Saada Mkuya Salum ana elimu yenye utata

Saada Mkuya Salum ana elimu yenye utata

domokaya

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2010
Posts
3,588
Reaction score
1,760
Waziri wetu wa Fedha, Muheshimiwa Saada Mkuya Salumu, Mbunge wa kuteuliwa na Rais alimaliza Elimu ya sekondari mwaka 1993 katika Sekondari ya Hamamni' na akamalizia elimu ya kidato cha sita mwaka 1995. Wale mnaofahamu mfumo wa elimu hasa mfumo wa elimu wakati ule utagundua kuwa muheshimiwa mwaka 1995 alitakiwa ndio awe anatoka kidato cha tano kwenda cha sita kwani mtihani wa kidato cha nne ulikuw uifanyika Novemba, majibu machi au aprili kujiunga kidato cha tano July 1994, kuingia kidato cha sita July 1995, kumaliza kidato cha sita May 1996. Sasa huyu wazir wetu alisoma kidato cha tano na sita kwa mwaka mmoja pale Lumumba? Taarifa zake zapatikana website ya Bunge. Anayemfahamu uzuri atujuze
 
wewe vipi kwani kuwa kiongozi huko kunahitaji elimu? wewe unaishi nchi gani bwana huijui tz?
 
Waziri wetu wa Fedha, Muheshimiwa Saada Mkuya Salumu, Mbunge wa kuteuliwa na Rais alimaliza Elimu ya sekondari mwaka 1993 katika Sekondari ya Hamamni' na akamalizia elimu ya kidato cha sita mwaka 1995. Wale mnaofahamu mfumo wa elimu hasa mfumo wa elimu wakati ule utagundua kuwa muheshimiwa mwaka 1995 alitakiwa ndio awe anatoka kidato cha tano kwenda cha sita kwani mtihani wa kidato cha nne ulikuw uifanyika Novemba, majibu machi au aprili kujiunga kidato cha tano July 1994, kuingia kidato cha sita July 1995, kumaliza kidato cha sita May 1996. Sasa huyu wazir wetu alisoma kidato cha tano na sita kwa mwaka mmoja pale Lumumba? Taarifa zake zapatikana website ya Bunge. Anayemfahamu uzuri atujuze

Huo wivu kwani ajabu ni ipi hapo??mi mwenyewe nilifanya mtihani wa kidato cha sita wakati nikiwa kidato cha tano,sa cha kushangaza kipi??km hamumjui nyamazeni msizue kwa chuki zenu tu,mlitaka apewe mnyika au tundu??mnamfanya Mh Rais mtu wa kukurupuka tu asiejua wajibu wake??mbona alipokuwa naibu hamkusema??rais hateui tu km hajamchunguza mtu kiundani,tunaomjua tumenyamaza nyinyi msiomjua midomo juu km ngao za boti,chuki,ubinafsi na migogoro tu ndio mnaoijua nyinyi.aliepewa kapewa nawewe tafuta kwa upande wako upewe ht ukatibu kata,
 
Mkuu Domokaya ningeomba mashambulizi yaende kwa yule aliyemteua na si kwake, wacha yeye afanye kazi.
 
Kwa ufupi walioko bungeni wote hawatoshi kuongoza hazina, ndio maana unaona sampuli kama zakina Adam Malima na Mwigulu Nchenba kuteuliwa kusaidia jukumu la kuendesha hazina! Kumbuka kila teuo lina sababu zake. Tufikirie nje ya box sio kukazania kwenye mstari...ndio maana mhimili wa 5 umeshindwa kazi.
 
Huo wivu kwani ajabu ni ipi hapo??mi mwenyewe nilifanya mtihani wa kidato cha sita wakati nikiwa kidato cha tano,sa cha kushangaza kipi??km hamumjui nyamazeni msizue kwa chuki zenu tu,mlitaka apewe mnyika au tundu??mnamfanya Mh Rais mtu wa kukurupuka tu asiejua wajibu wake??mbona alipokuwa naibu hamkusema??rais hateui tu km hajamchunguza mtu kiundani,tunaomjua tumenyamaza nyinyi msiomjua midomo juu km ngao za boti,chuki,ubinafsi na migogoro tu ndio mnaoijua nyinyi.aliepewa kapewa nawewe tafuta kwa upande wako upewe ht ukatibu kata,

hv waksema wanaojua wasmame nawe utasmama???kchefuchefu akl fyatu za wanaccm.sasa hapo mnyka au huyo tundu wamefkaje hapo??an empty mind
 
Waziri wetu wa Fedha, Muheshimiwa Saada Mkuya Salumu, Mbunge wa kuteuliwa na Rais alimaliza Elimu ya sekondari mwaka 1993 katika Sekondari ya Hamamni' na akamalizia elimu ya kidato cha sita mwaka 1995. Wale mnaofahamu mfumo wa elimu hasa mfumo wa elimu wakati ule utagundua kuwa muheshimiwa mwaka 1995 alitakiwa ndio awe anatoka kidato cha tano kwenda cha sita kwani mtihani wa kidato cha nne ulikuw uifanyika Novemba, majibu machi au aprili kujiunga kidato cha tano July 1994, kuingia kidato cha sita July 1995, kumaliza kidato cha sita May 1996. Sasa huyu wazir wetu alisoma kidato cha tano na sita kwa mwaka mmoja pale Lumumba? Taarifa zake zapatikana website ya Bunge. Anayemfahamu uzuri atujuze

Huenda alirushwa darsa!
 
Hii nchi tu wajinga sana....waziri wa fedha tuna mpa mtu mwenye elimu ya kuunga unga....eti amesoma chuo kikuu huria....ulishaona mwanafunzi wa chuo kikuu huria ana kaa chini ana soma....alafu mi MITOTO ya CCM inamtetea ujinga mtupu
 
Mkuu,
Uchumi wetu ulikuwa ICU sasa naona utaelekea MOCHWARI!
 
Waziri wetu wa Fedha, Muheshimiwa Saada Mkuya Salumu, Mbunge wa kuteuliwa na Rais alimaliza Elimu ya sekondari mwaka 1993 katika Sekondari ya Hamamni' na akamalizia elimu ya kidato cha sita mwaka 1995. Wale mnaofahamu mfumo wa elimu hasa mfumo wa elimu wakati ule utagundua kuwa muheshimiwa mwaka 1995 alitakiwa ndio awe anatoka kidato cha tano kwenda cha sita kwani mtihani wa kidato cha nne ulikuw uifanyika Novemba, majibu machi au aprili kujiunga kidato cha tano July 1994, kuingia kidato cha sita July 1995, kumaliza kidato cha sita May 1996. Sasa huyu wazir wetu alisoma kidato cha tano na sita kwa mwaka mmoja pale Lumumba? Taarifa zake zapatikana website ya Bunge. Anayemfahamu uzuri atujuze

Rafiki umenikumbusha sikuwa nimeliagalia hili. Huyu waziri vyeti vyake utata. Mimi niliangalia upande wa degree ya masters in finance. Nikajiuliza maswali mengi sikupata majibu. Sasa naona shida kumbe imeanzia mbali.
 
Wahi ule ndo mpango mzima.kisomo cha kazi gani wewe!ndo maana mambo yana kwenda vbaya
 
Back
Top Bottom