Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,119
- 9,049
Imekuwa November for the first timeNadhani sikukuu ya wajinga huwa April.
Imekuwa November for the first timeNadhani sikukuu ya wajinga huwa April.
Baada ya wawekezaji wa kigeni kuzingua juu ya ukwepaji wa kodi na utoroshaji wa rasilimali kama makinikia serikali ya Rwanda inatarajia kuja kuwekeza Tanzania katika sekta ya madini
Ni jambo jema na kutia moyo kuona waafrika wenzetu na jirani zetu wanakuja kuwekeza
Huu ni wakati wetu sisi waafrika kujiendeleza sisi kama sisi baina ya nchi na nchi
Na kupitia hivyo utaratibu umeshaanza na serikali ya rwanda inatarajiwa kuwekeza kwenye migodi 18 ya mwanzo kama makubaliano ya mwanzo
Na uzuri ni kuwa tutapata kodi ya kutosha na kunufaika vya kutosha
My take:
Tujitahidi sana wawe wanalipa kodi ya kutosha na sisi tufaidike na pia kama itawezekana serikali ya tanzania iingie ubia na serikali yetu iwekeze kwenye migodi yote ya tanzania ambayo inaonekana inasua sua
Na hili litatufanya tunufaike mno kiuchumi
Hatukatai ila source ni IPI? Au wewe ni Wa jikoni?Baada ya wawekezaji wa kigeni kuzingua juu ya ukwepaji wa kodi na utoroshaji wa rasilimali kama makinikia serikali ya Rwanda inatarajia kuja kuwekeza Tanzania katika sekta ya madini
Ni jambo jema na kutia moyo kuona waafrika wenzetu na jirani zetu wanakuja kuwekeza
Huu ni wakati wetu sisi waafrika kujiendeleza sisi kama sisi baina ya nchi na nchi
Na kupitia hivyo utaratibu umeshaanza na serikali ya rwanda inatarajiwa kuwekeza kwenye migodi 18 ya mwanzo kama makubaliano ya mwanzo
Na uzuri ni kuwa tutapata kodi ya kutosha na kunufaika vya kutosha
My take:
Tujitahidi sana wawe wanalipa kodi ya kutosha na sisi tufaidike na pia kama itawezekana serikali ya tanzania iingie ubia na serikali yetu iwekeze kwenye migodi yote ya tanzania ambayo inaonekana inasua sua
Na hili litatufanya tunufaike mno kiuchumi
Harafu usifikiri Tanzania ni mazezeta kama mnavyofikiria ,Tuna TISS inafanya KAZI ndani Na nje ya nje Yetu kuhakikishi nchi inapata kile kinachostahili.Mmmh urafiki huu wa serikali ya Rwanda kuja kuwekeza kwetu ni kama urafiki wa swala na simba.
Nahisi mmoja wapo kuja kulia mbeleni na si mwingine ni sisi
Sawa sawaHarafu usifikiri Tanzania ni mazezeta kama mnavyofikiria ,Tuna TISS inafanya KAZI ndani Na nje ya nje Yetu kuhakikishi nchi inapata kile kinachostahili.
Hata wewe pia na watz kwa ujumla.Habari mbaya kwa Mange
subiri wakishaanza kazi ndo utaaminiHabari isiyokuwa na chanzo ipeleke insta na facebook,Rwanda can only FAKI with DRC not my beloved Tanzania.
Sukununu unae kwenu
Sirudiagi kujisoma labda niwe nafukuzia pesa au inahusu kazi zangu.
Na bado unapenda kunisoma.. unashindwa nini kypita posts zangu... eeeeh
____________
Sasa nyie washwawashwa
Nyie zenu zipo ndani ya tundu la sindano
Hamna hata aibu... mnataka muandikiwe 1+1=...
Ndio mseme mtu ameeleweka
Kwendeni hukoooo
Harafu usifikiri Tanzania ni mazezeta kama mnavyofikiria ,Tuna TISS inafanya KAZI ndani Na nje ya nje Yetu kuhakikishi nchi inapata kile kinachostahili.
Source utaambiwa DA MANGE KASEMA hahahHatukatai ila source ni IPI? Au wewe ni Wa jikoni?