Saa 3 usiku bado mbali ngoja nilale ifike haraka

Busu la Kenge

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2025
Posts
2,310
Reaction score
4,206
Tumeahidiwa umbea saa tatu usiku. Licha ni saa moja imebakia ifike yani naona bado mbali halafu nina usingizi mzito kutokana na pilkapilka za mchana.

Nimeamua kulala ili ifike haraka nimeweka alarm 20:55.

Tukutane hiyo saa 3 kwenye umbea.

Umbea ni mtamu, umbea ni urith wetu, umbea ni tunu yetu na umbea ni fani na kipaji Chetu.
 
Angalia usije ukapitiliza.

Kuja kuamka unakuta nchi imeshakombolewa!!!

Ukabaki una bung'aa bung'aa kama ndevu za paka .

PIA SOMA
 
Lala umuote kipenzi chako Imam Hussain.

images (20).jpeg
 
Tumeahidiwa umbea saa tatu usiku. Licha ni saa moja imebakia ifike yani naona bado mbali halafu nina usingizi mzito kutokana na pilkapilka za mchana.

Nimeamua kulala ili ifike haraka nimeweka alarm 20:55.

Tukutane hiyo saa 3 kwenye umbea.

Umbea ni mtamu, umbea ni urith wetu, umbea ni tunu yetu na umbea ni fani na kipaji Chetu.
Inasikitisha sana nchi kuwa na mzee kama wewe.
 
Lala umuote kipenzi chako Imam Hussain.

View attachment 3457894
Hahaha umenifanya nicheke Kwa Sauti Sana. Dah hiyo picha inatia Simanzi Sana. Hapo kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali A.S, mkombozi wa waislamu aliyeuwawa kikatili kuutetea kuulinda na kuupigania uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu akimuaga kwa kumkumbatia binti yake kipenzi Sakinah kwa mara ya mwisho kabla ya umauti. Alimpenda Sana Sakina. Hapo Chini picha nyingine.

Screenshot_2025-08-29-20-02-22-10_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12~2.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom