Rwanda inarusha Satelaiti ya Kijeshi. Je, Tuko Salama?

Kenya Wana satellites zaidi ya Moja imeidhuru nini Tanzania?

Zimbabwe Wana satellite inewasaidia nini?

Mnajua satellite is basically minara ya mawasiliano tu unless mnaogopa hata minara ya mawasiliano. Hizi ni saterite za kijeshi mkuu
 
Matoto mengi ni masomi yasiyo na elimu,majinga
 
Rwanda haijafikia kuwa hatari kwa Tanzania sio kwa sababu ya aina ya silaha ilizo nazo Tanzania bali kwa sababu haiwezi kusababisha uasi mpakani mwa Tanzania, kuleta mgawanyiko kwenye jeshi la Tanzania na kwa sababu ya ukubwa jeshi la Tanzania.

Hakuna silaha ilizo nazo Tanzania ambazo Rwanda haiwezi kuzipata kama za aina hiyo.
 
Ngoja sisi tuendeleee kubishania katiba mpya kwanza.
 
Rwanda kama nchi Haina shida, Kiongozi wa Rwanda ndie mwenye shida na muda ukifika ataondolewa pale alipo.
Huwezi kugombana na majirani zako wote wanaokuzunguka ukawa salama.
 
Hizi Technologies ni kama additional Stuffs wakati wa maankuli yaani kama pilipili, chumvi au chachandu azitomsaidia kuleta faida ya maana nchini kwake.Awezi mzidi Tanzania kwa lolote kwani Akuna kunachoingia Rwanda kwa bahari bila kupitia TZ
 
Rwanda ni shushushu wa mabeberu nahis atakuja kuharibu East Africa nadhani tunajua mipango ya hao West huyu ndo kibaraka wao. Naona kuanguka kwa EAC soon. Huyu dogo ameanza dharau anatakiwa ashughulikiwe mapema
Kagame kama vile Mobutu na Wahuni Wengine Nature too will take control one day!! Atoishi Milele.Ipo Siku Rwanda itaamka na kukuta Mungu ameshafanya yake na Kazi ya Kalima haiingiliwi atakalo Mola....
 
Tukumbushane.

Agenda kuu Kwa sasa ni Katiba mpya.

Rasimu ya Judge Warioba irudi mezani mjadala uanzie hapo. Amen
 
Rwanda kama nchi Haina shida, Kiongozi wa Rwanda ndie mwenye shida na muda ukifika ataondolewa pale alipo.
Huwezi kugombana na majirani zako wote wanaokuzunguka ukawa salama.
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ PK anasema tu hiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Rwanda ni shushushu wa mabeberu nahis atakuja kuharibu East Africa nadhani tunajua mipango ya hao West huyu ndo kibaraka wao. Naona kuanguka kwa EAC soon. Huyu dogo ameanza dharau anatakiwa ashughulikiwe mapema
πŸ˜„πŸ˜„ Kwamba aache kuwa na ambition zake ili afurahishe majirani πŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…