Tetesi: Rwanda kuwekeza Tanzania kwenye sekta ya Madini

kuna tatizo ila wakati ndo utakuwa shahidi....bravo mange
 
Baada ya wawekezaji wa kigeni kuzingua juu ya ukwepaji wa kodi na utoroshaji wa rasilimali kama makinikia serikali ya Rwanda inatarajia kuja kuwekeza Tanzania katika sekta ya madini

Ni jambo jema na kutia moyo kuona waafrika wenzetu na jirani zetu wanakuja kuwekeza
Huu ni wakati wetu sisi waafrika kujiendeleza sisi kama sisi baina ya nchi na nchi
Na kupitia hivyo utaratibu umeshaanza na serikali ya rwanda inatarajiwa kuwekeza kwenye migodi 18 ya mwanzo kama makubaliano ya mwanzo

Na uzuri ni kuwa tutapata kodi ya kutosha na kunufaika vya kutosha

My take:
Tujitahidi sana wawe wanalipa kodi ya kutosha na sisi tufaidike na pia kama itawezekana serikali ya tanzania iingie ubia na serikali yetu iwekeze kwenye migodi yote ya tanzania ambayo inaonekana inasua sua

Na hili litatufanya tunufaike mno kiuchumi
Walewale wayahudi wanarudi kwa mlango mwingine. Sema kwa huku mzee atakuwa anaiba na yeye vizuri kupitia rafiki yake maana sidhani kama kuna mkataba utawekwa wazi bungeni.....Just a thought!!
 
Soma ulichokiandika.
Sirudiagi kujisoma labda niwe nafukuzia pesa au inahusu kazi zangu.

daah kaz kweli kweli hv hua unasomaga kweli unachoandika??
doh kama una cheti chochote cha elim warudishie nacte itakua kuna mahali walijichanganya

Na bado unapenda kunisoma.. unashindwa nini kypita posts zangu... eeeeh:eek:

Hamna hata aibu... mnataka muandikiwe 1+1=...
Ndio mseme mtu ameeleweka

Kwendeni hukoooo
 
Rwanda hii hii walikua wanauana kipindi kile hadi tunapata wachezaji kutoka Rwanda , Burundi na Zaire ? Wonders shall never and. Siku executive waikumbuke na embassy hotel jengo lipo potential area halafu halitumiki
 
Yametimia, Nchi na rasilimali zinagawiwa kwa Kagame, Mange hongera kwa macho ya kuona mbali
 
Rwanda wana hela gani ya kuwekeza Tanzania. What nonsense is this?
Something very fishy here. It won't work by the grace of God.
And yet we calk ourselves great thinkers. Tuanze kula tena korosho na almond vichwa vichangamke
 
Tujifunze kwao Serikali imiliki migodi na iajiri wasauzi na wa australia na wagana
 
Whaaat? Wasije kufanya kama wanavyofanya Eastern Congo..., wakaleta insurgency makusudi ili kukwapua madini. Kwanza Rwanda wana nini cha kuja kuwekeza, watawekeza hayo masokwe yao?
Kuwekeza ni kuwa na mtaji na kuajili wataalamu.
We unadhani tajiri wa Barrick yupo Buzwagi. Yeye yupo Canada wengine wanamenyeka kwa ajili yake
 
Rwanda wana hela gani ya kuwekeza Tanzania. What nonsense is this?
Something very fishy here. It won't work by the grace of God.
Mkuu inawezekana tu.
---
Unadhani wakati wa ubinafshaji wa mabenki kila mwekezaji alikuja na keshi?
---
Hii ni inaweza kuwa "economy table" mtu akala dume.
>>YANGU MACHO TU.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom