Tetesi: Rwanda kuwekeza Tanzania kwenye sekta ya Madini

Wanataka kujaribu kutuibia kwa kuzipeleka Rwanda maana walishindwana na wazungu ambao hawanaga makandokando.

Na jinsi nchi hii inavyomilikiwa na watu wachache kabisa basi zoezi hili la kwenda kuzihifadhi Rwanda litapewa baraka zote na kutekelezeka.
 
Wajameni, kwa kweli kama hizi hata kama ni fununu tusifanye hili kosa.

Tutakuwa wapuzi dunia nzima kumkaribisha Mr Slim wa Rwanda kuja kufanya yale anayoyafanya kule DR Congo.

Mr Slim na serikali yake wanauza almasi wakati Rwanda hata unga wa ugali ananunua Tanzania kutoka kwa Azam (Bakheresa Group of Companies).

Tanzania, tusifanye huu ujinga kwa kweli.
 
Aisee kama ni kweli....! Yatakuwa maajabu ya ng'ombe kutembelea supermaket ya vikombe.
 
Acheni uoga,Mara Rwanda hawana kitu Mara kainchi kadogo hawana lolote sasa wanataka kuwekeza yaani kufanya kazi ambayo imetushinda tangu Uhuru sasa tunachoogopa nini hasa kama tumewazidi kwa kila kitu.
 
Sweeping stupid statement with no iota of evidence. Awuoro!!!!!
Screenshot_20171109-134945.png
 
Back
Top Bottom