Umeongea ukweli mtupu mkuu, kilichobaki hapa nikujitoa tu kwenye hiyo EAC na kuanza kukomaa kuijenga nchi yetu! malumbano ya kisiasa ndani ya nchi na yale ya kikatiba na muungano yasiathiri mambo muhimu ya kitaifa pindi ikitakiwa kufanya hivyo! hawa majirani zetu sio wazuri hata kidogo, ni manyoka tena wale wenye sumu kali ambao wanaumezo wakuua "200 men in one strike"Ndugu nafikiri kuna visababu ninavyovifikiria kama ifuatavyo: hii yote ni sis TZ kukataa kingiza ardhi kwenye EAC kwani angalia nchi hizi hawana ardhi tena macho yamebakia Bongo. Angalia classic example, utalii wa Kenya unakwenda chini baada ya TZ na other social media sources zinavyoitangaza vivutio vya utalii. Pia Obama, Bush na Clinton kuja TZ yaweza kuwa sababu kwani in future tutakaribisha investment capital itakayotishia uchumi wa hizi nchi.. Pia si maajabu pia kuhusu gas tuiliyonayo na Uranium ndivyo walivyoona wakijua wabong are soon if not now taking off!!!Nawasilisha mie..
"Ila cha msingi ni kuyafanyia kazi mapungufu ya bandari plus na hii tabia hovyo ya Traffic kuomba hela bila haya."HAYA MANENO NAYO HUKUYAONA?KWA ENGLISH LETS WORK ON OUR SHORTCOMINGS"Labda nipige na Kiitaliano!
Ndugu nafikiri kuna visababu ninavyovifikiria kama ifuatavyo: hii yote ni sis TZ kukataa kingiza ardhi kwenye EAC kwani angalia nchi hizi hawana ardhi tena macho yamebakia Bongo. Angalia classic example, utalii wa Kenya unakwenda chini baada ya TZ na other social media sources zinavyoitangaza vivutio vya utalii. Pia Obama, Bush na Clinton kuja TZ yaweza kuwa sababu kwani in future tutakaribisha investment capital itakayotishia uchumi wa hizi nchi.. Pia si maajabu pia kuhusu gas tuiliyonayo na Uranium ndivyo walivyoona wakijua wabong are soon if not now taking off!!!Nawasilisha mie..
Kama ni msafiri wa barabara ungekuwa ushajiuliza swali hili siku nyingi... ,Kuna msururu mrefu kwenye mizani ukianzia kibaha, michese, morogoro, dodoma, shinyanga, katika mizani zote hizi lazina lori ipoteze zaid ya dakika arobaini na tano.. (muda unaopotea kwenye mizani tuu ni zaid ya masaa matatu kwa gari moja) ni masaa na bado kuna trafiki katika mkoa mmoja tuu kuna trafiki check poin zaidi ya sita na kila moja ina poteza muda wa dakika kumi (muda unaopotea kwenye hiz check point ni zaidi ya saa moja kwa gari)..
Total time cost per year goes up to billions of money... Kiukweli hatuko kibiashara na viongozi wetu wamekosa vision labda kwa sababu hawayaoni haya na waliochini yao wanafaidika na huu urasimu.. na rushwa..
Hii ni moja kati ya maeneo ambayo wachumi wetu wangefanya utafiti na bila shaka hukosi PHD katika eneo hilii...
Badala ya kuwa objetive na kujiuliza kwanini Rwanda na Burundi wanakimbia bandari zetuu sisi tunachukulia kila kitu personal and subjective.. kwa akili hizi hatuwezi kutoka hapo tuliopo tutakuwa nchi ya laana kina mtu analalamika, hakuna mwenye majibu wote ni lawama na kujihamii tuuu
Ni lazima tujiulize kwanini baadhi ya Watanzania bado wanatumia bandari ya Mombasa ikiwemo mimi mwenyewe wakati ya kwetu ipo?? Sijawahi kusikia wala kuona Wakenya wakitumia bandari yetu.
Jibu: Hii ni kwa sababu ya huduma mbovu zilizopo bandari ya Dar-es-salaam kama, ucheleweshaji wa kutoa mizigo, wizi, rushwa iliyo kithiri, ukiritimba, uzembe, ufisadi,longolongo na mengine mengi. I think we are not serious! This is a lesson to learn.. something needs to be done, else we are done.
Hao wasafirishaji kwa nini hawaleti mchanganuo wa kitakwimu....
1. Inachukua siku ngapi kuondosha kontena bandarini (Dsm/Mombasa)
2. Gharama za uondoshaji huo zikoje?
3. Unatumia siku ngapi kusafirisha kontena kwenda Uganda ama Rwanda?
4. Kero za traffic police kwa Tanzania na Kenya zikoje?
Kubwa zaidi hao kina Hanspope watwambie tukiondoa mizani wanatuhakikishiaje kuwa hawatabeba mizigo zaidi ya uzito unaoruhusiwa???
Bila kufanya haya tutakuwa tunapiga siasa tu!!
Kikubwa serikali yetu iongeze ufanisi tu bandarini, barabara ziimarishwe, tufufue reli ya kati jambo ambalo kina Hanspope hawato-support....mwisho wa siku wafanya biashara wa Rwanda na Uganda wataangalia njia ipi inawapa faida!!!!
