Rwanda ni Israel ya Afrika Mashariki?

Rwanda ni Israel ya Afrika Mashariki?

"Rwanda imekuwa kivyake, hivyo hatuogopi na hatutishwi." Hii ni kauli ya Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame wakati wa sherehe za kuupokela mwaka mpya wa 2024 uliofanyika mjini Kigali Rwanda [emoji1206].

Kagame anaongeza kwa kusema "Hatutishwi na uwezekano kwamba siku moja tutakuwa peke yetu tena. Tunapaswa kuwa tayari kila wakati.

Kuna wakati tutabaki peke yetu, lakini tutastahamili na kuishi vizuri tena zaidi ya nyakati zilizopita" Rais wa Rwanda Paul Kagame.

Wachambuzi wa siasa za Afrika Mashariki mnasemaje kuhusu kauli hizi za Mkuu wa nchi.

View attachment 2869960
Sijaelewa kwanini umewafananisha na Israel, kwani wao wanaikalia nchi gani nyingine?
 
Sio kwa kuikalia nchi, bali kwa vijitabia vyake dhidi ya majirani wake. Ni kivuruge katika ukanda wa Afrika Mashariki.
Sijakuelewa.

Mimi naona Afrika Mashariki ukiitazama vizuri tunao mfano wa israel ba palestina kabisa. Mwenyezi Mungu atunusuru tu utajiri unaopatikana usituletee matatizo.


Unafikiri tatizo la Rwanda, Burundi na Congo ni nini?
 
Hana lolote huyo. Awachokoze JWTZ halafu aone atakavyo chakazwa. Hiyo Israel yenyewe nayo unayoisifia, siku zote inabebwa na kaka yake Marekani.
Nadhani hujaelewa vyema. Kwani huoni amealikwa leo nk?
 
"Rwanda imekuwa kivyake, hivyo hatuogopi na hatutishwi." Hii ni kauli ya Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame wakati wa sherehe za kuupokela mwaka mpya wa 2024 uliofanyika mjini Kigali Rwanda [emoji1206].

Kagame anaongeza kwa kusema "Hatutishwi na uwezekano kwamba siku moja tutakuwa peke yetu tena. Tunapaswa kuwa tayari kila wakati.

Kuna wakati tutabaki peke yetu, lakini tutastahamili na kuishi vizuri tena zaidi ya nyakati zilizopita" Rais wa Rwanda Paul Kagame.

Wachambuzi wa siasa za Afrika Mashariki mnasemaje kuhusu kauli hizi za Mkuu wa nchi.

View attachment 2869960
Nchi over rated halafu hakuna inachojimudu.
 
Nimeamini yule tolu ni noma, yule mtoto wake alitaka kuwakaza makofi mausalama wa bongo walipotaka kumpokonya silaha.
Weeee angethubutu aoneee.
Angejuta kuzaliwa,umzabe makofi usalama wa bongo hujitakii mema wewe.
 
Atamfanya nini sasa,bro yule PK sio ntu wa kawaida
Anakuzwa tu kama Netanyahu anavyokuzwa.
Ila hana lolote.Tanzania kufanywa kuwa capital hub ya mambo mengi ya kidiplomasia watu hawakukurupuka wanaelewa uwezo na ukubwa wa Tanzania.
 
"Rwanda imekuwa kivyake, hivyo hatuogopi na hatutishwi." Hii ni kauli ya Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame wakati wa sherehe za kuupokela mwaka mpya wa 2024 uliofanyika mjini Kigali Rwanda [emoji1206].

Kagame anaongeza kwa kusema "Hatutishwi na uwezekano kwamba siku moja tutakuwa peke yetu tena. Tunapaswa kuwa tayari kila wakati.

Kuna wakati tutabaki peke yetu, lakini tutastahamili na kuishi vizuri tena zaidi ya nyakati zilizopita" Rais wa Rwanda Paul Kagame.

Wachambuzi wa siasa za Afrika Mashariki mnasemaje kuhusu kauli hizi za Mkuu wa nchi.

View attachment 2869960

Kuna siku mabwana zake watamchoka!!
Ndipo itajulikana
 
Back
Top Bottom