Rwanda ipo kwenye mazungumzo na urusi kununua mfumo wa ulinzi wa anga

Waziri wa mambo ya nje wa Urusi akiwa Kigali leo. Kwa mambo ya international relation Rwanda wanajitahidi.
IMG_20180604_000511.jpg
 
Kwani kila siku tunavyowaambieni chezeni na nchi zote na siyo yetu ya Rwanda huwa hamtuelewi? Tayari tuna ukaribu wa Kijeshi na Kiusalama na Marekani na sasa tunaunda na Warusi kisha tutakuja kumalizia kwa Wachina kwani nia na madhumuni tupate ' taste ' za aina tatu za Kimedani / Kivita na mambo ya Kiusalama ili siku nchi kama Tanzania ( japo najua haitatokea kwakuwa tunaheshimiana Kihistoria ) mkileta tu fyoko fyoko bali haraka sana Tanzania yote iwe sehemu na mali halali ya Republic of Rwanda.

Rwanda ndiyo Israel ya Afrika na Watutsi ndiyo Wahayudi wa Afrika.

Long live my lovely, brave and committed President His Excellency Paul Kagame.
shithole country hata mkiwa nazo mia moja amtutishi kwa lolote na msahau kitu kinachoitwa republic of rwanda kwa kuchukua tz mayb congo huko
 
Kwani kila siku tunavyowaambieni chezeni na nchi zote na siyo yetu ya Rwanda huwa hamtuelewi? Tayari tuna ukaribu wa Kijeshi na Kiusalama na Marekani na sasa tunaunda na Warusi kisha tutakuja kumalizia kwa Wachina kwani nia na madhumuni tupate ' taste ' za aina tatu za Kimedani / Kivita na mambo ya Kiusalama ili siku nchi kama Tanzania ( japo najua haitatokea kwakuwa tunaheshimiana Kihistoria ) mkileta tu fyoko fyoko bali haraka sana Tanzania yote iwe sehemu na mali halali ya Republic of Rwanda.

Rwanda ndiyo Israel ya Afrika na Watutsi ndiyo Wahayudi wa Afrika.

Long live my lovely, brave and committed President His Excellency Paul Kagame.
Kesho naomba uripoti ofisini kwangu ukiwa na cheti cha kuzaliwa cha bibi wa bibi mzaa bibi yako kwa uhakiki tafadhali
 
Wabongo ambao huwa mnawadiss sana WanyaRwanda lazima muufyate. Utaanza kuona baadhi ya wachukia Rwanda wakianza kushobokea rwanda tena kama kawaida ya binadamu tulivo
 
Kagame jinga sana. Ka nchi kadogo vile anaanza kuhangaika na expensive air defence systems

Badala ya kuwekeza kwenye economy yuko bize anapoteza pesa
ingekuwa enzi za Julius angemshughulikia kimyakimya. ina maana anaweza kudungua ndege zetu zikiruka tu ndani ya Tanzania!
 
Wayahudi washindwe kuwa solomic generation ya wa Ethiopia ambapo mama yao wa taifa aliolewa na mfalme Solomon wa Israel ije kuwa mnyarwanda mwenye maji keini Kama mhaya wa Nkwenda?

Nje ndio mtatujua watanzania hatuna tofauti na wacambodia wa pale Vietnam kwenye medani za kivita linapokuja suala la maslahi ya taifa hadi wema sepetu utamuona mstari wa mbele akimimina mwaaani.
Unaiongelea Tanzania ya miaka ipi hiyo mkuu?
 
Kwani kila siku tunavyowaambieni chezeni na nchi zote na siyo yetu ya Rwanda huwa hamtuelewi? Tayari tuna ukaribu wa Kijeshi na Kiusalama na Marekani na sasa tunaunda na Warusi kisha tutakuja kumalizia kwa Wachina kwani nia na madhumuni tupate ' taste ' za aina tatu za Kimedani / Kivita na mambo ya Kiusalama ili siku nchi kama Tanzania ( japo najua haitatokea kwakuwa tunaheshimiana Kihistoria ) mkileta tu fyoko fyoko bali haraka sana Tanzania yote iwe sehemu na mali halali ya Republic of Rwanda.

Rwanda ndiyo Israel ya Afrika na Watutsi ndiyo Wahayudi wa Afrika.

Long live my lovely, brave and committed President His Excellency Paul Kagame.
Kwamba mnajidhania kuwa ni wayahudi kuliko waethiopia au?
 
hatari sana jamaa wana uhusiano mzuri sana wa kijeshi na israel na sasa wanaimarisha na Urusi, haka kanchi kana ambitions za hatari sana mi sina imani nao kabisa hawa jamaa

Yaani cha ajabu watu hawajiulizi hivi Rwanda ina haja gani ya kununua very sophisticated Air Defense Systems - Taifa lipi barani Africa lenye ndege za kivita wakiwa na lengo la kuvamia Rwanda!! Hakuna.

