Rwanda inarusha Satelaiti ya Kijeshi. Je, Tuko Salama?

Ni wapi wamesemea satellite ya RW ni military satellite?

FYI, ni nchi chache sana zenye military satellites, majority of them are just for communication purposes only. "As of December 2018 there are 320 known military or dual-use satellites in the sky, half of which are owned by the US, followed by Russia, China and India (13)." Hapo bado hujaona UK, Japan, SA, Italy, Canada nk.

"Communications satellites are used for television, telephone, radio, internet, and other applications. As of 1 January 2021, there are 2,224 communications satellites in Earth orbit."

Mmekaririshwa ujinga mkisikia satellite tu mnadhani ni mambo ya jeshi na usalama. Majority of the satellites are merely minara ya mawasiliano tu eti zinaona mbaka chumbani na sisi tuache kujenga SGR na barabara ili tuone chumbani kwa Rwanda? Kati ya SGR na Satellite kipi gharama zaidi?

Kenya ina satellites zaidi ya moja ila kila siku inapigwa Somalia na kushambuliwa na magaidi, satellite zimewasaidia nini? Kama zinaona hadi chumbani mbona hawaoni mbinu za magaidi from West Gate mall to Garissa attack nk?

Ni vyema kuwekeza kwenye utaalam ila satellite sio kipaumbele. I'd rather have maji safi na salama kila kona, barababara nzuri, SGR, umeme wa uhakika kuliko kufuja pesa kuwa na satellite. Bongo ingefanya hivyo nyie ndo mngekua wa kwanza kuponda kwamba ni maendeleo ya vitu na sio watu ila since ni Rwanda tayari mmeloa it's called inferiority complex.
Wabongo wanajishtukia Hahaha
Acha sisi tuendele na uchawa,ubish wa simba na yanga,
Mimba ya nandy....kajala konde
Steve Nyerere kuwa mwakilishi wa matukio muhimu ya nchi

Ova
 
Kwani walikuwa malaika hao???

Hiyo siyo ishu, ishu ni kwamba hakuna mwenye uwezo na jeuri ya kumshambulia Mwalimu Nyerere live Tanzania na akapeta na yoyote anayejaribu hata kwa kuteleza tu huomba msamaha hata kama hamaanishi, hivyo wanyarwanda ndio wenye power sasa hivi Tanzania, na atakayemgusa atakiona cha moto, …
 
Viongozi wetu wangefanya kila jitihada kuyafanya haya wanayoyafanya Rwanda maana usalama wetu utakuwa mashakani hawa jirani zetu wakiwa na hii teknolojia
Kujikweza tu hilo dude halina maana yoyote kwa sasa sisi tujisisitize kwenye uwekezaji, viwanda kilimo cha kisasa, Jeshi la kisasa, zana za kijeshi za kisasa inatosha sana.
 
Rwanda to launch satellite constellation by end of 2023

Rwanda will join the list of African countries that have successfully orbited satellites, including Algeria, Ethiopia, Kenya, Zimbabwe, South Africa, Morocco, Egypt, Ghana and Nigeria.

Rwandan Minister of ICT and Innovations Paula Ingabire has announced that the country will be conducting a beta launch for the Cinnamon-217 and Cinnamon-937 satellite constellation.

In October 2021, Rwanda Space Agency filed a request to acquire these satellites, but the Minister noted that the number had increased to seven satellites. According to her, the full satellite launch should be by the end of 2023.

Rwanda is in talks with a number of countries to assist in the development of its space capabilities, in the hopes of securing accords that will support the countrys Information and Communication Technology (ICT) objectives.

The countrys space ambitions have attracted interest from countries such as Japan, Israel, and the United Arab Emirates, the Minister of ICT and Innovations told The New Times.

The proposed mid to long-term partnerships with these countries, she said, range from the use of geospatial data to the design and manufacturing of satellites. For example, Rwanda and Israel signed an agreement in 2020, effectively laying the grounds for pursuing this cooperation.

In 2019, Rwanda and Japan teamed up to build the first cube satellite (RwaSat-1), which was launched from Japans Tanegashima Space Centre and deployed to the Low Earth Orbit (LEO) from the International Space Station.

Under the partnership with Japan, Ingabire disclosed that 20 Rwandans are currently undergoing training in designing and producing minisatellites.

Rwanda recently approved the law establishing its space agency as the Chamber of Deputies voted. The Chamber of Deputies is the lower house of Rwandas national legislature.
Serious brain against politically brain....
 
LIES
 
Labda unachanganya na panyarwandanist!
Wewe Mhutu umeingia juzi juzi,Watutsi na Wamanyema wako Tanzania kabla ya kuitwa Tanganyika

Jenerali alikuwa Msumbiji kuikomboa kutoka kwenye makucha ya Wareno.

Kwanini unakataa UpanAfrikanist wake.
 
Wewe Mhutu umeingia juzi juzi,Watutsi na Wamanyema wako Tanzania kabla ya kuitwa Tanganyika

Jenerali alikuwa Msumbiji kuikomboa kutoka kwenye makucha ya Wareno.

Kwanini unakataa UpanAfrikanist wake.

Wewe ukiubali inakutosha, mimi kwangu ni evil!
 
Mimi najua kuna chuki kati ya Wahutu na Watutsi.

Jenerali Ulimwengu humuwezi utajiumiza roho bure.

Isidori Mpango ni Mhutu lakini Watutsi hawana Nongwa nae.

Nijiumize roho sababu ya huyo psychopath?
 
Back
Top Bottom