Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,181
Wakati sisi mjadala ni vifo vya faru waliotoka Sauzi, Kagame kapokea faru 10 kutoka Madiba country!
Sasa atawafuga wapi?Wakati sisi mjadala ni vifo vya faru waliotoka Sauzi, Kagame kapokea faru 10 kutoka Madiba country!
View attachment 504078