Rwanda - Tanzania Tensions Flare Again

Status
Not open for further replies.
 
Mwambie PK aje aombe msamaha kwa JK lasivyo tunawapa train na mtatandikwa all tutsi,maneno meeengi hata risasi hamrushi hata mpakani mwa Tz,PK lazima anyolewe
 

1. Kagame alianza mashambulizi 1990 sio 1994! what genocide was kagame stopping then? Kagame na RPA walikuwa wanataka kupindua nchi tu, genocide or no genocide!

2. Kama kulikuwa na matatizo ya kisiasa ndani ya Rwanda Kagame ilimhusu nini yeye si alikuwa raia wa Uganda, tena mwenye cheo kikubwa tu. Kwani hakukuwa na wapinzani wa kitutsi Rwanda mpaka kagame alipokuja? la, walikuwapo wengi tu. kaka yake mushikiwabo ambaye alikuwa waziri katika serikali ya Habyarimana si alikuwa chama cha upinzani not so? Hivyo si kweli kuwa watutsi walikuwa wanategemea kagame aje kuwa-save, kagame imposed himself. labda udai alikuwa ana-represent wakimbizi wa kitutsi uganda juu ya swala la kurudi, hapo kidooooogo nitakuelewa.

3. Kama Rwanda inailalamikia UN, basi ni busara kujiuzulu kwanza hicho kiti ndio mengine yaendelee.

4. Ni kweli UN ina mandate ya kupambana na waasi. FDLR is more complicated than simply waasi kama wale wa uganda, mai mai etc, ndio maana UN haiwezi tu kuwapiga. Ndio maana TZ tunawasikiliza, na DRC inashirikiana nao (kama ambavyo Uganda ilishirikiana na RPA). FDLR na M23 ni tofauti kama mchana na usiku.
 
Nimekutana na msafara wa JK unatokea Msoga this weekend ilikuwa jumapili nimepishana nao pale Kiwangwa kuelekea Fukayosi.

Pengine ilikuwa ndio anatoka kwenye hizo issue majira ya mchana.
 
karegeya's last letter:

"The idea is to invite stakeholders in Rwandan society (Government, Church, Civil Society and Opposition organizations, including those that are armed, etc..) to talk candidly about the state of affairs in our beloved country and how we can build the future together. Understandably, this is a very difficult proposition, given the fact that such a culture of dialogue, give and take is evidently lacking in our society. Yet, we can only imagine the dangerous alternatives to the dialogue and peace. We have informed the United States Government, and the Governments of France, Belgium, Tanzania and South Africa about this idea. While they all note how difficult this will be, they appreciate how timely, important and urgent it is."

keywords: talk, timely.

Hivi mtu mwenye akili timamu anaonaje tatizo hapa?
 

viongozi wa M23 walikuwa askari wa RPA 1994, unasemaje kuwa wameomba hifadhi Rwanda, badala ya kusema wamerudi kwao?
 
mda si mrefu tutakunywa chai pale kigali huku tukivuta kiko!
 
viongozi wa M23 walikuwa askari wa RPA 1994, unasemaje kuwa wameomba hifadhi Rwanda, badala ya kusema wamerudi kwao?

Kua mtanzania ulipigana upande wa frerimo haimaanishi umekua mozambikan.
 

Kijana umechambua vizuri sana as if you're from Rwanda. Huo ndo ukweli usiopingika. and PK knows that.
 
Acha uongo FDLR ni kikundi cha wahutu hiyo watutsi wanaona kama ni magaidi, kwahiyo hata yule mama wa upinzani aliyefungwa naye ni gaidi?

FDLR has an international acclaim as a Terrorist group, President Kikwete should be careful with this, but we should not intervene in domestic affairs of a sovereign state.
 
Hakuna nchi yenye demokrasia ambapo chama kinashinda kwa asilimia 90....kama hawajaiba kura basi ni kura za woga...

Namuhurumia sana Kagame...it is not too late...abadilike na awaombe msamaha wanyarwanda...that is if hatapelekwa The Hague.

Dunia ya sasa ya uhuru wa habari (internet) huwezi kutawala kwa mabavu na vitisho...

Na wala hawezi kuwadanganya watu muda wote...sasa ameshitukiwa...dunia yote inamcheka.

Sijuhi kama ana control hizi habari kwa kiasi gani zisiwafikie wanyarwanda wakati anajisifia kwa internet connectivity...maana wakibumburuka ndio utakuwa mwisho wake.


unajua sunni ni minority kule iraq lakini sadam hussein ambaye n sunni alikuwa anapata kura sometimes zaidi ya 100perc!!!!unajua juzi juzi us ilitoa report kwamba kulikuwa na malipulation na intimidation kwenye uchaguzi wa rwanda!!
 

Mimi sina mengi kama uko mwanaume peleka pua yako rusumo tu na hao materahamwe wako utaona cha mtemakuni thubutu!
 
Ajabu Karegeya alikuwa ni mtusi lakini aliweza kushauri haya
!.
 
Mimi sina mengi kama uko mwanaume peleka pua yako rusumo tu na hao materahamwe wako utaona cha mtemakuni thubutu!

...hayo maneno hata wale jamaa zenu M23 walituambia......na "pua" zetu waliziona.......kawaulize nani aliona mambo ya "mtema kuni".........mkitaka mapambano yenu kiuchumi yaharibike......endeleeni na upuuzi wenu........
 
...hayo maneno hata wale jamaa zenu M23 walituambia......na "pua" zetu waliziona.......kawaulize nani aliona mambo ya "mtema kuni".........mkitaka mapambano yenu kiuchumi yaharibike......endeleeni na upuuzi wenu........

Unajua ile pact yao ya ulinzi Rwanda->Uganda->Kenya ndo imempa tena kichwa PK. Mwanzo alifikiri yupo strong baada ya M23 kutolewa nduki akanyong'enyea kweli.
 
Kwakweli sijui unaongelea nini na kwanini.

Hizi akili za misaada ni za ajbu sana kwasababu zinafanya watu washndwe kufikiri kabisa.
Ungejiuliza kwanza kwanini Tanzania ilivunja uhusiano na Israel. Ukipata jibu ndipo uandike kitu. Kwa mtazamo wangu hujui nini kinaendelea dunia au kilitokea siku za nyuma isipokuwa umesimuliwa kuhusu misaada.

Please panua wigo wako wa kutazama mambo kwa kina na upana wake.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…