Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

S1930 j. M. Kikwete secondary school

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Masanilo, Feb 1, 2011.

 1. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,323
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 160
  Matokeo ya JM Kikwete Secondary School

  NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA

  CSEE 2010 EXAMINATION RESULTS


  S1930 J. M. KIKWETE SECONDARY SCHOOL


  DIV-I = 0


  DIV-II = 4


  DIV-III = 2


  DIV-IV = 29


  FLD = 52


  Aibu hii! 60 % ya watahiniwa walamemba Div Zero!
   
 2. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 9,403
  Likes Received: 2,541
  Trophy Points: 280
  Hili tumeshalijadili sana....shule kuitwa Profesa haina maana itazalisha madaktari wa falsafa.....shule ni zaidi ya jina...
   
 3. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,843
  Likes Received: 2,043
  Trophy Points: 280
  si wnadhani ufahari mwenzao mkapa alikataa shule 1 ya kata huko songea kupewa jina lake...............
   
 4. Waberoya

  Waberoya JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 8,710
  Likes Received: 925
  Trophy Points: 280
  Unataka tujadili shule ya Kikwete au matokeo in general? your take is so shallow and is limiting us to discuss in broader view
   
 5. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #5
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,741
  Likes Received: 423
  Trophy Points: 180
  Mbona shule nyingi ni aibu tupu au hiyo yenye jina lake ndio aibu imezidi?
   
 6. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #6
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Form four 2010 results reflects the type, desire, morale and direction of students, teachers and the sitting government's policy on education! Kwa hiyo kilichopo hapa ni kwamba kwa mwaka huu an approx. of 60% of students is inelligible for further studies! labda wa-join mgambo/sungu sungu
   
 7. tama

  tama JF-Expert Member

  #7
  Feb 2, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Ni bora alikataa,cz kama huyu mkwere na mzee wa mropokaji lol hzo shule zenye majina yao ni aibu tupu.
   
 8. I

  Ibwe Member

  #8
  Feb 2, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tuangalie matokeo kwa ujumla taifa linaangamia hayo majina hayana maana shule iitwe kikwete, kiwete... hata ibwe si tija kwa taifa kinachotakiwa ni vipi inamuandaa mtanzania kuyamudu maisha yake kwa ufanisi
   
Loading...