Hyo programme PAK FA ni program ya Urusi na ile yenye ushirikiano na India ndo inaitwa HAL FGFA ambapo ni partnership between HAI na Sukhoi, lakini T-50 ni prototype name. Na hyo programme mtoaji pesa mkubwa ni India huku Russia wakihusika pakubwa na utengenezaji. Na India nasikia mpaka sasa washapokea 3 prototypes (T-50) ambapo hawakuridhishwa na hyo ndege ilivyo. Na hyo T-50 iliruka kwa majaribio kwa mara ya kwanza January 2010.Na wahindi waliiponda hiyo wakisema kwamba ipo chini ya kiwango na sio true 5th gen jet fighter. Pia ina matatizo kibao ya injini.mkuu mbona unatuongopea izo data umezitoa wapi,PAK TA(T-50) ni ndege ya mrusi peke yake ilo ya ushilikiano na India inaitwa Sukhoi/HAL FGFA.na mpaka leo hii india bado awajatoa pesa ya kuendeleza iyo project kwa iyo kuna uwezekano project yenyew ikawa imekufa.

Hayo makitu hayana lolote Israel na babu yake mmarekani wanatesa kila siku pale Syria labda kama kwa ajili ya kutungulia drone

Wewe unajiona unajua kuliko warusi wenyewe!Halafu sijui kwa nini Urusi hajifunzi yani... Maana ile S300 ya Ugiriki Israel na NATO kila siku wanaifanyia mazoezi kutafuta countermeasures zake.
Leo wanawapa Turkey S400 sitashangaa baada ya miaka 5-10 nikaona S400 ikiwa mazoezini na Marekani na NATO kiujumla ikiwemo Israel
mkuu vitu. hii T-50 warusi walitoa wenyewe dollar bilioni 10 kwa ajiri ya hii project.mpaka leo sukhoi wamekabizi kwa warusi ndege 9 kwa ajili ya majaribio na mafunzo kwa marubani.iyo ndege ya ushilikiano ilishindikana maana project ilikuwa ina cost dollar bilioni 6 lakini mpaka leo wahindi awajatoa chochote sasa izo za prototype zitatoka wapi?Hyo programme PAK FA ni program ya Urusi na ile yenye ushirikiano na India ndo inaitwa HAL FGFA ambapo ni partnership between HAI na Sukhoi, lakini T-50 ni prototype name. Na hyo programme mtoaji pesa mkubwa ni India huku Russia wakihusika pakubwa na utengenezaji. Na India nasikia mpaka sasa washapokea 3 prototypes (T-50) ambapo hawakuridhishwa na hyo ndege ilivyo. Na hyo T-50 iliruka kwa majaribio kwa mara ya kwanza January 2010.Na wahindi waliiponda hiyo wakisema kwamba ipo chini ya kiwango na sio true 5th gen jet fighter. Pia ina matatizo kibao ya injini.
Pia india walishtushwa na Urusi kupunguza idadi ya ununuzi wa ndege hizo kutoka sijui 100+ (sina uhakika na hii namba) mpaka 12.Ndo maaana mpaka leo wahindi wamegoma kutoa pesa. Yaani iweje mtengenezaji mwenyewe haamini bidhaa yake halafu wewe jirani ndo ujifanye kimbelembele kuinunua. Warusi waliamua kupunguza idadi ya ununuzi wa hizo ndege na kuendelea kutengeneza Su-35.
The Sukhoi/HAL Fifth Generation Fighter Aircraft (FGFA) or Perspective Multi-role Fighter (PMF) is a fifth-generation fighter being developed by India and Russia. It is a derivative project of the Russian PAK FA (T-50 is the prototype) being developed for the Russian Air Force. FGFA was the earlier designation for the Indian version, while the combined project is now called the Perspective Multi-Role Fighter (PMF.umeelewa mkuu au neno derivative linakupa shidaHyo programme PAK FA ni program ya Urusi na ile yenye ushirikiano na India ndo inaitwa HAL FGFA ambapo ni partnership between HAI na Sukhoi, lakini T-50 ni prototype name. Na hyo programme mtoaji pesa mkubwa ni India huku Russia wakihusika pakubwa na utengenezaji. Na India nasikia mpaka sasa washapokea 3 prototypes (T-50) ambapo hawakuridhishwa na hyo ndege ilivyo. Na hyo T-50 iliruka kwa majaribio kwa mara ya kwanza January 2010.Na wahindi waliiponda hiyo wakisema kwamba ipo chini ya kiwango na sio true 5th gen jet fighter. Pia ina matatizo kibao ya injini.
