GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 57,157
- 110,625
Sisi wanyarwanda tunawaona kuwa ni binadamu wenzetu tu, they have no special case to us!
Halafu wewe ni mtz unayejivisha unyarwanda sijui unaelewa unachokifanya au ni mkumbo tu wa kudhania Rwanda ina cha ziada.
Una uhakika Mimi ni Mtanzania 100%? Ulinipa Wewe huo Uraia? au unanionea ' donge ' Mimi kuwa Mtutsi kutoka Rwanda?