X factor
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 1,399
- 2,230
Chura kiziwi SSH ndo kaleta Jamba Jamba yote hiiYani Gwajiboi ndo kaleta yote haya!!!!??
Chura kiziwi SSH ndo kaleta Jamba Jamba yote hiiYani Gwajiboi ndo kaleta yote haya!!!!??
Wale wa Gaza ni Mapagani?Dua kali za kuogopa ni zile za dini ya kiislam tu, hizo nyingine sijawahi kuona matunda yake ya haraka.
Mkuu nataka kukubaliana na wewe!Dua kali za kuogopa ni zile za dini ya kiislam tu, hizo nyingine sijawahi kuona matunda yake ya haraka.
Mimi si bora zaidi ya wengine, na kamwe sitafikia hiyo sifa. CHADEMA pekee ndiyo wenye hiyo sifa. Na uhalisia wake tunauona, na tutaendelea kuuonaKama ni hivyo, itabidi tuanzie kwa 'navache', anayejiona yeye ni bora zaidi ya wengine wote ndani ya Tanzania hii!
Mtu mwenye akili timamu utaanzia wapi kuandika takataka kama uliyo andika hapa.
Samahani mimi naomba nitofautiane na wewe hapa,hapo ktk bold wanaoingia humo huwaambii kitu kwa huu utawala kama ni mahaba yamepitiliza wanamtaka awe hata kiongozi wa kiimla regardless jinsia yake.
Dua kali za kuogopa ni zile za dini ya kiislam tu, hizo nyingine sijawahi kuona matunda yake ya haraka.
Aliporuhusu damu za watu zimwagike ndio ilikuwa ukomo wa toba yake. Sasa hivi yeye na Lucifer ni kitu kimoja tu.Mungu anampa muda wa kutubu dhambi zake yeye na watu wake,ila bado anashupaza shingo.
Muda ni mwalimuLeo nilikua na furaha sana baada ya kusikia maneno ya Gwajima, ghafla nimepata simanzi baada ya kuona hii picha......
View attachment 3353045
Inasikitisha MUNGU awafariji hii familia 😢
Kwa hiyo uwezo wako ni huo wa kutambua kuwa "CHADEMA pekee ndio wenye hiyo sifa". Huu utambuzi umepewa na nani, na vigezo vyake ni nini?Mimi si bora zaidi ya wengine, na kamwe sitafikia hiyo sifa. CHADEMA pekee ndiyo wenye hiyo sifa. Na uhalisia wake tunauona, na tutaendelea kuuona