RWIZA wa maths dept ya udsm!!! Hizo labs sio za kwako! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

RWIZA wa maths dept ya udsm!!! Hizo labs sio za kwako!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mirindimo, Jun 10, 2011.

 1. mirindimo

  mirindimo JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 522
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 60
  "Blocked"
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,359
  Likes Received: 22,222
  Trophy Points: 280
  kijana umefyampatuka
   
 3. Mpogoro

  Mpogoro JF-Expert Member

  #3
  Jun 10, 2011
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 361
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Pole!Labs zenyewe bado zinafanya kazi kweli?
   
 4. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #4
  Jun 10, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  poleni sana ndio tnz yetu hii ... lakini mbona unataka kuimngia na computer yako mwenyewe ndani ya computer labs .. unaweza ukaniweka sawa hapa?! zile zilizomo ndani ya labs ni mbovu au ... "curious"
   
 5. fikirini

  fikirini Senior Member

  #5
  Jun 10, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  sasa kama una pc yako lab unaenda kufanya nini? au tatizo ni power supply, kama vipi mwambieni ukweli, be straight bwana, au unaogopa kubaniwa kwenye paper
   
 6. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #6
  Jun 10, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,791
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Matatizo ya vyuo vya manzese hayo!management dont want any change at all,matokeo yake watu wanakaa kwenye vile vijiwe kujisomea wanangatwa na nyoka!
   
 7. S

  Sharp lady Senior Member

  #7
  Jun 10, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dah kweli ukiwa na uwezo mdg wakufikiri nalo nitatizo utamnyimaje mtu kutumia comp yake ndani ya lab ambazo si mali yako hata punje? Kwa walio waelewa wa mazingira ya UD sehemu nyngi unazoweza kukaa vizuri nakupata access ya wireless internet au hata kukaa tu vizuri nakuweza kutumia personal comp yako ni chache sana kwani maeneo mengi power cables ni issue sasa unapokutana na kiazi kama Rwiza unatamani um***. Jirekebishe huo ni ushamba huna tofauti na wale wababa ambao wanapersonalize hadi nguo za ndani za wake zao. Aibu.
   
 8. sixgates

  sixgates JF-Expert Member

  #8
  Jun 10, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 3,974
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  duh,bro unaongea sijui utumbo wa mnyama gan vile. .UD zipo sehem kbao za kuaces wireles,udbs,thieters,coet,ucc,ira,sr16,17,afrcan virtues. .kuna librar,cass computer leb zipo port nying za kuconect internet,hal 6 kuna wireles nashangaa unang'ang'ania mths lab. .inaonesha usivyoheshimu taratibu,na una ka p.c ambako hakahifadh charge afu unasgndwa kutumia wireles unaishia kutangaza umbea huku JF...
   
 9. sixgates

  sixgates JF-Expert Member

  #9
  Jun 10, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 3,974
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  mashudu.
   
 10. M

  Mkira JF-Expert Member

  #10
  Jun 11, 2011
  Joined: May 10, 2006
  Messages: 425
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kwanza wewe ndiye unaeonekaka hujia hata ulifanyalo hapa chuoni? Hata humu jamii forum pia huwezi ingia hovyo au kupost vitu hovyo lazima uwe na access kwa kiasi fulani.


  Mathematics Department iko katika harakati za kuboresha labs zake na kuhakikisha kuwa computer zote zinakuwa connected kwenye internet.

  Pia idara imewaruhusu mtumie connectition zilizo wazi lakini hamjiheshimu mnachomoa cable katika computer ambazo ziko coonected na kuchomeka katika LAPTOP ZENU!!!

  JE HAO MLIOKO ULAYA NA HUKO NJE MNARUHUSIWA KUFANYA UPUUZI KAMA HUO KATIKA HIZO LAB ZA ULAYA?!

  TENA HAWA WAMEPEWA FAVOUR KUBWA HADI KURUHUSIWA KUCONNECT LAB ZAO KATIKA NET WOK YA IDARA LAKINI BADO SASA INAKUWA FUJO HADI KUTOHESHIMU TARATIBU ZA COMPUTER LAB! SYSTEM ADMINISTRER AMEWAELEKEZA CHA KUFANYA WAO WANACHANA MAELEKEZO, INAONEKANA MWANAFUNZI WA AINA HIYO HASITAHILI HATA KUWA KATIKA KOZI YA pgds MAANA NAYE ATAENDA KUWA SYSTEM ADMINITSTER HUKO ALIKO.


