Rwanda wadai wanashambuliwa na majeshi ya Congo(FARDC)

Rwanda wadai wanashambuliwa na majeshi ya Congo(FARDC)

Hivi hao watutsi wa kagame bado wako darfur ama vipi? Isije ikawa ndio wanavamia jwtz huko Darfur. Siunajua hawa watu na uzalendo wao wa kimbari ni kiburi kupindukia.

Heshima yako mkuu, wakale usema akili kichwani mwako - mkuu kwa nini dunia haijiulizi inakuwaje operation ya kuvamia majeshi ya South Africa huko Central Africa haina tofauti na operation ya kuvamia majeshi ya Tanzania huko Darfur - mbinu zilizo tumika zilikuwa ni zile zile!!

Kumbuka majeshi haya ya kulinda AMANI huko Darfur na Central Africa yana involve na wanajeshi wa mataifa mengine, the burning question is "why pick on kambi za majeshi ya Tanzanians na South African alone na kuzivamia in a sustained firepower ya muda mrefu ili wa cause maximum damage physically na psychologically" ni nchi/mataifa gani yenye usongo wakutaka kuzipa fundisho nchi zetu hizi mbili? jibu unalo mkuu.

Tusije tukajidanganya hapa kwa kulahumu wakina Al Bashiri sijui na waasi wa central Africa, ukweli wa mambo Al Bashir hana time na sababu ya msingi ya kuhamuru majeshi yake au janjaweed kuvamia majeshi ya kulinda amani kutoka Tanzanania au South Africa, waasi huvamia majeshi ya Serikali ya nchi zao sio majeshi ya kulinda amani.

Mkuu huitaji shahada ya sayansi ya roketi kung'amua kinacho endelea - He/She goes "I will hit you at opportune TIME" so says Field Marshall IVAN the terrible and his/her right hand man Five Star General StrangeLove!!!
 
Heshima yako mkuu, wakale usema akili kichwani mwako - mkuu kwa nini dunia haijiulizi inakuwaje operation ya kuvamia majeshi ya South Africa huko Central Africa haina tofauti na operation ya kuvamia majeshi ya Tanzania huko Darfur - mbinu zilizo tumika zilikuwa ni zile zile!! Kumbuka majeshi haya ya kulinda AMANI huko Darfur na Central Africa yana involve na wanajeshi wa mataifa mengine, the burning question is "why pick on kambi za majeshi ya Tanzanians na South African alone na kuzivamia in a sustained firepower ya muda mrefu ili wa cause maximum damage physically na psychologically" ni nchi/mataifa gani zenye usongo ni nchi zetu hizi mbili. Al Bashir hana time na sababu ya kuhamuru majeshi yake au janjaweed kuvamia majeshi ya kulinda amani kutoka Tanzanania au South Africa, waasi watavamia majeshi ya Serikali ya nchi zao sio majeshi ya kulinda amani. Mkuu huitaji shahada ya sayansi ya roketi kung'amua kinacho endelea - He/She goes "I will hit you at opportune TIME" so says Field Marshall IVAN the terrible!!!
You are such a big liar!!!
 
You are such a big liar!!!
Heshima yako mkuu KOBA, please re-read my post No.21 - mkuu jaribu kubadirika ukiendelea kuishi in a dreamland dunia itakucheka, naona unajitahidi sana kumkingia kifua your HERO masaa yote, nataka nikukumbushe hakuna binadamu yeyote anaye mchukia Mh. wako as a human being, binadamu wote tuna our own failings lakini yakizidi amani inatoweka. Je Bara la Africa alitaki amani ya kudumu? Kuna haja gani watu wachache wavuruge bara letu na matra ya WAR,WAR,WAR badala ya JOE,JOE, JOE!! Jibu unalo.
 
Bukyanagandi, Koba, RUTAJUMBUKIRWA,

..nadhani vita ipo karibu.

..Rwanda wanasema wameshambuliwa kwa makusudi, na kwamba FARDC na FDLR wameungana.

