Rwanda yanunua ndege mpya!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rwanda yanunua ndege mpya!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yericko Nyerere, Aug 28, 2011.

 1. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #1
  Aug 28, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,216
  Likes Received: 3,777
  Trophy Points: 280
  Huku tz ikiwa ktk dimbwa la ufisadi wa kutisha mpaka kuua shirika takatifu la ndege, Rwanda sasa wamefanikiwa kushusha ndege mpya kabisa na kuanza harakati za kupanua safari zake mpya za ndege za kimataifa!!
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Aug 28, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,285
  Likes Received: 5,638
  Trophy Points: 280
  [​IMG] Delivery marks first purchased 737 for RwandAir and first Boeing Sky Interior owned by an African airline
  RwandAir yesterday received its first Boeing 737-800NG with the new Boeing Sky Interior at Kigali International Airport amidst a warm reception from guests and visitors who have been monitoring its journey since it left Seattle-USA two days ago. RwandAir becomes the first African carrier to own and operate Boeing's innovative interior.
  "For the first time in its brief history, RwandAir has bought – directly from the manufacturer aircraft to add to its fleet. Prior to the delivery of this Boeing 737 – 800, our fleet has been drawn from a combination of wet leases, dry leases and purchase of second hand aircraft." said John Mirenge, CEO of RwandAir.
  "Today's achievement for us is a very significant one because RwandAir has been deeply involved in the process of putting together this aircraft from the drawing board to completion.
  We have not just brought home an aircraft, but a state of the art equipment that bears our touch from the first bolt to the last finishing touch. Every aspect of its engineering, comfort, efficiency and design has had our input".
  Speaking at a well-attended function held at Kigali International Airport, Hon. Albert Nsengiyumva, the Minister for Infrastructure, Government of Rwanda said, '' For us, a well-developed air transport system is directly linked to attracting both foreign and domestic investment in Rwanda. In the long run, even the cost of doing business is greatly reduced with an efficient and reliable transport system." He further added that RwandAir's turnaround and growth could not have come at a better time than now when the entire continent is making mega-investments in infrastructural developments.
  The delivery sets two milestones both for the central African carrier and the continent as a whole. It is the first 737 delivered to any African nation fitted with the new Boeing Sky Interior. It is also RwandAir's first new aircraft purchased directly from Boeing.
  "Today is a proud day for RwandAir as well as the country of Rwanda," said Dr. Alex Nzahabwanimana, Minister of Transport for Rwanda. At a grand celebration dinner at Seattle's Museum of Flight on Wednesday night, Nzahabwanimana also expressed the government's commitment to using aviation for the betterment of the landlocked nation's developing economy
  The Boeing Sky Interior introduces new cove lighting and curving architecture that create a distinctive entryway. Passengers will enjoy a more open cabin and a soft blue-sky overhead simulated by light-emitting diode (LED) lighting. The new interior also brings new, modern, sculpted sidewalls and window reveals to draw passengers' eyes to the view outside the window.
  Operating from Kigali as its hub, RwandAir's fleet includes two Boeing 737-500, two CRJ200 and a Dash8-200. With its new Next-Generation 737-800s, RwandAir will provide a memorable travel experience to its valued customers. The second Boeing 737 -800 is expected this October 2011.
  The 737-800 is a stretched version of the 737-700, and replaces the 737-400. It also filled the gap left by the decision to discontinue the McDonnell Douglas MD-80 and MD-90 following Boeing's merger with McDonnell Douglas. The -800 was launched by Hapag-Lloyd Flug (now TUIfly) in 1994 and entered service in 1998. The 737-800 seats 162 passengers in a two-class layout, or 189 in one class, and competes with the A320.
  The 737-800 is also among the models replacing the McDonnell Douglas MD-80 and MD-90 series aircraft in airline service; it burns 850 US gallons (3,200 L) of jet fuel per hour, or about 80% of the fuel needed by an MD-80 on a comparable flight, even while carrying more passengers than the latter. According to the Airline Monitor, an industry publication, a 737-800 burns 4.88 US gallons (18.5 L) of fuel per seat per hour. The fuel cost of each such flight (2008 prices) on a 737-800 is about $8,500.00.  SOURCE: GUARDIAN ON SUNDAY
   
 3. m

  mamanalia JF-Expert Member

  #3
  Aug 29, 2011
  Joined: Nov 7, 2009
  Messages: 671
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  jk anaona aibu
   
 4. k

  kaliakitu2008 Member

  #4
  Aug 29, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JAMANi HIVi sisi tunashindwa nini, yaani kila nchi tuliyoisaidia kujikomboa zinapiga hatua lakini sisi tunabaki pale pale na si ajabu tunashuka zaidi. Tatizo ni kwamba viongozi wetu wamezidi kuwa vilaza na uchowo wa nafsi zao na familia zao. Nchi iliyokuwa na ndege kumi leo hii hata moja hakuna kisha wanasema wanaandaa mkutano wa anga kwa lipi hasa? Tutamlaumu MUNGU kuwa hatupendi lakini ukweli ni sisi wenyewe tunajisababishia. EBU WALE TULIOWAPA MADARAKA WABADILIKE NASI TUPIGE HATUA KIDOGO.
   