  KAMA NI KUAANDIKA ANDIKENI SANA LAKINI TARATIBU ZA COMPUTER LAB ZINATAKIWA KUFUATWA. KAMA NI INTERNET TUNASIKIA MMERUHUSIWA KUTUMIA HIZO COMPUTER ZA IDARA AMBAZO ZIKO CONNECTED CHA AJABU MNADICONNECTE NA KUWEKA ZENU. !!
   
 11. mirindimo

  mirindimo JF-Expert Member

  #11
  Jun 11, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 522
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 60
  Zilizomo ndani ni nzuri sana tena na speed ya kutosha tatizo research/project na tools ambazo wengi hutumia hizipo katika zile computer na kila mtu akitaka awekewe tools zake itakua balaa pia tools zingine zinahitaji priviledge za admin ambayo kiusalama si busara kumpa kila mtu hizi priviledge,kuepusha yote haya watu wamejikusanya na kujinyima wakanunua laptops,pia nafikiri hii ni nzuri hata kwa wale wasio na laptop wanapata comp za kutumia,ni kuweka utaratibu mzuri tu na kuwashirikisha watumiaji then mambo yanaenda lakini si njia wanayotumia wao!!!
   
 12. mirindimo

  mirindimo JF-Expert Member

  #12
  Jun 11, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 522
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 60

  Hapa mbona busara tu inahitajika kusolve swala hili? hili la kutofaa ama kufaa kua pgds inatoka wapi? after all labs tunatumia all postgraduates masters & pgds & undergraduates? Mtu hadi kupata admission means ka-meet vigezo tena wengine ni ma admin wazuri ajabu huko walipo!!! Utaratibu tu uwekwe maisha yaendeleee tufanye coz kwa amani na maendeleo yetu sote!!!
   
 13. mirindimo

  mirindimo JF-Expert Member

  #13
  Jun 11, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 522
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 60
  shudu.....hapa simaanishi access ya internet kwangu nina internet 24/7 365 days pc yangu inakaa na charge more than 3 hrs.......i mean resources nilizonazo katika laptop yangu hamwezi install katika pc zenu! Mimi naheshimu sana taratibu na ni mtu mzima na familia yangu najiheshimu ila ukinitovuga hua sifai ni afadhali virus!!!!!! kwani ukiniambia niingie na laptop nisiguse pc za labs kama ninalaptop kuna shida? Tufanye haya mambo kama watu tuliosoma tafadhali,kama tungekua tunafanyiwa hivi tulikotoka tungekua tunafika wapi jamani? After all sitatumia tena labs zenu hizo may be mtakua satisfy!!! Kama ni research ntafanyia kokote
   
 14. m

  mtetezi2 New Member

  #14
  Jun 12, 2011
  Joined: Jun 12, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu yangu, hizo tools zinazokoseka ni zipi? na uliwahi kuwasiliana na wahusika ili wakuwekee hizo tools halafu wakakataa?
  Suala la kuwekwa utaratibu mzuri na kuwashirikisha watumiaji lilikwisha fanyika, na watumiaji walitakiwa kutumia laptop zao pasipo ku-disconnect power cables pamoja na internet cables zilizokuwa connected kwenye computer za labs. Pale itakaposhindikana, basi yule aliye-disconnect cables akumbuke ku-connect tena pale atakapomaliza kutumia laptop yake. Cha ajabu, taratibu zote hizo hazikufuatwa. Ulitaka utaratibu gani mwingine ufuate?
  Jifunze kuheshimu taratibu zilizowekwa mahali popote uendapo. Kama una tatizo na taratibu fulani, ni busara kukaa chini na wahusika mkajadili namna ya kuweka mambo sawa kuliko kutoa maneno machafu kwenye jukwaa la watu waliostaarabika.

  KUMBUKA, MDOMO ULIPONZA KICHWA.
   
 15. m

  magadagga New Member

  #15
  Jun 12, 2011
  Joined: Jun 12, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tataizo hamjui taratibu,,,,,mnalazimisha kuingia na laptop so wt?
   
 16. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #16
  Jun 14, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  mkuu mambo ya lab safety tulisoma form 1 au wewe ulisoma shule za kata ambazo hazina labs?
   
Loading...