[h=2]Rwanda protests ‘provocative bombing' from DR Congo[/h]
Two bombs landed in Rwanda's western district of Rubavu from a Congolese area controlled by the Congolese army, FARDC, and the UN Mission in that country, Monusco, the Rwandan government has said.

"Two bombs landed at Kageshi and Gasiza Cells, Busasamana Sector, Rubavu District, Western Rwanda at 3.05pm," Brig. Gen. Joseph Nzabamwita, Rwanda Defence Forces spokesperson, is quoted in a statement released by the Office of Government Spokesperson yesterday.

The statement said the incidents were "deliberate".

"This was a provocative and deliberate act by FARDC and Monusco since there was no fighting nearby between the warring factions. Fighting between FARDC and M23 rebels started on Sunday. We have credible information that FDLR is currently embedded in FARDC," he said.

The FDLR militia, a militia that a newly-formed UN intervention brigade is mandated to dismantle, is largely composed of the elements responsible for the 1994 Genocide against the Tutsi in Rwanda, which claimed the lives of a million people.

There were no casualties from the bombings on Rwandan territory, the statement added.

The renewed fighting, which comes after months of a lull caused by a ceasefire as the warring Kinshasa government and M23 rebels took part in peace talks in Kampala, has seen a fresh influx of refugees fleeing into Rwanda.

Officials said about 600 Congolese refugees have crossed into the country in the last two days.

The clashes

FARDC clashed with fighters from the M23 rebels close to the North Kivu capital, Goma, on Sunday, a combat that was still ongoing yesterday and has been described as "serious."

The spokesperson for M23, Col. Jean Marie Vianney Kazarama, told this newspaper yesterday that serious fighting was ongoing and that his group was facing a joint offensive by FARDC and FDLR.

"It's a long story. Right now, we are in full combat. The FDLR is cooperating with them (FARDC) and they have been attacking us since yesterday (Sunday) and the struggle is ongoing," he said.

Both Kinshasa and the M23 accused each other of provoking the fighting.

Efforts to talk to Congolese officials were futile by press time.

Monusco spokesperson Madnodje Mounoubai could not confirm the allegations of FARDC's cooperation with the FDLR, explaining in a telephone interview that the Mission had "no proof".

M23 fighters have also previously accused Monusco of lending a hand in attacking the their group, but the Force refuted the accusations, saying the Mission has only tried to intervene in the conflict for the purpose of protecting civilians.

"If we have reasons to believe civilians are in danger we have to protect them," Mounoubai said.

Many civilians in Congolese localities under current fighting such as Mutaho, about 7 kilometers from Goma, and Munigi, have been on the move since the fighting broke out on Sunday.

Some 600 refugees have been received across the border in Rwanda where government and the UN High Commission for Refugees are working on modalities to facilitate them.

Members and fighters of the FDLR are known as perpetrators of the 1994 Genocide against the Tutsi who not only fled to Congo, but maintain their goal of eliminating the Tutsi and have continued to commit war crimes in eastern Congo.

source ni The NewTimes: Rwanda protests ‘provocative bombing’ from DR Congo - The New Times Rwanda
 
Last edited by a moderator:
Heshima yako mkuu KOBA, please re-read my post No.21 - mkuu jaribu kubadirika ukiendelea kuishi in a dreamland dunia itakucheka, naona unajitahidi sana kumkingia kifua your HERO masaa yote, nataka nikukumbushe hakuna binadamu yeyote anaye mchukia Mh. wako as a human being, binadamu wote tuna our own failings lakini yakizidi amani inatoweka. Je Bara la Africa alitaki amani ya kudumu? Kuna haja gani watu wachache wavuruge bara letu na matra ya WAR,WAR,WAR badala ya JOE,JOE, JOE!! Jibu unalo.

Haya Kobe habari hii hapa toka kwenye hiyo source yenu.
 
Mkuu joka kuu please jaribu kusoma tena post ya genius one RUTAJUMBUKIRWA, jamaa huyu apart ya kuwa na a very refined English vile vile ametoa ufafanuzi mzuri sana kuhusu psychy ya jamaa hawa - masaa yote wanalahumu watu wengine kwa masahibu yao, hawajifunzi kusemehe, hawajifunsi kwa wenzao Africa kusini walivyo sameana na kusahau kila kitu.

