Rwandan boys

Rwandan boys

Kwani sisi sio ma HB
Afu demu wa bongo ni bongo tu haez kua na mwanaume wa nchi nyingine
Dada zetu wanakasoro nyingi sisi tu ndio tunaweza kuwavumilia
acheni watafute nje, wivu wa nini
 
mkuu mademu wa bongo tunawachezea tu kuoa ni kenya na Uganda
demu unataka nikuoe nikiwa tayari tajiri lini utajua uchungu wa mali kumbuka mama yako na baba yako wamedumu maana walianza lala chini tena bila hata godoro
na wao wanaolewa uganda kenya na rwanda
 
Kama Sisi wabongo Tumewashindwa mnadhani Warwanda ndio watawaweza?

Kama sugu ni sugu tu hata mkiolewa na M23.
 
NI MUDA MUAFAKA SASA KWA WADADA WABONGO KWENDA RWANDA , MUACHANE NA HAWA MAKANJANJA WA BONGO View attachment 806616 View attachment 806618 View attachment 806620 View attachment 806622
391459.jpg

Cheki ma handsome hao.
 
mkuu mademu wa bongo tunawachezea tu kuoa ni kenya na Uganda
demu unataka nikuoe nikiwa tayari tajiri lini utajua uchungu wa mali kumbuka mama yako na baba yako wamedumu maana walianza lala chini tena bila hata godoro
Ni kanjanja, bangaiza yupi wa bongo ambae kaoa ug au kenya bila pesa? Endelea kujiliwaza
 
Back
Top Bottom