S V Surovikin
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 13,725
- 33,132
Unavyoharisha utafikiri umekula maprachichi machanga!Kwani kila siku tunavyowaambieni chezeni na nchi zote na siyo yetu ya Rwanda huwa hamtuelewi? Tayari tuna ukaribu wa Kijeshi na Kiusalama na Marekani na sasa tunaunda na Warusi kisha tutakuja kumalizia kwa Wachina kwani nia na madhumuni tupate ' taste ' za aina tatu za Kimedani / Kivita na mambo ya Kiusalama ili siku nchi kama Tanzania ( japo najua haitatokea kwakuwa tunaheshimiana Kihistoria ) mkileta tu fyoko fyoko bali haraka sana Tanzania yote iwe sehemu na mali halali ya Republic of Rwanda.
Rwanda ndiyo Israel ya Afrika na Watutsi ndiyo Wahayudi wa Afrika.
Long live my lovely, brave and committed President His Excellency Paul Kagame.
Kaeni kimya maana mkituchokonoa mtaamka asubuhi mkute Rwanda imekua moja ya mikoa ya Tanzania.
Kama huwapendi ndugu zako watust na wahutu endelea kumwaga povu tuwatengee robo saa ya kukabadili hako kakichuguu kenu kuanzia Jina mpaka sura!