Mantra zao wakati wote ni: Sijuhi third force, genocide, FDLR miaka nenda rudi - wala mimi sishangai wanaposema eti jeshi la UN limewa incoporate FDLR that is but one of several clever ploys za kuonyesha kwamba jeshi la UN alina credibility kwa hiyo soon nalo litahitwa genocide.. sympathizer, kama waliweza kumbatiza Mh.Jakaya Kikwete jina hilo itakuwa UN Bwana.

Ukiangalia kwa makini jamaa hawa wanawahiga Waisrael to the letter, Waisrael wakisema IRAN hisijaribu sijui ku-X line gani kesho yake neno hilo hilo linatumiwa na jamaa hawa, Waisrael wametumia mambo ya Hollocaust miaka nenda rudi kama njia ya kuwakandamiza waarabu na kuanzisha vurugu zisizo na kichwa wala miguu, masaa yote Hollocaust, Hollocast hawazungumzii kuhusu Warusi Million karibu ishirini waliopoteza maisha yao vitani na kuwahokoa Wayahundi, hawazungumzii ma gypsy, walemavu, na wagonjwa wa akili walioangamia kwenye concentration CAMPS kwao hao sio binadamu hukuna haja ya kuwakumbuka.

Barua ya mkuu RUTAJUMBUKIRWA inapashwa kumfikia Rais OBAMA na the current Secretary of State John Kerry kabla ya Susan Elizabeth Rice hajamtibua OBAMA kwa kuemeleza adithi za kutunga kuhusu RWANDA, nilisha wahi kueleza kwamba mama huyu alikuwa karibu sana na Barozi wa Rwanda UN ambaye naye alikuwa mwanamke na kujaribu kuvuruga watu wenye nia ya kuleta amani ya kudumu kwenye Great lakes isitekelezwe, sina shaka OBAMA alikuwa briefed properly na Mh.Kikwete na Mh.Zuma kuhusu hali halisi katika eneo hili TETE. Mungu ibariki Africa.
 
The beginning of the end of Dictator Kagame.

Huyu jamaa ni kirusi. UN haikurupuki, na hata siku moja UN haifanyi kitu ambacho US haipendi. Hapa mziki ndio umeanza, nategemea kelele zoote zitapigwa lakini UN itaziba masikio kwasababu ukweli wanaujua!

Kagame bye bye, Ukiondoka watutsi na wahutu wataishi pamoja kwa amani.
 
Kama ulichoandika ni kweli copy & paste word to word uweke hapa from newtimes,najua you will never do that kwa sababu unajua ulichoandika ni uwongo,we know news kama hizi mnazitoa from extremist blogsites like afroline and inyenyeri maana ndio goldmine yenu ya news kama hizi

Mkuu tembelea Gazeti husika uone hiyo habari.
 
Nasikia m23 wanapigwa ile mbaya! Kwenye tweeter account yao wanalalamika kwamba jeshi la tz lipo mstari wa mbele linawasaidia Drc. Lakini wamesahau mandate waliyopewa askari wa Sadc na UN kwamba wanaruhusiwa ku attack inapobidi. Na hilo watafanya wakiwa na jeshi la Kongo au hata wakiwa peke yao!.
 
Heshima yako mkuu, wakale usema akili kichwani mwako - mkuu kwa nini dunia haijiulizi inakuwaje operation ya kuvamia majeshi ya South Africa huko Central Africa haina tofauti na operation ya kuvamia majeshi ya Tanzania huko Darfur - mbinu zilizo tumika zilikuwa ni zile zile!!

Kumbuka majeshi haya ya kulinda AMANI huko Darfur na Central Africa yana involve na wanajeshi wa mataifa mengine, the burning question is "why pick on kambi za majeshi ya Tanzanians na South African alone na kuzivamia in a sustained firepower ya muda mrefu ili wa cause maximum damage physically na psychologically" ni nchi/mataifa gani yenye usongo wakutaka kuzipa fundisho nchi zetu hizi mbili? jibu unalo mkuu.

