Rwanda yaanza kutumia mabasi ya kutalii.

Rwanda yaanza kutumia mabasi ya kutalii.

Tumechoka Habari za Rwanda kama una mahaba nao hamia huko. Wangekuwa na Pessa ndio Watoto wao wakose mikopo ya Elimu ya Juu wakimbilie kukopa Kodi zetu huku Tzie. Hizi habari za kuisifia Rwanda mwambieni Huyo mume wenu Kagame tumezichoka na wala hatuzihitaji.
Nchi yenyewe inalingana na Gezaulole hata kwa baiskeli unamaliza kwa kutwa moja!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jifunze ili uwe muelevu basi siyo kila kitu ukute tayari.
Kuna mambo mengi ya kujifunza wewe kama greater thinker lete habari ambayo haitaacha maswali kwa wasomaji sasa unaleta habari unadhani wote humu no Wanyarwanda au Warundi.
 
Ukisema Rwanda ni kanchi kadogo unakoweza kuzunguka kwa baskeli ukakamaliza, pia ukubali kwamba hata rasilimali zao ni chache kulingana na udogo wa nchi yao.

Ya kaisari mpe kaisari, Kagame is a genious!

- KANA -
 
Tumechoka Habari za Rwanda kama una mahaba nao hamia huko. Wangekuwa na Pessa ndio Watoto wao wakose mikopo ya Elimu ya Juu wakimbilie kukopa Kodi zetu huku Tzie. Hizi habari za kuisifia Rwanda mwambieni Huyo mume wenu Kagame tumezichoka na wala hatuzihitaji.
Huu ndiyo ujinga wa baadhi ya Great Thinkers, hapa kinachotaka kuzungumziwa ni kwamba sisi ni zaidi ya miaka miwili lilipozungumziwa jambo hili lakini hakuna chochote kilichofanyika zaidi ya mikakati, michecheto, tunalifanyia kazi na tunalichanjua! Siku zote tuko nyuma ya vinchi vidogo na masikini; jiulize ingawaje liko huu ya uwezo wako wa kufikiri; Ni kiasi gani cha pesa Rwanda hupata kwenye mashindano ya baiskeri Tour de Rwanda? Nakuacha hapo ili uendelee kutokana.
 
Mwenye Uzi yuko mkoa au DAR. Magari kama hayo miaka 20 iliyopita niliyaona Dar mjini. Tofauti ni hizo lebo na huku ni jua kali kwa hiyo yalikuwa na turubai fulani la kufunika. Hakuna cha ajabu labda aliyeandika ni mgeni wetu nchini toka kigali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Genious = genius

Kwani lazima muandike lugha za kigeni kama hujui siuandike hata kinyarwanda.
Ukisema Rwanda ni kanchi kadogo unakoweza kuzunguka kwa baskeli ukakamaliza, pia ukubali kwamba hata rasilimali zao ni chache kulingana na udogo wa nchi yao.

Ya kaisari mpe kaisari, Kagame is a genious!

- KANA -
 
Genious = genius

Kwani lazima muandike lugha za kigeni kama hujui siuandike hata kinyarwanda.
Pengine nisingeandika hivyo, bado ningekua najua niko sahihi kuandika genious badala ya genius!

Sioni kama kuna shida ukimrekebisha mtu bila masimango. I'm very open minded, thanks anyway!

- KANA -
 
Huu ndiyo ujinga wa baadhi ya Great Thinkers, hapa kinachotaka kuzungumziwa ni kwamba sisi ni zaidi ya miaka miwili lilipozungumziwa jambo hili lakini hakuna chochote kilichofanyika zaidi ya mikakati, michecheto, tunalifanyia kazi na tunalichanjua! Siku zote tuko nyuma ya vinchi vidogo na masikini; jiulize ingawaje liko huu ya uwezo wako wa kufikiri; Ni kiasi gani cha pesa Rwanda hupata kwenye mashindano ya baiskeri Tour de Rwanda? Nakuacha hapo ili uendelee kutokana.
Wewe nae kilaza sijui naye Unajiita GT, Kwahiyo kwa ujinga wako unataka kulazimisha Vipaumbele vya Rwanda ndivyo vya Tanzania? Foolish kabisa, Unajua Nchi inafaidika vip na Mkongo wa Taifa Je Rwanda wanao, Vip Upanuzi wa Bandari ya Salama, Je, Stinglers Gorge unajua Return yake kiuchumi na kwa hiyo kwakuwa Tanzania inafanya hayo na Wanyarwanda nao Walazimishe kujengewa BRT, SGR kisa Tanzania inafanya hivyo. Kwakweli wajinga wengi wako JF huku wakijiona wajuaji kumbe mbumbumbu tu
 
Back
Top Bottom