Saa inakaribia ambapo Watanzania wote tutaongea lugha moja

Sio TISS,
Sio POLICE
Sio JWTZ,
Sio mahakama
Sio Bunge
Sio Wana CCM
Sio wanachadema kabla ya mwezi 7 kuisha mwaka huu tutakuwa tunaongea lugha moja!!

Ogopa Sana wakati wa Mungu

Ogopa Sana machozi ya watu

Ogopa vilio vya watu zaidi ya 83 waliotekwa na kupotea pamoja na ndugu zao!!.

Ogopa Sana maombi misikitini na makanisani

Hizi harakati za no reform no Election ni lashalasha tu

Saa yaja ambapo Vita itakuwa Kati ya watu million 60 dhidi ya kikundi Cha wauaji na watekaji 20.

Wakina Gwajima wapo wengi Sana ndani na nje ya ccm..

Baada ya 2025 Tanzania itakuwa nchi salama zaidi ya kuishi duniani Kama ilivyokuwa miaka 10 iliyopita.
Tupe ishara mkuu!
 
Nadhani hii No reform Now Election ingeanza kuzuia Bunge kuvunjwa mpaka lifanye Reform .
Iwe ndio hatua ya kwanza ya kudai Reform .
Paitishwe maandamano makubwa siku ya kuvunja bunge na Samia aendelee na urais wake mpaka wafanye Reforms .
Bunge lisivunjwe kwanza mpaka wapelekwe mswada wenye maoni ya wadau wa demokrasia

Wakilazimisha kuvunja Bunge kwa nguvu ya Dola awamu ya pili iwe ni uchaguzi .

Lakni kukaa kizembe Bunge likavunjwa na Samia na wabunge wake waliompa zawadi watakua wamejihakikishia ushindi mkubwa kwa matendo yao maovu .
Suluhisho ya yote ni wananchi wenyewe ndyo wanaweza kuzuia uchaguzi chadema watakuwa wamemaliza wajibu wao.
 
Hapana kuzuia uchaguzi bila kuanza na wafanya Reforms ni jambo gumu . Wanaoathirika zaidi na uchaguzi ni wanachama wa chadema kabla ya wengine kwa hiyo mkisema wananchi ni lazima mjue kuna watu mil. 13 + wa CCM ambao wananufaika na uchaguzi wa kihuni . Na bado kuna wengine wengi wapo Nyutro na wengine ni vyama vya kisanii kama Chauma na CUF. Sasa ukisema wanachi kwa ujumla anasahau Kuwa wanaosusia uchaguzi ni Chadema na msipozuia bunge kuvunjwa basi wa kwanza kuathiriwa na mfumo mbovu wa uchaguzi ni Chadema maana hata pakiwa na mifumo mizuri wanufaika wa kwanza ni Chadema pia .
 
Sio TISS,
Sio POLICE
Sio JWTZ,
Sio mahakama
Sio Bunge
Sio Wana CCM
Sio wanachadema kabla ya mwezi 7 kuisha mwaka huu tutakuwa tunaongea lugha moja!!

Ogopa Sana wakati wa Mungu

Ogopa Sana machozi ya watu

Ogopa vilio vya watu zaidi ya 83 waliotekwa na kupotea pamoja na ndugu zao!!.

Ogopa Sana maombi misikitini na makanisani

Hizi harakati za no reform no Election ni lashalasha tu

Saa yaja ambapo Vita itakuwa Kati ya watu million 60 dhidi ya kikundi Cha wauaji na watekaji 20.

Wakina Gwajima wapo wengi Sana ndani na nje ya ccm..

Baada ya 2025 Tanzania itakuwa nchi salama zaidi ya kuishi duniani Kama ilivyokuwa miaka 10 iliyopita.
Rabaika
 
amin amin nami nawambieni kufumba na kufumbua mtaona ka remote kamoja kanajichomoa kujiegemeza upande wa umma. na hako ndiko katawakilisha yuda isikariyote ka wakati huu.
 
Sio TISS,
Sio POLICE
Sio JWTZ,
Sio mahakama
Sio Bunge
Sio Wana CCM
Sio wanachadema kabla ya mwezi 7 kuisha mwaka huu tutakuwa tunaongea lugha moja!!

Ogopa Sana wakati wa Mungu

Ogopa Sana machozi ya watu

Ogopa vilio vya watu zaidi ya 83 waliotekwa na kupotea pamoja na ndugu zao!!.

Ogopa Sana maombi misikitini na makanisani

Hizi harakati za no reform no Election ni lashalasha tu

Saa yaja ambapo Vita itakuwa Kati ya watu million 60 dhidi ya kikundi Cha wauaji na watekaji 20.

Wakina Gwajima wapo wengi Sana ndani na nje ya ccm..

Baada ya 2025 Tanzania itakuwa nchi salama zaidi ya kuishi duniani Kama ilivyokuwa miaka 10 iliyopita.
Apo kweny miskiti patowe mkuu kuna wanafki sana
 
Huijui Tanzania wewe! Labda kama unaifananisha Tanzania na chumbani kwako!
SAWA.
Tueleze na wewe unavyoijuwa Tanzania; usiishie tu kuisema ya huyo jamaa anayezungumzia ya chumbani kwake.
 
Watanzania hawa hawa tunaoishi nao mitaani au hawa wanaopiga mikwara mitandaoni?
Ni bahati mbaya kwamba hapajatokea wanamapinduzi wa kweli.....na usiniambie hao CHADEMA ndo mlango wa kutupeleka kwenye hiyo nchi salama., hawana sifa. "Sifa njema huanzia nyumbani "
Kama ni hivyo, itabidi tuanzie kwa 'navache', anayejiona yeye ni bora zaidi ya wengine wote ndani ya Tanzania hii!

Mtu mwenye akili timamu utaanzia wapi kuandika takataka kama uliyo andika hapa.
 
Muda wao umekwisha tayari trust Me..... Miezi miwili sasa wameanza kuona wanapokosea na kasi ya praise and worship imepungua
Imepungua mno hilo liko wazi hawana jipya hawauziki
 
Yani Gwajiboi ndo kaleta yote haya!!!!??
 
Sio TISS,
Sio POLICE
Sio JWTZ,
Sio mahakama
Sio Bunge
Sio Wana CCM
Sio wanachadema kabla ya mwezi 7 kuisha mwaka huu tutakuwa tunaongea lugha moja!!

Ogopa Sana wakati wa Mungu

Ogopa Sana machozi ya watu

Ogopa vilio vya watu zaidi ya 83 waliotekwa na kupotea pamoja na ndugu zao!!.

Ogopa Sana maombi misikitini na makanisani

Hizi harakati za no reform no Election ni lashalasha tu

Saa yaja ambapo Vita itakuwa Kati ya watu million 60 dhidi ya kikundi Cha wauaji na watekaji 20.

Wakina Gwajima wapo wengi Sana ndani na nje ya ccm..

Baada ya 2025 Tanzania itakuwa nchi salama zaidi ya kuishi duniani Kama ilivyokuwa miaka 10 iliyopita.
Ikawe hivyo haraka
 
Back
Top Bottom