Pia india walishtushwa na Urusi kupunguza idadi ya ununuzi wa ndege hizo kutoka sijui 100+ (sina uhakika na hii namba) mpaka 12.Ndo maaana mpaka leo wahindi wamegoma kutoa pesa. Yaani iweje mtengenezaji mwenyewe haamini bidhaa yake halafu wewe jirani ndo ujifanye kimbelembele kuinunua. Warusi waliamua kupunguza idadi ya ununuzi wa hizo ndege na kuendelea kutengeneza Su-35.
Umetisha MkuuMambo mengine fanyeni utafiti kwanza, je, unajua kuna version ngapi za S-300? Nani kawambieni kwamba export version ya S-300 ni sawa sawa na inayo tumiwa na jeshi la Urusi!! FYI Warusi si wajinga kama unavyo wafikiria wewe, walijua wakiwauzia Wagiriki Air Defence System type S-300 bila shaka Israel na Amerika watakuwa na shahuku kubwa ya kujua inavyo fanya kazi ili wabuni mbinu za kui-defeat.
Soma taarifa za Israel na marafiki zake wanasema nini kuhusu uwezo wa S-300 iliyo nunuliwa na Wagiriki kutoka Urusi, Israel imejaribu mara lukuki kui-jam lakini walishindwa - wanakiri kwa kauli yao kwamba walikuwa wanawazuga Wagiriki kwa kujidai wafanye mazoezi ya kijeshi kwa pamoja kumbe lengo lao ni kutafuta mbinu za kutumia ECM zao ku-blind S-300, Waisrael wanasema mbinu zote walizotumia bado radar za S-300 zilikuwa zinatrack ndege zao hivyo zingekuwa rahisi kutunguliwa na missile za S-300.
Kumbuka S-300 waliyo wauzia Wagiriki ni export version i.e a watered down Defence System, kama Wayahudi na Uncle SAM hawajapata jibu la ku-defeat export version ya S-300, je, version inayotumiwa na jeshi la Urusi ndiyo wataiweza? labda watumie mbinu za kupora system nzima nzima kutoka kwa Wagiriki kama walivyo fanya wakati wa vita 1973 kwa kupora SAM-6 iliyo kuwa inatumiwa na Waarabu, licha ya kufanikisha uporaji huo yet it took Israel and US six years kuelewa SAM-6 inavyo fanya kazi - je,wakifanikiwa kupora S-300 itawachukua miaka mingapi kupata dawa yake - jibu unalo. Hata Turkey ikinunua S-400 mambo yatakuwa yale yale - watauziwa a watered down version ambazo hazitumiwi na jeshi la Urusi, hata Uturuki ikirubuniwa na Uncle SAM na Israel kwamba wastrip S-400 to bare bones ili waichunguze inavyo fanya kazi, Russians won't mind watabaki wanawacheka tu kwa kutapa tapa kwao.
Ukweli wa mambo Warusi wanajiamini ndiyo maana uwezi kusikia hata siku moja wanangahika kuiba au kununua ndege za kivita za Uncle SAM au silaha zao zingine na kwenda kufanya reverse engineering - tafuteni historia inayo eleza mbinu zilizo tumiwa na Amerika kuiba ndege za Warusi na kuzisafirisha kwa meli mpaka USA na ushahidi hupo - mfano: MiG-15, MiG-17, MiG-19, MiG-21 mwaka 1976 MiG-25 - Miaka ya hivi karibuni walinunua MiG-29 karibu 26 walinunua tena ndege za vita 19 aina ya Sukhoi-27 - ndege zote tajwa hapo juu zilinunuliwa kutoka katika nchi za Ulaya ya mashariki zilizo kuwa zinahunda SOVIET za zamani - Taifa linalo jiamini aliwezi kuangahika kupora pora ndege na silaha nyingine za washindani wako kwenda kuzichunguza zinavo fanya kazi na kuishia ku-copy copy tu na mbwembwe chungu mzima.
Mkuu acha uongo, mpaka sasa India washatoa dola billion 5 kwenye hiyo programme.mkuu vitu. hii T-50 warusi walitoa wenyewe dollar bilioni 10 kwa ajiri ya hii project.mpaka leo sukhoi wamekabizi kwa warusi ndege 9 kwa ajili ya majaribio na mafunzo kwa marubani.iyo ndege ya ushilikiano ilishindikana maana project ilikuwa ina cost dollar bilioni 6 lakini mpaka leo wahindi awajatoa chochote sasa izo za prototype zitatoka wapi?
,kuna ya Urusi peke yake PAK FA na nyingine ya ushirikiano na India HAL FGFA (FGFA for India, PAK FA for Russia only).