Tusije tukajidanganya hapa kwa kulahumu wakina Al Bashiri sijui na waasi wa central Africa, ukweli wa mambo Al Bashir hana time na sababu ya msingi ya kuhamuru majeshi yake au janjaweed kuvamia majeshi ya kulinda amani kutoka Tanzanania au South Africa, waasi huvamia majeshi ya Serikali ya nchi zao sio majeshi ya kulinda amani.

Mkuu huitaji shahada ya sayansi ya roketi kung'amua kinacho endelea - He/She goes "I will hit you at opportune TIME" so says Field Marshall IVAN the terrible and his/her right hand man Five Star General StrangeLove!!!

The good news, ni kwamba ile Kambi iliyotuambush South Sudan na kuuwa wapiganaji wetu is no more!
 
Nasikia m23 wanapigwa ile mbaya! Kwenye tweeter account yao wanalalamika kwamba jeshi la tz lipo mstari wa mbele linawasaidia Drc. Lakini wamesahau mandate waliyopewa askari wa Sadc na UN kwamba wanaruhusiwa ku attack inapobidi. Na hilo watafanya wakiwa na jeshi la Kongo au hata wakiwa peke yao!.

pia wanasema majeshi ya UN wanavaa Kombati za jeshi la CONGO. Kagame anataman kutuangamiza watanzania.
 
Nimebahatika kuona picha za askari wetu waliouawa huko SUDAN kwakweli hauziangalii mara mbili kwa jinsi walivyoharibiwa kwa risasi na mabomu. Kuna majeruhi mmoja kaungua yaani Kudra za mwenyezi Mungu ndiyo zinaweza kumsaidia apone kabisa, wakati naziangalia mpaka machozi yamenitoka. Kwakweli kama huyu Kimbaumbau Gaidi Mkuu wa ukanda wa maziwa makuu anahusika kwa kuwafanya vile wanajeshi wetu basi amiri jeshi mkuu hana budi kuamrisha liwalo na imma Tanzania ifutike kwenye ramani ya dunia au kimbaumbau atolewe madarakani kwa nguvu.

R.I.P Wazalendo wetu na Majeruhi Inshallah mwenyezi Mungu awaponye haraka.
 
mungu yu upande wetu, daima maji hujitenga na mafuta ukweli utadhibitika tu, si unasikia anavyojishauwa baada ya m 23 kunyuka jana?
 
pia wanasema majeshi ya UN wanavaa Kombati za jeshi la CONGO. Kagame anataman kutuangamiza watanzania.

jeshi la kongo limeanza kurudia uhai wake sasa, kinachofuata ni operation safisha watusi jeshini. Hafu hamna haja ya majeshi ya UN kuvaa kombati za majeshi ya kongo kwa waliruhusiwa kisheria kuwashambulia waasi pindi wakihisi wapo hatarini!
 
Nasikia m23 wanapigwa ile mbaya! Kwenye tweeter account yao wanalalamika kwamba jeshi la tz lipo mstari wa mbele linawasaidia Drc. Lakini wamesahau mandate waliyopewa askari wa Sadc na UN kwamba wanaruhusiwa ku attack inapobidi. Na hilo watafanya wakiwa na jeshi la Kongo au hata wakiwa peke yao!.

wanalalamika kushambuliwa wakifanya mauwaji kwenye nchi nyingine? hili ni fagio la chuma mpaka kwa slim boy kagame, nawombe mungu wasiushishwe kwa namna yoyote na uvamizi wa j.ya afrika ya kati na darfu tutapata uhalali wakuwamaliza mapema..
 
watanzania wengi hawaelewi hili

mkuu, inasikitisha sana ndiyo maana vyama vya siasa (isipokuwa ccm) wanasisitiza serikali kuwa wazi kwa masuala yanayohusu taifa na hata elimu ya uraia.
 
Back
Top Bottom