TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 13,994
- 21,850
Baada ya kuingia mkataba na timu ya Arsenal kuweza kuitangaza nchi ya Rwanda kwenye jezi zao, mara hii nchi hiyo imezindua kwa mara ya kwanza mabasi yatakayotumika kufanya utalii nchini humo.
Basi moja lina thamani ya faranga za Rwanda milioni 160, ambapo basi moja lina uwezo wa kubebawatalii 200 kila siku na uwapeleka katika maeneo ya utalii yakiwemo yale yanayoelezea historia ya jiji la kigali.
Garama za kutalii kwa Mgeni inakisiwa kuwa Tshs 112,000 kwa mizunguko mitatu huku raia na wakazi pamoja na raia wa mataifa ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wakilipa franga za Rwanda 25, 000 kwa mizunguko hiyo.