 5. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #5
  Aug 29, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Tola Kagame
   
 6. k

  kaliakitu2008 Member

  #6
  Aug 29, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi wakati mdau wa shirika la ndege la precionAIr anataka kuifanya marekebisho ya utendaji ATC tulimkatalia lakini wazo lake hilo leo hii shirika lake limepiga hatua kubwa kweli na majuzi tu kaanzisha safari ya Afrika Kusini, hivi ATC kama shirika la umma lilishindwa nini kuchukua mapendekezo yale nadhani leo tungekuwa mbali sana, matokeo yake tunawapa watendaji kazi wao wanajisifia kwa kubadilisha nembo ya shirika, hii ni akili au matope?
   
 7. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #7
  Aug 29, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  "For the first time in its brief history, RwandAir has bought – directly from the manufacturer aircraft to add to its fleet. Prior to the delivery of this Boeing 737 – 800, our fleet has been drawn from a combination of wet leases, dry leases and purchase of second hand aircraft." said John Mirenge, CEO of RwandAir.

  Yule Matakataka wetu sijui hakujuwa hili
   
 8. k

  kaliakitu2008 Member

  #8
  Aug 29, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  RWANDA hiyo hiyo majuzi wamegundua gesi katika ziwa Kivu yule waziri wao mwanamama kasema wanataka kutengeneza umeme kutokana na gesi hiyo sisi huku watu wanapongezana kwa kurudishana madarakani kwa sababu tu wakati alipokuweo walikuwa wanapata milioni moja moja, huku TAIFA likiangamia gizani wewe mpaka HOSPITALI YA TAIFA kuosa umeme kisha waziri anataka kujibu majibu ya kisiasa. Hivi kwanini hawa wakuu hawajifunzi kwa nchi hizi zinazokuja juu? AH kuna wakati mtu waweza pata kichechefu kwa kufikiria upuuzi wa hawa wakuu wetu kwa kweli.
   
 9. k

  kaliakitu2008 Member

  #9
  Aug 29, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  HIVI KIKWETE KWELI ATAONA AIBU WAKATI YEYE DHAMIRA YAKE YA KUWA RAIS IMESHATIMIA? HAPA ATATUPELEKA MPAKA 2015 kisha atakuja mwingine ambaye atujui atatupeleka wapi sababu HAKUNA MTU WOTE WANAFIKRA KAMA ZA HUYU TU
   
 10. k

  kaliakitu2008 Member

  #10
  Aug 29, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  halijua kubadili nembo tu
   
 11. k

  kaliakitu2008 Member

  #11
  Aug 29, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Natoka kisha ntarudi tena
   
 12. B

  Bobby JF-Expert Member

  #12
  Aug 29, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,682
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  Mkuu kwanini unajipa presha kiasi hicho kwa kutarajia visivyotarajiwa? Ili uwe kama Rwanda unahitaji kwanza uwe na serikali, ni makosa makubwa kutarajia maendeleo wakati huna serikali kwa maana ya serikali inayotenda na kutumia mamlaka yake vilivyo kwa faida ya wananchi wake wengi na si kwa mafisadi wachache. Mimi nadhani kwetu kabla ya kuanza kufikiria kuhusu maendeleo inabidi kwanza tufikirie kuwa na serikali kwa maana hiyo iliyotajwa awali. Then tukishakuwa na serikali ndio tutajua namna ya kuyaleta hayo maendeleo.
   
 13. HeartBreak

  HeartBreak JF-Expert Member

  #13
  Aug 29, 2011
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 346
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  tumeyaona tumeyasikia...hakuna maendeleo bila kumwaga damu...lazima mjitolee kufa ili nchi iwe na amani na maendeleo ya kweli!!! mapinduzi ya ukweli kama libya
   
 14. Clarity

  Clarity JF-Expert Member

  #14
  Aug 29, 2011
  Joined: Jul 6, 2010
  Messages: 810
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 80
  Rwanda wanatisha sana sasa hivi wapo tayari kuifanyia matengenezo au niseme kuiboresha reli yetu ya kati ili waweze kutumia bandari yetu ipasavyo maaana wanaona sisi uchumi tunaukalia
   
 15. C

  Che-lee JF-Expert Member

  #15
  Aug 29, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika taarifa nilizo nikuwa mpka mwishoni mwa mwaka 2012 kila shule ya msingi mpaka vyuo vikuu itakuwa na computer zenye mfumo wa internet!
   
 16. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #16
  Aug 29, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,991
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Sisi tumekalia politiki tu.
   
 17. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #17
  Aug 29, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,285
  Likes Received: 5,638
  Trophy Points: 280
  jamani hamna shukrani kawatengeenezea nemboo nzuri ,,yupo wanamtafutia shirika lingine akagundue nembo wampe million 200 kama atcl
   
 18. HOYANGA

  HOYANGA Senior Member

  #18
  Aug 29, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kiasi kwamba anashindwa hata kutembelea rwanda!!
   
 19. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #19
  Aug 29, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,285
  Likes Received: 5,638
  Trophy Points: 280
  umeonaaa eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeehhhhhhhhhhhh natiumaini makelele ya libya sasa yatakuwa furaha ile kujilimbikizia trillions kwenye account zama zake zinakwisha
   
 20. bombu

  bombu JF-Expert Member

  #20
  Aug 29, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,134
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  mh...! Ngoja ntafute mkaka wa Kitutsi aniwowe, lol
   
Loading...