Tetesi: Rwanda kuwekeza Tanzania kwenye sekta ya Madini

Yaani nimeshangaa sana aisee kuona huyu dikteta mwingine anakaribishwa nchini eti kuja "kuwekeza"

Hatutaki Magu usituletee balaa sisi yanayotokea DRC unataka yaje na huku??? ccm msiliingize taifa kwenye giza nene! Afadhali mzungu kuliko Rwanda hawa ni wauaji watatumaliza wageuze Tz ni yao.
 
Yaani nimeshangaa sana aisee kuona huyu dikteta mwingine anakaribishwa nchini eti kuja "kuwekeza"
Huyu anataka watu waanze kugawana majengo. Hope n pray halitafanikiwa. Watanzania tukatae kwa nguvu zote.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hao Mkuu ni kitengo cha mafusadi wa MACCM. Siku hizi si usalama wa Taifa tena bali usalama wa wahuni, wezi, watoa rushwa, mafisadi ndani ya MACCM na Serikali. Huwezi kuwa na taasisi inayoitwa usalama wa Taifa halafu nchi ikawa na hofu na taharuki kiasi hiki maiti zinaokotwa kila siku, watu wanatekwa na kuteswa, watu wanavamia vituo vya habari watu wanaua mchana kweupeeee lakini hakuna uchunguzi wowote unaoendelea.

Hiyo TISS ilikua wapi wakati mkataba wa Richmond unasainiwa?
Hiyo Tiss ilikua wapi wakati pesa za Escrow zinabebwa kwenye sandarusi na mabox?
 
We mama jifunze kusoma na kuandika kwa ufasaha ili ueleweke

Kwa hukusoma post zilizopo kabla yangu.. nimekusaidia kukurahisishia kwa sababu una mke humu asikushangae.. Eeeeh Asprin umeanza kunichokoza chokoza ninakupiga chabo kwa mbali.. leo umeandika kiubinadamu kidogo.. nikikupiga chambo kwa ukaribu eeeh usilalamike... utasema haujaelewa na hili or!?

Ukitaka nifundishe swahili muzuri unaona itapita yangu nayoandika kuburudika na sio ya kazi zangu..
 
Hivi na wewe umeajiriwa na unalipwa mshahara kabisa? Uandishi wako unaonesha wewe ni Mama wa nyumbani.

Eeeeeeeeh
Sasa mimi uandishi wangu wa humu washa wewe nini?
Mimi nyie jua mimi kwa hiki na kile.. embu ona wewe andika vizuri kama vile Max na Mike wanatoa tuzo.. mbons uonaonea wivu sana mimi na ni wewe bomu hakuna jua kufikirinje ya tundu yako ya sindano.. maana wewe hujui kufikiri nje ya boksi... kamwe

Tena jione unadharau Mama unadai wa nyumbani na bado unaninukuu.. sasa nani ni winner!!!! Hapana chezea Cocochanel.
 
Sijawahi mwamini Kagame!!!
Huwez mwamini cz mawazo yako yako juu maili kadhaa toka kwa viongozi wengine!


Chunguza mojawapo ya kauli zake!

"Sijawahi kujutia makosa yangu na sitayajutia,bali najifunza kukabiliana na matokeo mabaya ya makosa hayo"


Yule hata humu akiwekeza,sidhan kma M23 haitahamia humu pia!

Ni mtazamo lkn
 
Baada ya wawekezaji wa kigeni kuzingua juu ya ukwepaji wa kodi na utoroshaji wa rasilimali kama makinikia serikali ya Rwanda inatarajia kuja kuwekeza Tanzania katika sekta ya madini

Ni jambo jema na kutia moyo kuona waafrika wenzetu na jirani zetu wanakuja kuwekeza
Huu ni wakati wetu sisi waafrika kujiendeleza sisi kama sisi baina ya nchi na nchi
Na kupitia hivyo utaratibu umeshaanza na serikali ya rwanda inatarajiwa kuwekeza kwenye migodi 18 ya mwanzo kama makubaliano ya mwanzo

Na uzuri ni kuwa tutapata kodi ya kutosha na kunufaika vya kutosha

My take:
Tujitahidi sana wawe wanalipa kodi ya kutosha na sisi tufaidike na pia kama itawezekana serikali ya tanzania iingie ubia na serikali yetu iwekeze kwenye migodi yote ya tanzania ambayo inaonekana inasua sua

Na hili litatufanya tunufaike mno kiuchumi
NITAKUWA WA MWISHO KUAMINI KATIKA HILI
 
Baada ya JK kuwatwanga uko Kongo sababu ya wizi wa madini , sasa wamekuja kupigia kwetu kabisa. Kweli zama zinabadilika haraka sana
 
Sasa naona hata wanajesshi wetu walioko Zaire watakuja kufa sana. Urafiki wa Mhutu (Magu) na Mtutsi (Kagame) ni hatari kwa askari wetu walioko Dr Congo. Muda utakuwa shahidi
 
Mmmh...muda utaongea mana kiongoz wa awamu ya nne alivyokua haivi na kagame halaf leo hiii...
Kwa hiyo kwa kuwa alikuwa haivi naye, unataka huyu assign naye? Huyu naye akitoka akaja mwingine unataka naye asiive na wale ambao huyu wa sasa haivi nao?
 
Mbona Rwanda ni masikini yaani masikini awekeze kwa mwenye afadhali

This is a big time jok...I dont buy this at all
 
Kwa hukusoma post zilizopo kabla yangu.. nimekusaidia kukurahisishia kwa sababu una mke humu asikushangae.. Eeeeh Asprin umeanza kunichokoza chokoza ninakupiga chabo kwa mbali.. leo umeandika kiubinadamu kidogo.. nikikupiga chambo kwa ukaribu eeeh usilalamike... utasema haujaelewa na hili or!?

Ukitaka nifundishe swahili muzuri unaona itapita yangu nayoandika kuburudika na sio ya kazi zangu..
Mke wangu Sky Eclat naomba uje unisaidie kutafsiri hili fumbo mama.
 
Back
Top Bottom