Walewale wayahudi wanarudi kwa mlango mwingine. Sema kwa huku mzee atakuwa anaiba na yeye vizuri kupitia rafiki yake maana sidhani kama kuna mkataba utawekwa wazi bungeni.....Just a thought!!Baada ya wawekezaji wa kigeni kuzingua juu ya ukwepaji wa kodi na utoroshaji wa rasilimali kama makinikia serikali ya Rwanda inatarajia kuja kuwekeza Tanzania katika sekta ya madini
Ni jambo jema na kutia moyo kuona waafrika wenzetu na jirani zetu wanakuja kuwekeza
Huu ni wakati wetu sisi waafrika kujiendeleza sisi kama sisi baina ya nchi na nchi
Na kupitia hivyo utaratibu umeshaanza na serikali ya rwanda inatarajiwa kuwekeza kwenye migodi 18 ya mwanzo kama makubaliano ya mwanzo
Na uzuri ni kuwa tutapata kodi ya kutosha na kunufaika vya kutosha
My take:
Tujitahidi sana wawe wanalipa kodi ya kutosha na sisi tufaidike na pia kama itawezekana serikali ya tanzania iingie ubia na serikali yetu iwekeze kwenye migodi yote ya tanzania ambayo inaonekana inasua sua
Na hili litatufanya tunufaike mno kiuchumi
ufipa street.Source??
Mama dau lilipanda kama ulivyohitaji?? Naona uko active sana nowadays
Sirudiagi kujisoma labda niwe nafukuzia pesa au inahusu kazi zangu.Soma ulichokiandika.
daah kaz kweli kweli hv hua unasomaga kweli unachoandika??
doh kama una cheti chochote cha elim warudishie nacte itakua kuna mahali walijichanganya
Wamewekeza wapi? Mange mtaweza kwenda naye mpaka mwisho??? Msije kuachana njiani.Mange yupo sawa kumbe alishalisema hili.
And yet we calk ourselves great thinkers. Tuanze kula tena korosho na almond vichwa vichangamkeRwanda wana hela gani ya kuwekeza Tanzania. What nonsense is this?
Something very fishy here. It won't work by the grace of God.
Kuwekeza ni kuwa na mtaji na kuajili wataalamu.Whaaat? Wasije kufanya kama wanavyofanya Eastern Congo..., wakaleta insurgency makusudi ili kukwapua madini. Kwanza Rwanda wana nini cha kuja kuwekeza, watawekeza hayo masokwe yao?
Mkuu inawezekana tu.Rwanda wana hela gani ya kuwekeza Tanzania. What nonsense is this?
Something very fishy here. It won't work by the grace of God.
Mange kashalisema hili kitambo sana, toka figisu za makinikia zinaanzaanza,yaani muwe tayari kushika bunduki soon huo ukanda wa madini utakuwa ka kule eastern congoHabari mbaya kwa Mange
Hata isipochimba....migodi yoote ifungwe tuwekeze kwenye kilimo na utalii basiiii.......Kuwakabidhi Warwanda migodi..bora serikali ichimbe yanyewe.