School Name/Location[/TH]
[TH="width: 27%"]Course/Degree/Award[/TH]
[TH="width: 15%, align: center"]Start Date[/TH]
[TH="width: 13%, align: center"]End Date[/TH]
[TH="width: 10%, align: center"]Level[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]Master Of Finance[/TD]
[TD="align: center"]2008[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]MASTERS DEGREE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]Business Study[/TD]
[TD="align: center"]1997[/TD]
[TD="align: center"]1999[/TD]
[TD="align: center"]ADV DIPLOMA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]Courses for The Second Degree in Business[/TD]
[TD="align: center"]2000[/TD]
[TD="align: center"]2002[/TD]
[TD="align: center"]CERTIFICATE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Lumumba[/TD]
[TD="align: center"]'A' Level[/TD]
[TD="align: center"]1993[/TD]
[TD="align: center"]1995[/TD]
[TD="align: center"]HIGH SCHOOL[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Hamamni[/TD]
[TD="align: center"]'O' Level[/TD]
[TD="align: center"]1989[/TD]
[TD="align: center"]1992[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kisiwandui[/TD]
[TD="align: center"]Primary Certificate[/TD]
[TD="align: center"]1982[/TD]
[TD="align: center"]1988[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
na pia kwa kuwa anatoka kule zenji kunakoonekana watu hawana elimu
Zenj hukohuko ndiko alikotoka aliyekuwa katibu mkuu wa OAU Salim Ahmed Salim, Zenj ndipo alipotoka Rais Muungwana Ali Hassan Mwinyi aliyetukomboa shida zilizokubuhu za ukosefu wa mahitaji muhimu.
 
Deni la taifa si umelisikia lakini? Tumuache aliongeze

Mbona pesa chache sana hiyo si trion 27 tu? Unajua utajiri ambao uko nji hii wewe? Tutalipa mdogo mdogo mimi nilidhani ni trion 270 kumbe 27 tu!!
 
Jamani watanzania wenzangu tumuache saada afanye kazi ya uwaziri kukaa tunachokonoa elimu yake haisaidii hata kidogo, kuna watu wanaelimu kubwa tu lakini hata chama kimewashinda kukiongoza! Sasa dada wa watu kakosea nini? Kwani kajiteua au kateuliwa? Leave her work,

Our lives begin to end the day we become silent about things that matter - Martin Luther King

Unapowekewa waziri wa fedha mwenye elimu isiyoeleweka "is something that matters". Bora watu waseme mapema, kuliko kuja kusema tulijua.
 
mbona naona imekaa sawa, inaonyesha kamaliza form four 1992
 
Huo wivu kwani ajabu ni ipi hapo??mi mwenyewe nilifanya mtihani wa kidato cha sita wakati nikiwa kidato cha tano,sa cha kushangaza kipi??km hamumjui nyamazeni msizue kwa chuki zenu tu,mlitaka apewe mnyika au tundu??mnamfanya Mh Rais mtu wa kukurupuka tu asiejua wajibu wake??mbona alipokuwa naibu hamkusema??rais hateui tu km hajamchunguza mtu kiundani,tunaomjua tumenyamaza nyinyi msiomjua midomo juu km ngao za boti,chuki,ubinafsi na migogoro tu ndio mnaoijua nyinyi.aliepewa kapewa nawewe tafuta kwa upande wako upewe ht ukatibu kata,

!
!

sasa hawa akina mizigo wametokea wapi?...au inakuwaje anafanya hizi sub kila kukicha? mkuu wakati anawajua watu wake kiundani? hebu fafanua vizuri na utuelezee vizuri hapo kwenye red
 
aibu minikabang ana elimu gani? mbowe mnaetaka awe rais ana elimu gani? msigwa je? mbona mnakuwa na wivu hata kwa watoto wa kike?

Kumbe mnawapa uongozi kwa sifa ya kuwa "watoto wa kike"!!!! shame on you'
 
chadema inayoongozwa na dj sio aibu?
Acheni masihara na kudivert watu kutoka kwenye mada.
Kigezo cha elimu sio muhimu sana kwa maana hata Balali alikuwa Dr. wa PhD huku akiwa na profile inayoweza kumshawishi mtu yeyote kati ya wakaazi billion 7 wa dunia hii lakini alichokifanya wengi tunajua!
Tatizo ni kuwa kukalia ofisi ya umma inatakiwa kitu ambacho wanasheria hukiita 'utmost good faith', yaani uaminiwe na kuaminika. Sasa unapoanza kudanganya kwenye baadhi ya vitu watu ni lazima wawe na mashaka!
Alafu kitu kingine ni kuwa hii ni wizara nyeti lakini inaelekea watu wote waliowekwa ni kama wanajaribiwa. Ni kwa nini watu hawalalamikii sehemu nyingine bali hapo!? Mtu kama Prof. Lipumba anaweza kuwa anadharauliwa na watu ambao hawaelewi lakini kama umewahi kusoma maandiko yake au kufuatilia kazi zake sio mtu wa kubeza, kumbuka naye hajaridhika katika hili.

we mbumbumbu,utaongozaje bla elimu?!!!!haa!!!unsound mind wewee thats y hujielew

Unalazimisha watu wakubali unachoongea. Kuwa na Mavyeti si tija. Kipimo ni maarifa na utendaji wako wa kazi. Mwachen Dada wa watu afanye kazi. Mmekalia tu vyeti vyeti mambumbu na washamba wa maisha ya kuiga nyie.
 
Back
Top Bottom