Ulitaka wahindi waendelee kutoa pesa kwa kitu kibovu?!The Sukhoi/HAL Fifth Generation Fighter Aircraft (FGFA) or Perspective Multi-role Fighter (PMF) is a fifth-generation fighter being developed by India and Russia. It is a derivative project of the Russian PAK FA (T-50 is the prototype) being developed for the Russian Air Force. FGFA was the earlier designation for the Indian version, while the combined project is now called the Perspective Multi-Role Fighter (PMF.umeelewa mkuu au neno derivative linakupa shida
Following the success of the BrahMos project, Russia and India agreed in early 2007 to jointly study and develop a Fifth Generation Fighter Aircraft (FGFA) programme.[11][12] On 27 October 2007 Sukhoi's director Mikhail Pogosyan stated: "We will share the funding, engineering and intellectual property in a 50–50 proportion", in an interview with Asia Times.[13]Mkuu acha uongo, mpaka sasa India washatoa dola billion 5 kwenye hiyo programme.Na ww ndio unachanganya madesa hapa maana kuna programme mbili na nimekuelezea huko juu![]()
,kuna ya Urusi peke yake PAK FA na nyingine ya ushirikiano na India HAL FGFA (FGFA for India, PAK FA for Russia only).
![]()
NB: Nashindwa kuweka link hapa ndo maana nimekuwekea hzo shots.. Kma una mda ingia google search 'Indian, Russian negotiators agree on FGFA development ' ukasome kwa undani zaidi maaana hapa naona tutakesha.
Iliinunua jana? acha kujitoa ufahamu basi mambo ya Historia ya kabla hata Dunia haijastrabika ndo unaleta humu?That's peanut money compared to that of Trump to Saudia's worth USD 350 bn/= the largest ever in mankind history.
Alaska yenye ukubwa wa 1.718 sq. km (almost twice the size of TZ) US aliinunua kutoka kwa warusi for just 7m/-
Warusi wana akili sana na Wana IQ kubwa mno sasa usidhani unayo waza wao hawayajui. Hakafu Tambua huwa kuna Export Version.Halafu sijui kwa nini Urusi hajifunzi yani... Maana ile S300 ya Ugiriki Israel na NATO kila siku wanaifanyia mazoezi kutafuta countermeasures zake.
Leo wanawapa Turkey S400 sitashangaa baada ya miaka 5-10 nikaona S400 ikiwa mazoezini na Marekani na NATO kiujumla ikiwemo Israel
Warusi unazani hawajui hilo? Na unajua sababu za Urusi kukubali kumuuzia Uturuki? unatakiwa kujua sababu kwanza make ishu sio pesaNaona inaenda pelekwa NATO maana yake wataidukua
Embu soma vzuri hyo article yako halafu fananisha na nilivyokuelezea tangu mwanzo maana naona hapa km tunanena kwa lughaFollowing the success of the BrahMos project, Russia and India agreed in early 2007 to jointly study and develop a Fifth Generation Fighter Aircraft (FGFA) programme.[11][12] On 27 October 2007 Sukhoi's director Mikhail Pogosyan stated: "We will share the funding, engineering and intellectual property in a 50–50 proportion", in an interview with Asia Times.[13]
On 11 September 2010, it was reported that India and Russia had agreed on a preliminary design contract, subject to Cabinet approval. The joint development deal would have each country invest $6 billion and take 8–10 years to develop the FGFA fighter.[14] In December 2010, a memorandum of understanding for preliminary design of the Indo-Russian fighter was reportedly signed between Hindustan Aeronautics Ltd (HAL), and Russian companies Rosoboronexport and Sukhoi.[15][16] The preliminary design will cost $295 million and will be complete within 18 months.[17] On 17 August 2011, media reports stated that the new fighter will cost Russia and India $6 billion to develop, and India will pay about 35% of the cost.[18][19]
The Indian version, according to the deal, will be different from the Russian version and specific to Indian requirements.[20] While the Russian version will be a single-pilot fighter, the Indian variant will be based on its own operational doctrine which calls for greater radius of combat operations. The wings and control surfaces need to be reworked for the FGFA.[21] Although, development work has yet to begin,[needs update] the Russian side has expressed optimism that a test article will be ready for its maiden flight by 2009,[needs update] one year after PAK FA scheduled maiden flight and induction into service by 2015.[22][needs update] By February 2009, as per Sukhoi General Director Mikhail Pogosyan, India will initially get the same PAK FA fighter of Russia and the only difference will be the software.[23]
In 2010, a total of 500 aircraft were planned with options for further aircraft. Russian Air Force will have 200 single-seat and 50 twin-seat PAK FAs while Indian Air Force will get 166 single seated and 48 twin-seated FGFAs.[24][25] At this stage, the Sukhoi holding is expected to carry out 80% of the work involved. Under the project terms, single-seat fighters will be assembled in Russia, while Hindustan Aeronautics will assemble two-seaters.[26] HAL negotiated a 25% share of design and development work in the FGFA programme. HAL's work share will include critical software including the mission computer, navigation systems, most of the cockpit displays, the counter measure dispensing (CMD) systems and modifying Sukhoi's prototype into fighter as per the requirement of the Indian Air Force (IAF).[27]
