Saa Ngapi??

Bofloooooooooooooooooooo!!!!!!!!

Hii inanikumbusha Hoteli za Ukraine. Ukilala humo, kila ukiwasha TV, unaona watu wako saa fulani. Hadi inatia kinaa......
 
Sina la kuesema lakini inawafaa sana ambao hawajaoa
 
aiseeeeeeee babaangu hiyo saa ikija huku kwetu mkuu rombo nauwakika watu hawata angalia saa
 
Naona cameroun mda wake saa 12 na 3 usiku!
 
hhehehehehehehehehehehe Boflo mi nataka za jumla nikaziuze sehem fulani hivi najua zitakuwa na soko!
NIandalie pro forma invoice mkuu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…