Saa inakaribia ambapo Watanzania wote tutaongea lugha moja

Sio TISS,
Sio POLICE
Sio JWTZ,
Sio mahakama
Sio Bunge
Sio Wana CCM
Sio wanachadema kabla ya mwezi 7 kuisha mwaka huu tutakuwa tunaongea lugha moja!!

Ogopa Sana wakati wa Mungu

Ogopa Sana machozi ya watu

Ogopa vilio vya watu zaidi ya 83 waliotekwa na kupotea pamoja na ndugu zao!!.

Ogopa Sana maombi misikitini na makanisani

Hizi harakati za no reform no Election ni lashalasha tu

Saa yaja ambapo Vita itakuwa Kati ya watu million 60 dhidi ya kikundi Cha wauaji na watekaji 20.

Wakina Gwajima wapo wengi Sana ndani na nje ya ccm..

Baada ya 2025 Tanzania itakuwa nchi salama zaidi ya kuishi duniani Kama ilivyokuwa miaka 10 iliyopita.
Amina
Amina
Amina.
 
unaandika kama mtu aliyetoka kwa mganga wa kienyeji. siku mwarabu na mwafrica wakiachana na imani za kiganga ndio utakua mwanzo wa miaka 500 ya kupata uhuru wao wakisiasa nakiuchumi. maana yake ni kwamba mwafrica na mwarabu wana miaka 500 kutoka kwenye hilo blancket la ignorance
 
Watanzania hawa hawa tunaoishi nao mitaani au hawa wanaopiga mikwara mitandaoni?
Ni bahati mbaya kwamba hapajatokea wanamapinduzi wa kweli.....na usiniambie hao CHADEMA ndo mlango wa kutupeleka kwenye hiyo nchi salama., hawana sifa. "Sifa njema huanzia nyumbani "
 
Sio TISS,
Sio POLICE
Sio JWTZ,
Sio mahakama
Sio Bunge
Sio Wana CCM
Sio wanachadema kabla ya mwezi 7 kuisha mwaka huu tutakuwa tunaongea lugha moja!!

Ogopa Sana wakati wa Mungu

Ogopa Sana machozi ya watu

Ogopa vilio vya watu zaidi ya 83 waliotekwa na kupotea pamoja na ndugu zao!!.

Ogopa Sana maombi misikitini na makanisani

Hizi harakati za no reform no Election ni lashalasha tu

Saa yaja ambapo Vita itakuwa Kati ya watu million 60 dhidi ya kikundi Cha wauaji na watekaji 20.

Wakina Gwajima wapo wengi Sana ndani na nje ya ccm..

Baada ya 2025 Tanzania itakuwa nchi salama zaidi ya kuishi duniani Kama ilivyokuwa miaka 10 iliyopita.
Tapeli leo amekuwa mtu wa Mungu.
 
Mungu ni hakimu wa haki hapokei rushwa wala hana upendeleo.
 
Dua la kuku hilo...fanyeni kazi mmekalia siasa tu
Ujinga mwengine ni kudhani kila anayekosoa ni mvivu au maskini na kwamba ana njaa,ni watu wenye maisha yao tena sometimes kukuzidi ni vile wanaonea huruma wale wasiokuwa na hali kama zao.

Dua la kuku ndiyo wala sikuombei njaa,nimekukumbusha ujue namna dunia na maisha yalivyo kwa ujumla.
 
Dua la kuku hilo...fanyeni kazi mmekalia siasa tu
Pumbavu Sana masikini ni wewe babako na mamako

Sisi tulishapita uko kwenye umasikini njoo nikuoe uwe mke wangu wa pili !!!

uache kuishi kwa shemeji yako pumbavu mkubwa wewe

Nyie ndio matekaji yenyewe tunayoyatafuta
 
Leo nilikua na furaha sana baada ya kusikia maneno ya Gwajima, ghafla nimepata simanzi baada ya kuona hii picha......
IMG-20250601-WA0005.jpg

Inasikitisha MUNGU awafariji hii familia 😢
 
Back
Top Bottom