nankumene
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 7,335
- 8,116
Shirika la habari la taifa la urusi limeripoti kuwa rwanda na urusi zipo kwe mazungumzo ya kushirikiana kwenye nyanja ya tenolojia za kijeshi na kwamba tayari urusi ipo kwenye majadiliano ya kuiuzia rwanda air defense systems
Pia nchi hizo mbili zinajipanga kushirkiiana katika sekta ya nyuklia kwa matumizi ya amani, hayo yamejadiliwa katika mkutano kati ya waziri wa mambo ya nje wa urusi bw Lavorv na mwenzie wa rwanda Louise Mushikiwabo
source Russian Today(RT)Russia and Rwanda discuss air-defense systems supplies
Haya sasa S-200,S-300,S-400 sasa zinaanza kutiririka hadi huku mtaani kwetu