Umeongea ukweli mtupu mkuu, kilichobaki hapa nikujitoa tu kwenye hiyo EAC na kuanza kukomaa kuijenga nchi yetu! malumbano ya kisiasa ndani ya nchi na yale ya kikatiba na muungano yasiathiri mambo muhimu ya kitaifa pindi ikitakiwa kufanya hivyo! hawa majirani zetu sio wazuri hata kidogo, ni manyoka tena wale wenye sumu kali ambao wanaumezo wakuua "200 men in one strike"
Tufanyeni kadri inavyowezekana kulitatua tatizo la kiuchumi linaloikabili Tanzania, kama ni CCM, ndio kikwazo basi ing'olewe tu tumechoka, kama ni watendaji ndani ya serikali basi wawajibishwe, kila anaehusika na kurudisha maendeleo nyuma aondoke katika nafasi husika! tubakiwe na maadui wa nje tu, lakini itakua ni kioja kama tutakua tunakulana sisi kwa sisi kama samaki au wanyama pori!!!Sasa hivi, GDP (PPP) ya Kenya na Tanzania are almost the same. Uganda na Rwanda wala siyo nchi za kuitingishia kifua Tanzania, washindani wakubwa kiuchumi against Tanzania in East Africa ni Kenya, full stop.
Hawa wengine, hawana ufukwe wala maziwa makubwa kama Tanzania, wataishia kumangamanga tu, na sababu kubwa ni siasa zao, M7 na Kagame. Ila they are most welcome any time to use our bandari.
Bandari ya Mombasa ilikuwa ni free port for all east african states after independence, wakenya wakaitaifisha. Leo Waganda na Wanyarwanda wanajifanya Mombasa ...Mombasa, haya, yetu macho sisi.
Tatizo la Tanzania kubwa kwa sasa ni CCM!! CCM imeoza na uongozi umewashinda. Tukiiondoa ccm, hawamajirani watakuwa wanalisikilizia vumbi tu!
Bandari ni Lango la Biashara Miaka ile kulikuwa na wimbo huo....Mimi naona hii bandari tuifunge kabisa na sisi tutumie Mombasa maana ni janga la taifa. Bandari miaka nenda rudi inalalamikiwa na matatizo hayo hayo!
now tell economy ya rwanda ni ipi, mzunguko wa mizigo/consignments za kuweka impact kwa nchi kama Tanzania ni upi??? mnaagiza kipi na kuuza kipi chenye business volume kubwa kulinganisha ilala au kinondoni???
let me keep quiet... maana naona unachukua habari za hawa local transporters na kuifanya muhimu sana
Myopia at its best
"If you really are learned" ndio nini sasa?
Naungana nawe mkuu. Hapa ni suala la kujipanga vzr tu. Kwa landlocked countries ni uwendawazimu wa ukubwani kuwekeza kila kitu chako kwa jirani mmoja. Tukumbuke miaka takriban 4 ilopita uhusiano kati ya kenya na uganda ulikuwa shakani hata kupelekea vita baina yao wakigombea kisiwa cha migingo ktk ziwa victoria ambapo jeshi la uganda walivamia kisiwa na kupandisha bendera ya uganda. Kama isingekuwa busara za Kibaki vita ingepigwa. Rwanda na Uganda nao pia uhusiano wao kwa miaka kadhaa umekuwa wa paka na panya hata kuchapana mara mbili ndani ya DRC wakigombea dhahabu za wizi. Hivo itakuwa ni upuuzi kuitenga Tz kwa kudhani wanaikomoa. Akili zao finyu zinawafanya washindwe kutambua kuwa kwa jiografia ya nchi zao ilivo wanafanya kosa la kihistoria na la kiuenda wazimu. Watalazimika kulamba miguu ya wakenya maisha yao yote na midomo ikikauka mate watakuja wenyewe. Hatuhitaji kuwa bembeleza ila watakuja wenyewe tu. Muda na mazingira ya wakati vtawafanya watupigie magoti wakati tukisimama wima. "Ngoma ya kitoto huwa haikeshi" Kuwa na rafiki kama Kagame ni sawa na urafiki wa mbuzi na fisi. We fikiria ka nchi ka Rwanda ukubwa na jiografia kama kiberiti wtatokea wapi kama sio kulamba viatu vya jirani zake? Bora Mu7 anaongoza nchi na sio Kagame sawa na katibu tarafa. Tukipoteza wao wanapotea.Watanzania tusiwe na wasiwasi kwa hili, ni kweli uchumi utayumba kiasi lakini ukweli utabaki palepale kuwa bandari yetu ndio suluhisho la kweli kwako na watarudi tu, leo PK na MU7 wameungana kwa hili lakini miaka kazaa iliyopita walikuwa mahasimu wakubwa, kwa akili ya PK lazima alikoroge huko mbeleni, na mizigo itakayo hamia huko ni ya serikali tu, kwa upande wa wananchi, bado wataendelea kuitumia bandari ya Dar, wanaweza wakafanikiwa lengo lao kama watamudu kuihamisha tanzania na kuipeleka sudani au botwasana.