La muhimu zaidi ni kumarisha reli zetu za TAZARA na TRL. Kiukweli hata usafirishaji kwa kutumia barabara ni kikwazo kikuu kwa bandari na uchumi wetu kwa ujumla.Hao wasafirishaji kwa nini hawaleti mchanganuo wa kitakwimu....
1. Inachukua siku ngapi kuondosha kontena bandarini (Dsm/Mombasa)
2. Gharama za uondoshaji huo zikoje?
3. Unatumia siku ngapi kusafirisha kontena kwenda Uganda ama Rwanda?
4. Kero za traffic police kwa Tanzania na Kenya zikoje?
Kubwa zaidi hao kina Hanspope watwambie tukiondoa mizani wanatuhakikishiaje kuwa hawatabeba mizigo zaidi ya uzito unaoruhusiwa???
Bila kufanya haya tutakuwa tunapiga siasa tu!!
Kikubwa serikali yetu iongeze ufanisi tu bandarini, barabara ziimarishwe, tufufue reli ya kati jambo ambalo kina Hanspope hawato-support....mwisho wa siku wafanya biashara wa Rwanda na Uganda wataangalia njia ipi inawapa faida!!!!
Bandari yetu ingekuwa inafanya kazi inavyopaswa, wala hamna mtu angeondoka, with or without ugomvi.
Halafu bila haya kiongozi anasema haoni mantiki!
ni mara kumi sisi tufunge mkanda kuliko kuwaandalia wajuku zetu m23. Kama drc wangewafukuza miaka ile leo kusingekua ni kikundi kinachoitwa m23 kikidai kumegewa sehemu ya drc. Kwanza siku zijazo tunategemea kuanza kusafirisha nikel tani milion tisa kwa mwaka kitu ambacho bandari ya mombasa haiwezi kufikia.
sisi tunaolipa kodii tunajuaa uchungu wa kauli kama hiizii.. Tra ongezeani wigo wa walipa kodiii, ili kila mtuu ajue gharama za maishaa... Usafirishaji wa nickel utakusaidia nini....??!! Hawa viongozi walioua reli leo wanakaribia kuua bandari kutokana na rushwa na urasimu uliokithiri kwenye bandari na barabara zetuu.. Sisi hayo hatuyaoni tunaona watutsi tuuu.... Kweli tuna laana kila kitu tunakichukulia subjectivee.... Inatia hasiraa...
NO NEED of KNEEL DOWN but govt must eases and facilitate the all routine objections,let programe the better way so that our service will quickest,fast enough/I DONT NO FOR CORRUPTIVE GOVT& EGOISM AMONG LEADERS god bless tanzania
na ndio hatari ninayoiona mimi, tunanze kuimalisha undugu wetu na Malawi, Botswana, Afrika Kusini, Zambia na Namibia ! Integration na hao jamaa zitawatisha hao wapenda vita.
Bakharesa ni mmoja wa waathirika kibiashara maana Rwanda ilikuwa kama familia yake analisha kila kitu sembe, jui, maandazi yaani ni kwamba wanyarwanda walikuwa watoto wa kambo wa AZAM, kumbuka wakenya wanavizia opportunity hiyo.Rwanda hawataathirika na kuondoka kwa AZAM kwani wakenya wanakodolea macho na ndicho kenyata is EYEING FOR.Kifupi swala hili watanzania mlishabikia bila ku-assess impact na the multiplier effects.Dr.slaa mlimpuuza yeye alishauri badala ya mipasho wangekaa kwanza wawili at round table, that is hiow conflicts are always addressed.BIG UP DR.SLAAAA lastly the got the message from u
Unamaanisha nini unaposema kua usafirishaji wa nikel hauna faida, kwa taarifa tu uzaklishaji wa nekel ukianza mapato yatajayotokana na reli yataongezeka sana.
Unamaanisha nini unaposema kua usafirishaji wa nikel hauna faida, kwa taarifa tu uzaklishaji wa nekel ukianza mapato yatajayotokana na reli yataongezeka sana.
Kwa wachumi mtanisaidia kidogo, kwani nachanganyikiwa na sirikali reactive.
Maka jana mh.rais alizinDUA KWA MBWEMBWE a five years strategic Plan.mwaka huu ktk bajeti ya nchi imeletwa bila kufuata vipau mbele ktk strategic plan ya nchi, baada ya miezi kadhaa tumeletewa the BIG RESULT NOW nashindwa kuunganisha kipi kinaanza na kipi kinafuata.
Nhi hii kwa MAJANGA kwa kukosa maarifa
Nchi hizo tatu ambazo zimeruhusu kwa raia wao kusafiri kwa vitambulisho pale wanapotembelea nchi tatu miongoni mwao, zitakutana tena Kenya mwezi huu.
mbona hizo mbwe mbwe tu .... atake asitake bado nchi yake ni "land locked country-rwanda" atake asitake.
watanzania kila kitu ni jk, hata ukibomokewa na choo unamlaum jk badala ya fundi wako.