Rwandan boys

Rwandan boys

We punga sana, haya uende sasa tukuone pumbavu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wadada wa kibongo hovyo
 
Sisi wanaume wa TZ soko letu linazidi kupanda siku hadi siku na kasi ya kivuka mipaka na kuoa nje inaongezeke..
Kama mimi sasa hivi nina GF mozambique..
nisha ana BF mjerumani
 
wanawake buana pasua kichwa mnataka vitu safi kwani ninyi wasafi.
 
Kwani sisi sio ma HB
Afu demu wa bongo ni bongo tu haez kua na mwanaume wa nchi nyingine
Dada zetu wanakasoro nyingi sisi tu ndio tunaweza kuwavumilia
Wewe na wanao kuzunguka ndiyo wenye kasoro na walemavu haswa!
TAFADHALI SANA WEKA HESHIMA
 
Back
Top Bottom