Tusubiri tuone kama utafiti wao utazaa matunda,ila kwa wenzetu walivyo inaweza kulipa
mbona unawatisha wateja-kila mtu ana huduma zake anazopenda-mi naamini itapata watejaHiyo ndege lazima ianguke tu, nani anataka kufa, hapo hawavutii biashara ni wanapotosha biashara hawatapata wateja kamwe
vipi mkuu, una scientifica evidence au?Hiyo ndege lazima ianguke tu, nani anataka kufa, hapo hawavutii biashara ni wanapotosha biashara hawatapata wateja kamwe