Sukhoi director Mikhail Pogosyan projected a market for 1,000 aircraft over the next four decades, 200 each for Russia and India and 600 for other countries in 2010.[28] Russian Trade Minister Viktor Khristenko said that the aircraft are to be jointly developed and produced with India and both countries will "share benefits from selling the plane not only on their domestic markets, but also on the markets of third countries."[29] The Editor-in-chief of Natsionalnaya Oborona, Igor Korotchenko, said in February 2013 that exports of the jointly designed fighter should help Russia increase its share of arms exports to the world.[30]
In 2011, it was reported that IAF would induct 148 single-seat as well as 66 twin-seat variants of the FGFA. IAF plans to induct the first lot of aircraft by 2017.[31] By 2012, this had been changed to 214 single seat aircraft.[32]
Project changes and delaysEdit
In May 2012, the Indian Ministry of Defence (MoD) announced a two-year delay in the project's development. The then Defence Minister A K Antony had said that the FGFA would join the Indian Air Force by 2017. However, his deputy, M M Pallam Raju, told the Parliament that the fifth generation aircraft is scheduled to be certified by 2019, following which the series production will start.[33] Ashok Nayak, who spoke on the record as HAL's chairman before retiring, explained that the IAF have required 40–45 improvements made from the PAK-FA to meet Indian needs. These changes were then formally agreed upon between India and Russia.[33]
There is apprehension that the FGFA would significantly exceed its current $6 billion budget,[needs update] because this figure reflects the expenditure on just the basic aircraft. Crucial avionics systems would cost extra. The Russian and Indian air forces each planned to purchase about 250 FGFAs, at an estimated $100 million per fighter for an $25 billion total, in addition to the development costs.[33] By October 2012, India had cut its total purchase size from 200 to 144 aircraft. India's initial investment had grown from $5 billion to $6 billion, and the estimated total programme cost had grown to $30 billion in 2012.[2][needs update]
In 2013, it was revealed that the Russian and Indian fighters would be using the same avionics.[34] Alexander Fomin said that "Both sides involved in this project are investing a lot into it, and on equal terms."[35] Russia later admitted to huge delays and cost overruns in the project.[36] The first prototype delivery has been delayed by one or two years.[needs update] The contract has not be finalised, and the IAF has accused HAL of giving away up to half of India's share of the development work.[37][38] India contributes 15% of the research and development work, but provides half the cost.[39]
India has "raised questions about maintenance issues, the engine, stealth features, weapon carriage system, safety and reliability".[40] After repeated delays in the fighter's design and workshare arrangements, the Indian Defence Minister Manohar Parrikar said in January 2015, "We have decided to fast-track many of the issues."[41] The HAL is to receive three Russian prototypes, one per year from 2015 to 2017 for evaluation.[42]
On 9 March 2015, media outlets reported that the countries agreed to reduce the aircraft delivery time from 92 months to 36 months with the signing of the final agreement. India is also ready to forego a 50:50 work share to prevent further delays from absorption of a new technology; both countries agreed to manufacture the first batch of aircraft in Russia and for subsequent batches to be manufactured by HAL.[43][44][45]
By 2016, Indian interest in the project was fading after Russia cut back their own purchases.[46] On 25 January 2016, it was reported that Russia and India have agreed to develop FGFA and lower investment cost to $4 billion for each nation. They will invest $1 billion in the first year and another $500 million per year for the following six years.[47]
In September 2016 the two nations announced a detailed work-share agreement for joint production.[48]
In May 2017, another announcement came out regarding a "milestone" pact to finalise the detailed design for the fifth-generation fighter aircraft (FGFA) and move ahead with the multibillion-dollar co-development project. It is expected to be signed in the second half of the year.[49] Then later than month the project appeared to be lost when the Russians suddenly demanded seven billion dollars that the Indians could not afford.[50] An Indian committee has reportedly been set up to evaluate need for FGFA in light of the price increase and progress on the HAL AMCA project
.nani sasa ajui kusoma kati ya mimi na wewe
S 400 outdated? China wenyewe wanaitafuta kufa na kuponaUkiona hivyo wamekubali kuwauzia na technology ujue wao tayari wako level nyingine kabisa hiyo tayari kwao outdated