TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 15,267
- 25,557
- Thread starter
- #41
Sio kika kitu utafuniwe, hata hapo 👇 hukute hujui kitu.
Hebu niambie na wao wafanye kama unavyotaka, ndiyo maana mnaambiwa waafrika mnatumia 0.01 ya akili kisa Great thinker.Kuna mambo mengi ya kujifunza wewe kama greater thinker lete habari ambayo haitaacha maswali kwa wasomaji sasa unaleta habari unadhani wote humu no Wanyarwanda au Warundi.