Ninacho kiona mimi bado Rwanda wana mpango wa kuivamia tena DRC wakiwa na lengo la ku-annex Kivu na possibly regime change in Kishansa in case Kabila Jr akishindwa ku-extend muda wa kuendelea kubaki madarakani - kumbuka asili ya Kabila Jr ni ya huko huko - lao moja.

Warusi wanapashwa kuwa makini sana wanavyo deal na uuzaji wa silaha zao kwenye Nchi ambazo hazitabiriki, wa jiulize kwa nini Rwanda inataka kuuziwa very sophisticated Air Defense System - wanamuogopa nani? Je wanataka kutumia defense sytems hizo kulinda majeshi yao yasihujumiwe na ndege za kijeshi za baadhi ya Mataifa ya Kiafrika wakati jeshi ya Rwanda likihamua kuvamia kwa mara nyingine tena nchi jirani specifically DRC.

Mwanzo jeshi la Rwanda lilishidwa malengo yao walipo vamia DRC kutokana na mashambulizi makali ya ndege za vita za Zimbabwe na Angola, Rwanda walijifunza kitu baada ya kusambaratitishwa na ndege za kivita wakajishauri kwamba next time wanapashwa kumiliki silaha zenye uwezo mkubwa wa kutunga ndege za vita kama wanataka malengo yao yatekelezwe bila mikwala - don't you underrate resolve ya Utawala wa Rwanda wakihamua kufanya kitu - binafsi sioni kama ununuzi huo una lengo la kulinda anga la Taifa lao tu kuna malengo ya ziada - my opinion.

Sasa tuangalie ni Mataifa yapi in Eastern/Central na Southern Africa zenye ndege za vita ambazo zinaweza kutumika kuinusuru DRC kwa mara nyingine tena Incase ikivamiwa: Afrika Mashariki Taifa lenye ndege za kisasa za kivita ni Uganda ikifuatiwa na Tanzania, Kenya haiwezi kushiriki kuwasaidia Wakongomani wakuvamia na Rwanda - Afrika ya kati/West ni Angola ndio wana jeshi la anga lenye uwezo wa kusaidia DRC - Southern Africa ni Zimbabwe na Africa Kusini - nina uhakika DRC ilikikumbwa na mgogoro wa kuvamiwa Mataifa hayo yatatoa msaada mkubwa sana.
 
Wayahudi washindwe kuwa solomic generation ya wa Ethiopia ambapo mama yao wa taifa aliolewa na mfalme Solomon wa Israel ije kuwa mnyarwanda mwenye maji keini Kama mhaya wa Nkwenda?

Nje ndio mtatujua watanzania hatuna tofauti na wacambodia wa pale Vietnam kwenye medani za kivita linapokuja suala la maslahi ya taifa hadi wema sepetu utamuona mstari wa mbele akimimina mwaaani.
Hah hahaha Jamaa wanapenda kujipa masifa kama " bongo movie
 
Hiyo ndiyo Rwanda bhana! Safi sana Rais wangu na Mtutsi mwenzangu Paul Kagame. Endelea kuijenga vyema Rwanda yetu.
Hakuna lolote, Kikwete alimfundisha adabu Congo na Tanzania tukawafutilia mbali M23 ambao alikuwa anajivunia.
Aliyeharibu hali ya hewa na tunajua tutafanya nini ni huyo mhutu aliyepo magogoni.
Akiondoka huyo heshima ya Tanzania inarudi Kama zamani, na huyo kimbaumbau wako his days are numbered.
 
Yaani cha ajabu watu hawajiulizi hivi Rwanda ina haja gani ya kununua very sophisticated Air Defense Systems - Taifa lipi barani Africa lenye ndege za kivita wakiwa na lengo la wakuvamia na Rwanda - Afrika ya kati/West ni Angola ndio wana jeshi la anga lenye uwezo wa kusaidia DRC - Southern Africa ni Zimbabwe na Africa Kusini - nina uhakika DRC ilikikumbwa na mgogoro wa kuvamiwa Mataifa hayo yatatoa msaada mkubwa sana.
huyu jamaa ana plan ya mda mrefu, Tumeshaona anayofny huko DRC sasa km anaanza ununua na sophisticated air defense kuna jambo analiplan huko mbeleni na hii itakuja fuel arm race eneo hili lazima burundi na DRC nazo zitatafuta kujihami zaidi hata tz na uganda pia
 
Back
Top Bottom